Mayele vs CristianoMayele vs Cristiano
  • Ratiba ya Portugal FIFA Kombe la Dunia 2026 inaonyesha mechi 3 za kufa na kupona, kwa timu hiyo ili kuvuka hatua ya makundi.
  • Portugal au Ureno (Tafsiri ya Kiswahili) ni miongoni mwa timu 5, zinazotabiriwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2026.
  • Ikiwa imesheheni mastaa wenye majina makubwa kama vile; Cristiano Ronaldo, Bruno Fernandes, Vitinha na wengineo wengi wanaona hiyo ni sababu tosha.
  • Kombe la Dunia ndio taji pekee ambalo Portugal na staa wao Ronaldo hawajawahi kushinda katika historia ya nchi na binafsi kwa Nyota huyo, hii hapa ratiba ya mechi zao.

Ratiba ya Portugal FIFA Kombe la Dunia 2026 inawaleta pamoja mashabiki wote wa Taifa hilo Duniani. Portugal au Ureno (Tafsiri ya Kiswahili) ni miongoni mwa timu 5, zinazotabiriwa kuwa na nafasi kubwa ya kushinda ubingwa wa Kombe la Dunia mwaka 2026. Ikiwa imesheheni mastaa wenye majina makubwa kama vile; Cristiano Ronaldo, Bruno Fernandes, Vitinha na wengineo wengi wanaona hiyo ni sababu tosha. Kombe la Dunia ndio taji pekee ambalo Portugal na staa wao Ronaldo hawajawahi kushinda katika historia yao, hii hapa ratiba ya mechi zao.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

Bado hujashinda pesa? Cheza aviator ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi zaidi ya Milioni 800 muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa Aviator- 800Mil

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator

Portugal wamepangwa Kundi gani?

Kundi K
Kundi K

Portugal imepangwa Kundi K la mashindano ya Kombe la Dunia 2026.Timu nyingine katika Kundi hilo ni Uzbekistan, Colombia na mmoja wa wawakilishi wa Afrika timu ya Taifa ya DR Congo. Portugal itaanza karata yake ya kwanza kwa kuvaana na DR Congo, Uzbekistan na kumalizia na Colombia. Hii inaonyeshwa na msimamo wa Kundi K, kama ifuatavyo;

Msimamo wa Kundi K

Kumbuka: Jedwali hili linaonyesha hali ya kundi kabla ya kuanza kwa mechi za Kombe la Dunia 2026. Timu zote zinaanza zikiwa na pointi sifuri, huku nafasi halisi zikitarajiwa kubadilika baada ya kila mchezo wa hatua ya makundi.

Ratiba ya Portugal FIFA Kombe la Dunia 2026

Tarehe                         Mechi                          Uwanja

17 Juni 2026    Portugal vs Congo DR      Houston

23 Juni 2026    Portugal vs Uzbekistan    Zapopan

27 Juni 2026    Colombia vs Portugal       Miami

SOMA HII PIA: Sheria mpya za mechi Kombe la Dunia 2026 zashtua! Nini kimebadilishwa?

Hiki hapa kikosi Kamili cha Portugal cha Kombe la Dunia 2026

Ratiba ya Portugal FIFA Kombe la Dunia 2026
kikosi cha Portugal

Makipa

Diogo Costa

José Sá

Rui Silva

Ricardo Velho

Mabeki

Diogo Dalot

Matheus Nunes

Nélson Semedo

João Cancelo

Nuno Mendes

Gonçalo Inácio

Renato Veiga

Rúben Dias

Tomás Araújo

Viungo

Rúben Neves

Samú Costa

João Neves

Vitinha

Bruno Fernandes

Bernardo Silva

Washambuliaji

Cristiano Ronaldo

Rafael Leão

Gonçalo Ramos

Pedro Neto

João Félix

Francisco Conceição

Trincão

Gonçalo Guedes

Kikosi hiki kinatajwa kuwa miongoni mwa vikosi bora zaidi ambavyo Ureno imewahi kuwa navyo katika historia ya Kombe la Dunia. Nyota wao wengi wanacheza kwenye mataifa makubwa kisoka, na wengine ni mabingwa wa michuano mikubwa. Je, wataweza kutoboa?

SOMA HII ZAIDI: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Wachezaji wa Kuangaliwa

Baadhi ya mastaa wa kuchungwa
Baadhi ya mastaa wa kuchungwa

Ureno ina wachezaji wengi bora, hivyo ni sawa kusema kila mchezaji ni wa kuangaliwa ila Cristiano Ronaldo anabaki kuwa Nyota mwenye ushawishi mkubwa kwa Ureno na sura ya soka la nchi hiyo. Nyota wengine ni viungo Vitinha anayekipiga na klabu ya PSG ambaye hakamatiki kwa sasa na mchezaji bora wa EPL, Bruno Fernandez. Nyota hawa kwenye kiungo ni ndoto a kutisha kukutana nao kwa sasa.

Hitimisho

Kombe la Dunia
Kombe la Dunia

Ratiba ya Portugal FIFA Kombe la Dunia 2026 inaonyesha wanatarajia kuanza kutimua vumbi dhidi ya DR Congo. Ni mechi ngumu kutokana na ubora wa timu zote mbili, japo Portugal wanapewa nafasi kubwa ya kuanza na matokeo ya ushindi. Swali kubwa ni ikiwa ndoto ya Cristiano Ronaldo na Ureno kushinda ubingwa huo zitatimia?

SOMA HII PIA: Kombe la Dunia 2026 |Linaanza lini? Timu ngapi? Kuchezwa wapi? Kuna Sheria mpya? Ronaldo au Messi? Haya hapa majibu ya maswali yote muhimu unayojiuliza

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.