Argentina dhidi ya Austria: Utabiri wa Kundi J la Kombe la Dunia la FIFA 2026
- Argentina vs Austria Kombe la Dunia 2026 inatarajiwa kuwa ratiba ya mechi kali ya mkondo wa pili ya Kundi J la FIFA Kombe la Dunia 2026.
- Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa AT&T, Arlington siku ya Jumatatu, 22 June 2026 saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
- Nahodha wa Argentina, Lionel Messi ameanza kwa kishindo mashindano hayo, baada ya kufunga mabao matatu katika mechi yao ya kwanza dhidi ya Algeria, huku Austria wakiichapa Jordan mabao 3-1.
- Nakala hii inachambua prediction, Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds za mchezo huo
Argentina na Austria mechi ya mkondo wa pili ya Kundi J la FIFA Kombe la Dunia 2026. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa AT&T, Arlington siku ya Jumatatu, 22 June 2026 saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Staa na nahodha wa Argentina, Lionel Messi ameanza kwa kishindo mashindano hayo, hii ni baada ya kufunga mabao matatu katika mechi yao ya kwanza dhidi ya Algeria, huku Austria wakiichapa Jordan mabao 3-1. Nakala hii inachambua prediction, Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds za mchezo huo.
Unaweza kubashiri mechi hii na kupata odds kubwa zilizoboreshwa kwa kugusa hapa chini. Tafadhali bashiri kistaarabu.

Maelezo ya mechi

| Kipengele | Maelezo Yaliyoboreshwa |
|---|---|
| Mashindano | Mechi hii ni sehemu ya Kundi J katika Kombe la Dunia la FIFA 2026, ikiwa ni mchezo wa pili kwa timu zote mbili katika hatua ya makundi. |
| Tarehe na Saa ya Kucheza | Mchezo umepangwa kuchezwa Jumatatu, tarehe 22 Juni 2026, kuanzia saa 20:00 kwa saa za Afrika Mashariki (EAT). |
| Mahali pa Mechi | Timu hizo zitachuana katika Uwanja wa AT&T uliopo Arlington, Texas, Marekani, ndani ya eneo la Dallas–Fort Worth. |
| Hali ya Kundi J | Baada ya raundi ya kwanza ya mechi, Argentina na Austria zina alama tatu kila moja, huku Jordan na Algeria zikisalia bila pointi. |
| Historia ya Mkutano | Hii itakuwa mara ya kwanza kwa Argentina na Austria kukutana katika mechi rasmi ya mashindano ya FIFA, jambo linaloifanya mechi hii kuwa ya kipekee kihistoria. |
| Umuhimu wa Mechi | Timu itakayopata ushindi itakuwa katika nafasi nzuri ya kuongoza Kundi J na kuongeza uwezekano wa kufuzu hatua ya mtoano. |
Kujua ratiba ya mechi zote 104, soma hii pia: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Wapi kwa kutazama (How to watch) Argentina vs Austria Kombe la Dunia 2026
Mashabiki wanaweza kufuatilia Argentina vs Austria kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.
Uchambuzi wa mechi ya Argentina vs Austria
Lionel Messi, ameanza mashindano haya kwa kishindo kwa kufunga mabao 3, hii ikiwa ni hat-trick yake ya kwanza katika mashindano hayo. Hii ilituma ujumbe mzito kutoka timu ambayo imekuja kwenye mashindano haya kwa ajili ya kutetea ubingwa wao. Ikumbukwe Argentina ndiyo mabingwa watetezi, kufuatia ubingwa walioutwaa mwaka 2022.
Austria haijaja kushiriki tu. Chini ya kocha Ralf Rangnick, walirejea kwenye Kombe la Dunia baada ya muda mrefu na mara moja wakaonyesha uwezo wao kwa kuifunga Jordan mabao 3-1. Marko Arnautović alifunga katika mechi hiyo, huku Marcel Sabitzer na Christoph Baumgartner wakionyesha kiwango bora. Uzoefu na uongozi wa David Alaba nyuma ni msingi muhimu wa timu hiyo.
Habari za timu na vikosi vinavyotarajiwa
Hakuna majeruhi. Kikosi kamili kinatarajiwa kuanza. Hali ambayo pia iko ndani ya kikosi cha Austria. Vikosi vifuatavyo vinatokana na tathmini ya takwimu za wachezaji na utimamu wao wa mwili, listi kamili itatolewa pale vikosi rasmi vitakapothibitishwa kabla ya mechi kuanza.
Vikosi Vinavyotarajiwa Kuanza Mchezo

