Japan vs Sweden FIFA Kombe la Dunia 2026Sweden FIFA
  • Pambano la Japan vs Sweden FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwa Kundi F
  • Japan anaingia Uwanja wa Dallas (AT&T) akiwa anahitaji sare ama ushindi kujihakikishia nafasi kufuzu 32 bora
  • SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi wa kina kuhusu wababe hawa, h2h, takwimu na rekodi muhimu

Japan vs Sweden FIFA Kombe la Dunia 2026 ni mchezo unaofuata kukamilisha mechi za hatua ya makundi kwa Kundi F. Uwanja wa AT&T utapigwa mchezo huu huku Japan wakihitaji sare kujihakikishia nafasi kufuzu 32 bora ikiwa watashinda watafuzu wakiwa vinara wa kundi.Kwa upande wa Sweden, hakuna chaguo jingine isipokuwa kushambulia. Kikosi cha Graham Potter kilionyesha ubora mkubwa kwa kuifunga Tunisia mabao 5-1 katika mchezo wa kwanza wa kundi kiliruhusu kufungwa mabao matano dhidi ya Uholanzi, matokeo yaliyofichua udhaifu mkubwa wa safu yao ya ulinzi.

Taarifa Muhimu: Japan vs Sweden

KipengeleMaelezo
MashindanoFIFA Kombe la Dunia 2026
MechiJapan vs Sweden
KundiKundi F
HatuaMchezo wa 3 (Makundi)
TareheIjumaa, Juni 26, 2026
MudaSaa 8:00 usiku (EAT)
UwanjaAT&T Stadium, Dallas, Marekani
Jukwaa la kubashiriaSportPesa

Isome ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Japan vs Sweden
Japan vs Sweden

Japan vs Sweden fomu za timu

Japan matokeo ya mechi 5 zilizopita:

  • Tunisia (Ugenini): Ushindi wa mabao 4-0 (Kombe la Dunia 2026)
  • Uholanzi (Ugenini): Sare ya mabao 2-2 (Kombe la Dunia 2026)
  • Iceland (Nyumbani): Ushindi wa bao 1-0 (Rafiki wa Kimataifa)
  • England (Ugenini): Ushindi wa bao 1-0 (Rafiki wa Kimataifa)
  • Scotland (Ugenini): Ushindi wa bao 1-0 (Rafiki wa Kimataifa)

Sweden matokeo ya mechi 5 zilizopita:

  • Uholanzi (Ugenini): Kipigo cha mabao 5-1 (Kombe la Dunia 2026)
  • Tunisia (Nyumbani): Ushindi wa mabao 5-1 (Kombe la Dunia 2026)
  • Ugiriki (Nyumbani): Sare ya mabao 2-2 (Rafiki wa Kimataifa)
  • Norway (Ugenini): Kipigo cha mabao 3-1 (Rafiki wa Kimataifa)
  • Poland (Nyumbani): Ushindi wa mabao 3-2 (Kufuzu Kombe la Dunia)

H2H Japan vs Sweden

Mataifa haya mawili yamekutana mara nne pekee katika soka la timu za wakubwa, na hakuna hata mechi moja kati ya hizo iliyochezwa katika Kombe la Dunia au hatua za mtoano za mashindano makubwa. Rekodi yao ni ya ushindani mkubwa, huku kila timu ikiwa imepata ushindi mmoja na mechi mbili kuisha kwa sare.

Mara ya mwisho walipokutana ilikuwa katika mchezo wa kirafiki mwezi Mei mwaka 2002, uliomalizika kwa sare ya mabao 1-1. Ushindi pekee wa ushindani wa Sweden dhidi ya Japan ulipatikana katika mashindano ya King’s Cup mwaka 1997. Jumla ya mabao katika mikutano yao yote inaonyesha tofauti ndogo sana kati ya timu hizi mbili.

