Tunisia vs Japan FIFA Kombe la Dunia 2026Hannibal
  • Kundi F mchezo wa pili Tunisia vs Japan FIFA Kombe la Dunia, Juni 20, 2026
  • Uwanja wa Monterrey nchini Mexico mchezo huu mkali unatarajiwa kuchezwa
  • H2H, prediction, team news na odds kubwa tumekuletea hapa

Tunisia wanashuka Uwanja wa Monterrey wakiwa tayari wamefungwa mabao 5 katika mechi ya kwanza, huku Japan wakiwa hawajapoteza wanahitaji ushindi ambao utawapa nafasi katika hatua ya 32 bora.Umuhimu wa mechi hii ni mkubwa kwa pande zote mbili. Ni Tunisia vs Japan FIFA Kombe la Dunia mchezo unaofuata katika Kundi F ukiwa ni mchezo wa pili.

Tunisia vs Japan taarifa muhimu za mchezo

Mashindano: FIFA Kombe la Dunia 2026, Kundi F, mchezo wa pili

Tarehe: Juni 20, 2026

Siku: Jumamosi

Muda wa mchezo : Saa 7:00 usiku saa za Afrika Mashariki

Uwanja: Monterrey (Estadio BBVA), Monterrey nchini Mexico

Jukwaa la kubashiri: SportPesa

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi yaTunisia vs Japan, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Tunisa vs Japan
Tunisa vs Japan Odds

Tunisia vs Japan taarifa kuhusu timu

Tunisia vs Japan FIFA Kombe la Dunia 2026
Wachezaji wa timu ya taifa ya Japan.

Kamata ratiba na tarehe mechi zote FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Ni Tunisia walipoteza dhidi ya Sweden katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia 2026, wakiruhusu mabao 5 na kuonyesha udhaifu mkubwa wa kiulinzi katika kiwango cha juu. Kinyume chake, kampeni yao ya kufuzu CAF ilikuwa bora ushindi mara 6, mabao 16 yaliyofungwa na hakuna bao waliloruhusu. Wapinzani wao walikuwa wa kiwango cha chini ukilinganisha na Sweden na sasa Japan.

Japan walionyesha uimara dhidi ya Uholanzi kwa kupata sare ya 2-2. Daichi Kamada na Keito Nakamura walifunga katika mechi ya kwanza. Kikosi cha Hajime Moriyasu kilionyesha utulivu na kubadilika kimbinu, sifa ambazo zimekuwa alama ya kampeni zao za hivi karibuni za Kombe la Dunia. Kwa uwepo wa Takefusa Kubo akiongoza mashambulizi, Japan wana tishio la ubunifu na hatari pande zote mbili za uwanja.

Fomu ya Timu

Tunisia Mechi Tano za Mwisho

MechiMatokeoMashindano
Sweden Ilipoteza 1-5Kombe la Dunia 2026
Belgium Ilipoteza 0-5Kirafiki
Austria Ilipoteza 0-1Kirafiki
Canada Sare 0-0Kirafiki
Haiti Ilishinda 1-0Kirafiki

Japan mechi 5 za mwisho

MechiMatokeoMashindano
Netherlands Sare 2-2Kombe la Dunia 2026
Iceland Ilishinda 1-0Kirafiki
England Ilishinda 1-0Kirafiki
Scotland Ilishinda 1-0Kirafiki
Bolivia Ilishinda 3-0Kombe la Kirin
Tunisa vs Japan
Tunisa vs Japan

Ujue muda wa mchezo wa Mexico vs South Korea Kombe la Dunia: Mexico vs South Korea FIFA Kombe la Dunia 2026: Utabiri, kick off, team news, odds, h2h

H2H Tunisia vs Japan

MechiMatokeoMashindano
Kombe la Dunia 2002Japan 2-0 TunisiaHatua ya makundi
Kombe la Kirin 2022Tunisia 3-0 JapanKirafiki kabla ya mashindano

Habari za Kikosi

Taarifa muhimu kuhusu kikosi cha Tunisia

KipengeleMaelezo
KochaSabri Lamouchi (Alichaguliwa 2026 baada ya mabadiliko ya benchi la ufundi)
NahodhaEllyes Skhiri, kiongozi wa kiungo
KiungoHannibal Mejbri (Burnley) na Anis Ben Slimane (Norwich City) uzoefu wa ligi za Ulaya
Changamoto ya ulinziOmar Rekik (caps 6) alifunga bao la kufutia machozi dhidi ya Sweden, lakini safu ya nyuma ilionekana dhaifu
WashambuliajiElias Achouri (Copenhagen) na Elias Saad (Hannover 96) wanahitaji kujitokeza ili kuepuka kipigo kingine
KipaAymen Dahmen anahitaji kuonyesha kiwango bora zaidi baada ya kuonekana dhaifu dhidi ya Sweden

Taarifa muhimu kuhusu Japan

KipengeleMaelezo
Uzoefu wa kimataifaKikosi kimejaa wachezaji wenye uzoefu
BekiYuto Nagatomo (miaka 39) chaguo la ulinzi lenye uzoefu mkubwa
UbunifuDaichi Kamada (Crystal Palace) na Ritsu Doan (Eintracht Frankfurt) wabunifu nyuma ya mshambuliaji
MshambuliajiAyase Ueda (Feyenoord) mshambuliaji mkuu mwenye mabao 16 ya kimataifa
Hali ya majerahaHakuna majeraha makubwa yaliyoripotiwa kwa kikosi cha Hajime Moriyasu

Vikosi vinavyotarajiwa kuanza

Hivi vyote sio vikosi ambavyo vimetolewa na timu. Vikosi rasmi vinatarajiwa kutolewa saa moja kabla ya mchezo.

Tunisia (4-3-3)Japan (4-2-3-1)
DahmenZion Suzuki
ValerySugawara
TalbiItakura (c)
BronnHiroki Ito
Ben OuanesNagatomo
Skhiri (c)Sano
Ben SlimaneAo Tanaka
MejbriKubo
AchouriKamada
SaadDoan
GharbiUeda

Tunisia vs Japan Prediction

Kuelekea mchezo wa Tunisia vs Japan, kwa rekodi zinaonyesha ushindi ni upande wa Japan. Matokeo ambayo imepata mchezo wa ufunguzi yanaongeza nguvu kwa mchezo ujao. Tunisia 0-2 Japan. Mabao yatapatikana kwenye mchezo kutokana na safu ya ushambuliaji ya Japan kuwa imara. Haya ni maoni sio matokeo kamili.

Itambue ratiba ya Brazil Kombe la Dunia 2026: FIFA Kombe la Dunia 2026 Ratiba ya Brazil | Mechi zote | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika | Je, Neymar Jr yuko tayari?

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Tunisia vs Japan

Mashabiki wanaweza kufuatilia Tunisia vs Japan kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: