JKT Tanzania vs Singida Black StarsMachezo
  • Kituo kinachofuata ni JKT Tanzania vs Singida Black Stars NBC Premier League 2025/26, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.
  • Mchezo uliopita mzunguko wa kwanza matokeo ilikuwa Singida Black Stars 0-1 JKT Tanzania, je mzunguko wa pili nani kuibuka mbabe?
  • SportPesa Blog tumekuletea takwimu za wababe hawa H2H NBC Premier League

JKT Tanzania vs Singida Black Stars NBC Premier League ni ratiba inayofuata kwa wababe hawa wawili 2025/26, JKT Tanzania amecheza mchezo mmoja dhidi ya Singida Black Stars akipata ushindi wa goli 1-0 ugenini. Hii ni vita ya uwanjani kwa wawili hawa kupambania kumaliza nafasi nne za juu.Timu itakayomaliza kwenye nafasi hiyo ina uhakika wa kupeperusha bendera ya Tanzania katika anga la kimataifa, CAF Confederation Cup.

SOMA HII: Ratiba ya mechi zilizobakia za Singida Black Stars kwenye NBC Premier League 2025/26 | SportPesa Blog

Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

SportPesa Aviator Challenge

JKT Tanzania vs Singida Black Stars NBC Premier League mechi za funga msimu

JKT Tanzania vs Singida Black Stars
Nyota wa JKT Tanzania.

SOMA HII: Singida Black Stars waonja joto ya jiwe mbele ya Azam FC | Takwimu za mchezo | NBC Premier League msimamo |h2h

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Baada ya mapumziko burudani inarejea JKT Tanzania vs Singida Black Stars NBC Premier League Juni 13, 2026 watakuwa kazini kusaka pointi 3. Mechi hii inatajwa kuwa na ushindani kwa kila timu kupambania malengo kuwa ndani ya nne bora. Singida Black Stars imekusanya pointi 41 ipo nafasi ya 4, JKT Tanzania ina pointi 38 nafasi ya 5.

Ikiwa JKT Tanzania atavuna pointi 3 atamfikia pointi 41mpinzani wake Singida Black Stars. Hapo kazi itaendelea mpaka mwisho wa msimu atakayemaliza na pointi nyingi atakuwa hapo. Kila timu ina mechi 5 mkononi kufunga msimu wa 2025/26. Je nani atavuna pointi 3? Endelea kufuatilia SportPesa Blog.

H2H JKT Tanzania vs Singida Black Stars

TareheMechiMatokeo
20/01/2026Singida Black Stars vs JKT Tanzania0-1
13/02/2025JKT Tanzania vs Singida Black Stars0-1
29/09/2024Singida Black Stars vs JKT Tanzania1-1
09/05/2024Singida Black Stars vs JKT Tanzania0-0
26/11/2023JKT Tanzania vs Singida Black Stars1-1
16/06/2021JKT Tanzania vs Singida Black Stars2-0
06/12/2020Singida Black Stars vs JKT Tanzania1-1

Takwimu za ushindi JKT Tanzania vs Singida Black Stars

JKT Tanzania vs Singida Black Stars
Singida Black Stars kikosi.
KipengeleSingida Black StarsJKT Tanzania
Ushindi12
Sare44
Kufungwa21
Magoli ya Kufunga46
Magoli ya Kufungwa64

Katika mechi 7 tangu 2020 walipokutana JKT Tanzania ina rekodi bora kidogo. Imepata ushindi mara 2 huku Singida Black Stars ikipata ushindi mara moja. Mchezo ujao Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo utakuwa na kazi kusaka mshindi ama sare nyingine.

SOMA HII: NBC Premier League table 2025/26

Hitimisho

JKT Tanzania vs Singida Black Stars NBC Premier League moja ya mechi kali kwa mzunguko wa kwanza. Hii inatokana na ushindani uliopo na kila timu kuwa na malengo kushiriki mashindano ya kimataifa. Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa kwa taarifa za hivi punde.

Share this: