England vs Ghana FIFA Kombe la Dunia 2026Ghana nation
  • Vinara England vs Ghana FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa pili hatua ya makundi
  • Juni 23, 2026 saa 11:00 usiku, Uwanja wa Gillette, Massachusetts.
  • SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi wa mechi, hali ya kundi na odds

 Vinara wa kundi L watakuwa kazini itakuwa ni England vs Ghana FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa pili hatua ya makundi. Hii ni baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia. Harry Kane alifunga mabao mawili na kufikia rekodi ya Gary Lineker ya mabao mengi ya Kombe la Dunia kwa mchezaji wa Kiingereza. Marcus Rashford na Jude Bellingham pia walifunga, wakisaidia kikosi cha Thomas Tuchel kuendeleza safari yao ya kutafuta taji la kwanza tangu mwaka 1966.

Ghana walipata ushindi wa dakika za mwisho dhidi ya Panama, Caleb Yirenkyi akifunga bao pekee dakika ya 95. Hii ni mara ya nne kwao kushiriki Kombe la Dunia. Wanataka kurudia mafanikio ya kufika robo fainali 2010.Mechi ya Jumanne usiku huko Massachusetts itakuwa ya kuamua nani atabaki kileleni mwa kundi.

Isome ratiba ya FIFA Kombe la Dunia: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mechi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya England vs Ghana, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

England
England

England vs Ghana FIFA Kombe la Dunia 2026 taarifa kuhusu timu

Ghana

  • Historia ya mashindano: Walitolewa hatua ya makundi mwaka 2014 na 2022.
  • Nguvu zao: Wanategemea kasi na nguvu za vijana, pamoja na nidhamu ya kiufundi. Caleb Yirenkyi alionyesha uwezo wake kwa bao la dakika ya 95 dhidi ya Panama.
  • Changamoto: Upungufu wa uzoefu katika mechi kubwa na shinikizo la kuendeleza mafanikio ya 2010.

England

 England vs Ghana FIFA Kombe la Dunia 2026
England

Utabiri wa mechi ya Norway vs Senegal na odds upo hapa : Norway vs Senegal Prediction: FIFA Kombe la Dunia 2026 Kundi I, lineups, h2h, muda wa mchezo

  • Historia ya mashindano: Walitolewa robo fainali mwaka 2022 baada ya kupoteza 2-1 dhidi ya Ufaransa.
  • Nguvu zao: Kikosi chenye nyota wengi Harry Kane, Marcus Rashford, Jude Bellingham na kocha Thomas Tuchel anataka kuvunja nuksi ya kutoshinda Kombe la Dunia tangu 1966.
  • Changamoto: Shinikizo kubwa kutoka kwa mashabiki na historia ya kushindwa kufika mbali licha ya kikosi chenye uwezo.

Tathmini ya mechi

  • England wanaingia wakiwa na morali ya juu baada ya ushindi mkubwa dhidi ya Croatia.
  • Ghana wana ari ya kupigania heshima na wanaweza kusababisha mshangao kwa kutumia kasi na nidhamu.
  • Hata hivyo, kutokana na ubora wa kikosi na uzoefu wa wachezaji, England wana nafasi kubwa ya kupata ushindi wa pili mfululizo na kufuzu hatua ya mtoano.

Prediction England vs Ghana

Kwa mujibu wa Opta Analyst ushindi asilimia kubwa ni England. Asilimia 78 amepewa England na aslimia 8 amepewa Ghana, Utabiri wa mabao itakuwa England 2 – 1 Ghana haya ni maoni ya mhariri na sio matokeo kamili.

Muda wa mechi

Mechi ya England vs Ghana itapigwa saa 11:00 usiku kwa saa ya Afrika Mashariki (E.A.T) katika Uwanja wa Gillette, Massachusetts.

Kikosi cha England

Baada ya ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Croatia, kocha Thomas Tuchel hatarajiwi kufanya mabadiliko makubwa. Jordan Pickford ataendelea kusimama langoni, huku Ezri Konsa na John Stones wakibaki kwenye safu ya ulinzi. Kiungo kitakuwa na Elliot Anderson na Declan Rice, wakati Bukayo Saka anatarajiwa kuanza badala ya Noni Madueke. Harry Kane ataendelea kuongoza safu ya ushambuliaji.

 Kikosi cha Ghana

Black Stars wanatarajiwa kumtegemea CalebYirenkyi baada ya bao lake la ushindi dhidi ya Panama. Kikosi chao kinajengwa juu ya nidhamu na kasi ya wachezaji chipukizi, wakilenga kuendeleza mafanikio ya robo fainali ya mwaka 2010.

Jedwali la Kikosi

TimuKipaMabekiViungoWashambuliaji
EnglandJordan PickfordEzri Konsa, John StonesElliot Anderson, Declan Rice, Bukayo SakaHarry Kane, Marcus Rashford, Jude Bellingham
GhanaAti-Zigi (anatarajiwa)Daniel Amartey, Mohammed SalisuThomas Partey, Mohammed KudusCaleb Yirenkyi, Inaki Williams

Jedwali la kikosi cha Ghana

NafasiWachezaji
KipaAti-Zigi (anatarajiwa kuanza)
MabekiDaniel Amartey, Mohammed Salisu
ViungoThomas Partey, Mohammed Kudus
WashambuliajiAntoine Semenyo, Jordan Ayew, Caleb Yirenkyi

H2H England vs Ghana

England na Ghana rekodi zinaonyesha kwamba wamekutana mara moja katika mchezo wa kirafiki. Ilikuwa Uwanja wa Wembley, Machi 29, 2011. Ubao ulisoma England 1-1 Ghana.

Namna ya kubashiri kwenye SportPesa

England
England vs Ghana

Fungua ukurasa wa tukio la England vs Ghana kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Jedwali la Fomu ya Timu

TimuMechi 5 zilizopitaUshindiSareKichapoMabao yaliyofungwa
EnglandW W W L W4018
GhanaL L L D W1132

Dondoo muhimu England vs Ghana

  • Pande zote mbili zina ubora wa kutosha katika safu ya ushambuliaji, hivyo ni wazi kwamba kila timu inaweza kupata bao katika mchezo huu.
  • England wako kwenye kiwango kizuri zaidi, wakiwa na ushindi mfululizo na rekodi bora ya kufunga mabao. Hali hii inawapa nafasi kubwa ya kushinda na kuibuka kidedea.
  • Ghana, hata hivyo, hawapaswi kudharauliwa. Ushindi wao wa siku ya ufunguzi dhidi ya Panama umewapa ari na kuonyesha wanaweza kuwa changamoto kubwa kwa England.

Jinsi ya kuangalia (How to watch) England vs Ghana


Mashabiki wanaweza kufuatilia England vs Ghana kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: