
Kuiona Taifa Stars vs Nigeria buku mbili tu | Msimamo | SportPesa Blog
- Taifa Stars vs Nigeria ni mchezo unaofuata kuwania kufuzu AFCON hatua ya makundi 17/11/2026, Uwanja wa New Amaan Complex.
- Matokeo ya mchezo uliopita walipokutana ilikuwa Nigeria 3-1 Tanzania, 13/11/2026.
- Bao pekee la Taifa Stars lilifungwa na Alphonce Mabula Msanga dakika ya 32 katika kipindi cha kwanza.
- Kwenye msimamo, Nigeria nafasi ya pili ikiwa na pointi 6, Tanzania nafasi ya 4 ina pointi moja kutoka Kundi L.
Taifa Stars vs Nigeria ni ratiba inayofuata katika hatua ya makundi kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2027 chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Novemba 17, 2026 ikiwa ni kutoka Kundi L.Matokeo ya mchezo uliopita Novemba 13, 2026 ilikuwa Nigeria 3-1 Tanzania.
SOMA HII PIA:Nigeria 3-1 Tanzania, Africa Cup of Nations Qualification 2027 | Highlights | H2H| SportPesa Blog
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Taifa Stars vs Nigeria taarifa
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | Kufuzu AFCON PAMOJA 2027 |
| Mchezo | Taifa Stars vs Nigeria |
| Uwanja | New Amaan Complex |
| Tarehe | 16/11/2026 |
| Timu mwenyeji | Taifa Stars |
Viingilio mechi ya Taifa Stars vs Nigeria
Orbit-2,000
Saa-2,000
Urusi-2,000
VIP B-5,000
VIP A-10,000
SOMA HII PIA:Nigeria 2-1 Tanzania AFCON 2025/ Highligts, goal
Msimamo Kundi L
| Timu | Mechi | Ushindi | Sare | Pointi |
| 1. Guinea-Biassau | 3 | 2 | 1 | 7 |
| 2. Nigeria | 3 | 2 | 0 | 6 |
| 3. Madagascar | 3 | 0 | 2 | 2 |
| 4.Tanzania | 3 | 0 | 1 | 1 |
Hitimisho
Taifa Stars vs Nigeria ni mchezo muhimu kwa wenyeji wa AFCON 2027 wakishirikiana na Uganda na Kenya.Katika mechi za hatua ya makundi haijapata ushindi hivyo ipo kwenye presha kubwa.Kuwa nyumbani ni faida kwa Tanzania jambo linaloongeza ushindani katika mchezo ujao.

