- SportPesa Blog tumekuandalia ratiba ya Afrika Kusini FIFA Kombe la Dunia 2026
- Afrika Kusini ina mechi ngumu kwenye hatua ya makundi ikiwemo : Mexico vs Afrika Kusini, Czechia vs Afrika Kusini
- Pazia linafunguliwa rasmi Juni 11, 2026, wenyeji Mexico vs Afrika Kusini
Hii hapa ni ratiba ya Afrika Kusini FIFA Kombe la Dunia 2026. Zimebaki siku 4 kabla ya pazia la mashindano haya makubwa duniani kuanza. Ni wazi kila baada ya miaka 4 mashindano haya hufanyika, 2022 ilikuwa Qatar. 2026 nchi tatu zinashirikiana Marekani, (USA), Canada na Mexico.
SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Je, bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Kutoka Kundi A ratiba ya Afrika Kusini FIFA Kombe la Dunia 2026

SOMA HII: Sheria 7 FIFA Kombe la Dunia 2026 | SportPesa Blog

| Tarehe | Mpinzani wa Afrika Kusini | Uwanja |
|---|
| 11 Juni 2026 | Mexico | Mexico City |
| 18 Juni 2026 | Czechia | Atlanta |
| 24 Juni 2026 | Korea Republic | Monterrey |
Ratiba ya Kundi A
Kundi (Mexico, Afrika Kusini, Korea Kusini, Czechia) – Ratiba ya Mechi
| Tarehe | Mechi |
|---|---|
| 11 Juni 2026 | 🇲🇽 Mexico vs 🇿🇦 Afrika Kusini |
| 12 Juni 2026 | 🇰🇷 Korea Kusini vs 🇨🇿 Czechia |
| 18 Juni 2026 | 🇨🇿 Czechia vs 🇿🇦 Afrika Kusini |
| 19 Juni 2026 | 🇲🇽 Mexico vs 🇰🇷 Korea Kusini |
| 25 Juni 2026 | 🇿🇦 Afrika Kusini vs 🇰🇷 Korea Kusini |
| 25 Juni 2026 | 🇨🇿 Czechia vs 🇲🇽 Mexico |
Msimamo wa Kundi A
Jedwali la Kundi (Kabla ya mechi kuchezwa)
| Nafasi | Timu | P | W | D | L | GF | GA | GD | Alama |
|---|
| 1 | Mexico | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 2 | South Africa | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 3 | South Korea | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
| 4 | Czech Republic | 0 | 0 | 0 | 0 | 0 |
Kikosi cha Afrika Kusini

SOMA HII: Sheria mpya za mechi Kombe la Dunia 2026 zashtua! Nini kimebadilishwa?
Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Afrika Kusini, Hugo Broos katika orodha ya majina 26 amewaita watu wa kazi. Kikosi cha FIFA Kombe la Dunia 2026 nahodha ni mlinda mlango Ronwen Williams,Teboho Mokoena ambaye ni kiungo na Lyle Foster ambaye ni mshambuliaji. Nyota hawa wana majukumu katika unahodha ndani ya Bafana Bafana.
Wachezaji hawa wana kazi ya kusaka ushindi kwenye mechi ambazo watashuka uwanjani. Sio kazi rahisi kutokana na kila timu kupiga hesabu kutwaa kombe hili kubwa duniani.
Kikosi kamili
Makipa
Ronnwen Williams
Ricardo Goss
Sipho Chaine
Mabeki
Khuliso Mudau
Olwethu Makhanya
Bradley Cross
Aubrey Modiba
Thabang Matuludi
Nkosinathi Sibisi
Khulumani Ndamane
Ime Okon
Samukele Kabini
Mbekezeli Mbokazi
Kamogelo Sebelebele
Viungo
Teboho Mokoena
Jayden Adam’s
Thalente Mbatha
Sphephelo Sithole
Washambuliaji
Oswin Appollis
Tshepang Moremi
Evidence Makgopa
Lyle Foster
Igraam Rayners
Relebohile Mofokeng
Themba Zwane
Thapelo Maseko
Hitimisho
Kivumbi kinakwenda kuwaka na hii ni ratiba ya Afrika Kusini FIFA Kombe la Dunia 2026 ikiwa ni moto wa kuotea mbali. Wenyeji wanakwenda kufungua pazia kwenye mchezo wa ufunguzi Juni 11, 2026. Nani ataibuka mbabe kwenye mechi za mwanzo? Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa za hivi punde.