| Argentina (Mfumo wa 4-3-3) | Austria (Mfumo wa 4-2-3-1) |
|---|---|
| Emiliano Martínez (Kipa) | Patrick Pentz (Kipa) |
| Nahuel Molina (Beki wa Kulia) | Stefan Posch (Beki wa Kulia) |
| Cristian Romero (Beki wa Kati) | Kevin Danso (Beki wa Kati) |
| Nicolás Otamendi (Beki wa Kati) | Maximilian Wöber (Beki wa Kati) |
| Nicolás Tagliafico (Beki wa Kushoto) | Phillipp Mwene (Beki wa Kushoto) |
| Rodrigo De Paul (Kiungo wa Ulinzi) | Nicolas Seiwald (Kiungo wa Ulinzi) |
| Enzo Fernández (Kiungo wa Kati) | Konrad Laimer (Kiungo wa Ulinzi) |
| Alexis Mac Allister (Kiungo wa Kati) | Marcel Sabitzer (Kiungo wa Upande) |
| Lionel Messi (Winga wa Kulia) | Christoph Baumgartner (Kiungo Mshambuliaji) |
| Julián Álvarez (Mshambuliaji) | Patrick Wimmer (Winga wa Kushoto) |
| Thiago Almada (Winga wa Kushoto) | Michael Gregoritsch (Mshambuliaji) |
Kujua uchambuzi wa mechi inayofuata ya Cape Verde, soma hi pia: Uruguay vs Cape Verde FIFA Kombe la Dunia 2026: Preview match, lineup, h2h, Odds, prediction
Takwimu muhimu
- Argentina iliifunga Algeria mabao 3-0 katika mechi yao ya kwanza ya Kundi J.
- Messi alifunga hat-trick katika mechi yake ya 200 ya kimataifa.
- Argentina ni mabingwa watetezi wa Kombe la Dunia (2022) na wameorodheshwa namba 1 duniani na FIFA.
- Rekodi ya Argentina katika mechi 5 zilizopita: Ushindi, Ushindi, Ushindi, Ushindi, Ushindi.
- Lautaro Martínez na Julián Álvarez wanaendelea kutoa msaada mkubwa wa ushambuliaji kwa Messi.
- Emiliano Martínez bado ni chaguo la kwanza golini.
- Austria iliifunga Jordan mabao 3-1 katika mechi yao ya kwanza.
- Marko Arnautović alifunga dhidi ya Jordan na ndiye tishio kuu la ushambuliaji.
- Marcel Sabitzer ni injini ya kiungo cha Austria.
- David Alaba ni kiongozi wa safu ya ulinzi na tishio kwenye mipira ya adhabu.
- Argentina iliwahi kushinda Austria 5-1 mwaka 1980 na kutoka sare ya 1-1 mwaka 1990 katika mechi za kirafiki.
Rekodi ya Argentina vs Austria h2h
Argentina na Austria zimekutana mara mbili pekee kabla ya mechi hii, mikutano hiyo yote ilikuwa kutokana na mechi za kirafiki. Argentina ilishinda 5-1 mwaka 1980, na timu hizo kutoka sare ya 1-1 mwaka 1990. Matokeo hayo yanaonyesha rekodi nzuri ya Argentina dhidi ya Austria, jap oni miaka mingi imepita tangu kukutana.
Argentina vs Austria h2h
| Mwaka | Matokeo ya Mechi |
|---|---|
| 1990 | Argentina na Austria zilitoka sare ya mabao 1-1 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa. |
| 1980 | Argentina ilipata ushindi mkubwa wa mabao 5-1 dhidi ya Austria katika mechi ya kirafiki. |
Utabiri wetu

Utabiri wetu kutokana na maoni ya uhariri yanaipa nafasi kubwa Argentina ushinda mechi hii. Wakiwa mabingwa watetezi wa dunia, na baadhi ya mastaa wa viwango vya juu akiwemo nahodha wao, Lionell Messi akiwa katika kiwango bora kabisa cha mashindano haya. Ni ngumu kwa timu yoyote kucheza dhidi yao, na ushindi wao wa mechi ya kwanza unatuma ujumbe mzito. Austria pia si timu ya kubezwa. Mfumo wa presha ya juu wa Rangnick pamoja na ubora wa Sabitzer, Baumgartner na Arnautović unaweza kuisumbua Argentina.
Odds kubwa na Jinsi ya kuweka dau kwenye SportPesa
Chagua soko lako — Dau la Mchezo Mmoja (SB), Multi-Bet (MB), au Dau la Moja kwa Moja (LB) mechi ikianza.
Weka kiasi cha dau na uthibitishe dau lako.
Hitimisho
Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa nafasi kubwa ya ushindi kwa Argentina, hii ni kutokana na tathmini ya ubora wa vikosi na na kimbinu. Japo kwa ujumla mchezo unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Argentina vs Austria kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator
Kufahamu utabiri na uchambuzi wa mechi inayofuata ya Brazil, soma hii: Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026: Team news, prediction, h2h
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Argentina dhidi ya Austria itaanza saa ngapi?
Mechi itaanza saa mbili usiku kwa saa za Afrika Mashariki 22 June 2026 katika Uwanja wa AT&T, Arlington, Texas, Marekani.
Nini kilitokea katika mechi ya kwanza ya Argentina kwenye Kombe la Dunia 2026?
Argentina iliifunga Algeria mabao 3-0 katika mechi ya kwanza ya Kundi J. Lionel Messi alifunga mabao matatu katika mechi yake ya 200 ya kimataifa.
Nini kilitokea katika mechi ya kwanza ya Austria kwenye Kombe la Dunia 2026?
Austria iliifunga Jordan mabao 3-1 chini ya Ralf Rangnick. Marko Arnautović alikuwa miongoni mwa wafungaji.
Je, Argentina na Austria zimewahi kukutana hapo awali?
Ndiyo. Zimekutana mara mbili katika mechi za kirafiki. Argentina ilishinda 5-1 mwaka 1980 na sare ya 1-1 ilipatikana mwaka 1990. Huu ni mkutano wao wa kwanza wa ushindani.
Argentina na Austria zipo kundi gani katika Kombe la Dunia 2026?
Timu zote mbili zipo Kundi J pamoja na Algeria na Jordan. Baada ya Mechi ya 1, Argentina na Austria zina pointi tatu kila moja.
Je, hili ndilo Kombe la Dunia la mwisho kwa Messi?
Messi ana umri wa miaka 38 wakati wa Kombe la Dunia la 2026 na hajathibitisha hadharani kama hili litakuwa mashindano yake ya mwisho. Baada ya kufunga hat-trick dhidi ya Algeria katika mechi yake ya 200 ya kimataifa, wengi wanaamini huenda hili likawa Kombe lake la Dunia la mwisho.