Habari za Timu

Japan vs Sweden FIFA Kombe la Dunia 2026
Japan vs Sweden FIFA Kombe la Dunia 2026

Uchambuzi mchezo wa Curacao vs Ivory Coast: Prediction: Curacao vs Ivory Coast Kombe la Dunia 2026 | live score, h2h, lineups, odds na Habari za timu

Japan hawana majeruhi makubwa yaliyoripotiwa kuelekea mchezo huu. Kocha Hajime Moriyasu anatarajiwa kuwa na kikosi chake kamili, chenye mchanganyiko wa uzoefu na ubora kutoka kwa wachezaji wanaocheza Ulaya. Wataru Endo wa Liverpool, Daichi Kamada wa Crystal Palace na Ao Tanaka wa Leeds United wanaendelea kuwa uti wa mgongo wa safu ya kiungo.

Takefusa Kubo wa Real Sociedad ndiye tishio kuu la ubunifu upande wa kulia, huku Ayase Ueda wa Feyenoord akiongoza safu ya ushambuliaji. Uwezo wake wa kuanzisha presha kwa wapinzani baada ya kupoteza mpira unaweza kuwa silaha muhimu kwa Japan.

Kwa upande wa Sweden, nao hawana taarifa za kukosekana kwa wachezaji muhimu kutokana na majeraha au adhabu. Viktor Gyokeres wa Arsenal ndiye tegemeo lao kuu la mabao, akiwa tayari amefunga katika mashindano haya. Atashirikiana na Alexander Isak wa Liverpool, ambaye alifunga bao moja na kutoa pasi mbili za mabao katika ushindi dhidi ya Tunisia.

Yasin Ayari wa Brighton & Hove Albion amekuwa mmoja wa wachezaji waliovutia zaidi kwa Sweden, akifunga mabao mawili katika michezo miwili ya kwanza. Kiwango chake kizuri katikati ya uwanja kimekuwa habari njema kwa kocha Graham Potter. Aidha, Lucas Bergvall wa Tottenham Hotspur huongeza ubunifu na nguvu ya ujana katika safu ya kiungo.

Muundo wa kikosi kinachotarajiwa (Predicted Lineups)

Hapa chini ni vikosi vinavyotarajiwa kwa Japan na Sweden wakicheza mfumo wa 4-3-3 kuelekea mchezo huu muhimu wa hatua ya makundi.

 Japan (4-3-3)

NafasiMchezaji
GKZion Suzuki
RBYukinari Sugawara
CBKo Itakura
CBHiroki Ito
LBYuto Nagatomo
CMWataru Endo
CMAo Tanaka
AMDaichi Kamada
RWTakefusa Kubo
STAyase Ueda
LWRitsu Doan

 Sweden (4-3-3)

NafasiMchezaji
GKViktor Johansson
RBDaniel Svensson
CBIsak Hien
CBVictor Lindelof
LBGabriel Gudmundsson
CMYasin Ayari
CMJesper Karlstrom
CMMattias Svanberg
RWAnthony Elanga
STViktor Gyokeres
STAlexander Isak

Prediction Japan vs Sweden

Kwa mujibu wa Opta Analyst, Japan anapewa asilimia kubwa kushinda. Japan amepewa asilimia 50.2 huku Sweden akipewa asilimia 24.5. Huu ni mchezo ambao unatarajiwa kuwa na magoli baada ya dakika 90.

Japan vs Sweden
Japan vs Sweden

Usome uchambuzi mchezo wa Czechia vs Mexico: Utabiri wa Czechia vs Mexico Kombe la Dunia 2026: H2H, lineups, odds, Kundi A

Jinsi ya Kubashiri na SportPesa

Fungua ukurasa wa mechi ya Japan vs Sweden kwenye SportPesa (link above).
Chagua aina ya masoko unayotaka kuweka dau lako – Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB)
Weka kiasi cha dau lako na uthibitishe.

Wapi kwa kutazama (How to watch) Japan vs Sweden Kombe la Dunia 2026

Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi yaJapan vs Sweden kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: