- JKT Tanzania vs Yanga SC kitawaka Jumamosi 15/5/2026, katika mfululizo wa mechi za mashindano ya Kombe la CRDB Bank Federation.
- Yanga SC wanarudi tena katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, wakati huu wakiwa wageni wa JKT Tanzania siku chache baada ya kuivaa Simba SC kwenye Uwanja huo.
- Yanga SC wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya matokeo ya Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC.
- Baada ya kupoteza Unbeaten ya Ligi Kuu ya NBC, Je Yanga SC watakubali kuchapwa tena?
JKT Tanzania vs Yanga SC kitawaka Jumamosi hii 15/5/2026, ni katika hatua ya Robo Fainali ya Kombe la CRDB Bank Federation. Mechi hii itapigwa Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Dar es Salaam kuanzia saa 12:30 jioni, hii ni baada ya kupita siku chache tangu walipovaana na Simba hapohapo.
Yanga SC wanaingia katika mchezo huu wakiwa na kumbukumbu mbaya baada ya matokeo ya Dodoma Jiji 3-2 Yanga SC.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya CRDB Federation 2025/26; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog.
Unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa
Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

Aviator: Paisha kindege ushinde mpaka zaidi ya 800,000,000.
JKT Tanzania vs Yanga SC, H2H

Timu hizi zimekutana katika mechi 19 za ushindani, ambapo Yanga SC wameshinda mechi 15, na JKT Tanzania bado haijaonja ladha ya ushindi. Mechi 5 katika mikutano yao hakukupatikana mbabe. Hivyo hii ni nafasi kwa kila timu kuandika historia mpya.
SOMA HII PIA: Muonekano wa matokeo ya droo ya Robo Fainali CRDB Federation Cup
Walichosema makocha
JKT Tanzania
Akizungumzia mchezo huo, kocha wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema: “Maandalizi ya mchezo wa CRDB Bank Federation Cup kati yetu dhidi ya Yanga SC, yalikuwepo tokea mwanzo na yameenda vema. Wachezaji wameandaliwa kisaikolojia zaidi na kimwili, kuhakikisha wanacheza katika ubora utakaowapatia matokeo ya ushindi.”
Kwa upande wa mchezaji wa timu hiyo, Laurian Makame amesema wachezaji wamejiandaa vema katika uwanja wa mazoezi kilichobaki ni utekelezaji kwenye mchezo husika.
Yanga SC

Kaimu kocha wa Yanga SC, Abdihamid Moalin amesema: “Lengo letu ni kuendelea hatua inayofuata, tunafahamu tumepata matokeo mabaya kwenye ligi. Lakini haya ni maandailzi ya mchezo wa CRDB Bank Federation Cup. Tunatarajia mchezo utakuwa wa kuvutia na wa ushindani kwa pande zote, lakini tutahakikisha tunabaki kwenye malengo ya Kwenda hatua inayofuata.”
Naye mchezaji wa timu hiyo, Emmanuel Mwanengo amesema wachezaji wapo tayari na wana morali ya kutosha kupigania kombe hili mpaka mwisho. Ikumbukwe mechi hii ni kesho Mei 16,2026 Saa 12:30 jioni.
SOMA HII ZAIDI: Ligi Kuu ya Bara results and live scores
Yanga SC kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara (NBC Premier League)
Licha ya kipigo cha kushtua cha mabao 3-2 walichopokea vs Dodoma Jiji, Yanga SC wanaendelea kusalia kileleni mwa msimamo wa ligi Mpaka sasa. Yanga SC wanaongoza msimamo wa ligi na pointi zao 54, walizokusanya katika mechi 23. Katika michezo hiyo Yanga SC wamefunga mabao 44.
| Nafasi | Timu | Mechi | Ushindi | Sare | Kipigo | Mabao ya Kufunga/Kufungwa | Tofauti ya Mabao | Pointi |
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
| 1 | Young Africans | 23 | 16 | 6 | 1 | 52:8 | +44 | 54 |
| 2 | Simba | 23 | 15 | 7 | 1 | 42:9 | +33 | 52 |
| 3 | Azam | 23 | 12 | 10 | 1 | 33:9 | +24 | 46 |
| 4 | Singida Black Stars | 23 | 11 | 5 | 7 | 30:23 | +7 | 38 |
| 5 | JKT Tanzania | 23 | 9 | 9 | 5 | 23:22 | +1 | 36 |
| 6 | TRA United | 23 | 9 | 7 | 7 | 28:21 | +7 | 34 |
| 7 | Dodoma Jiji | 23 | 8 | 8 | 7 | 22:23 | -1 | 32 |
| 8 | Pamba | 23 | 7 | 9 | 7 | 22:24 | -2 | 30 |
| 9 | Mashujaa | 23 | 5 | 11 | 7 | 11:20 | -9 | 26 |
| 10 | Mtibwa Sugar | 23 | 6 | 8 | 9 | 20:32 | -12 | 26 |
| 11 | Coastal Union | 23 | 6 | 7 | 10 | 22:29 | -7 | 25 |
| 12 | Fountain Gate | 23 | 7 | 4 | 12 | 17:33 | -16 | 25 |
| 13 | Namungo | 23 | 5 | 9 | 9 | 17:24 | -7 | 24 |
| 14 | Mbeya City | 23 | 5 | 6 | 12 | 18:34 | -16 | 21 |
| 15 | Tanzania Prisons | 23 | 4 | 5 | 14 | 12:32 | -20 | 17 |
| 16 | Kinondoni MC | 23 | 2 | 3 | 18 | 13:39 | -26 | 9 |
Hitimisho

JKT Tanzania vs Yanga SC ni miongoni mwa michezo 4 mikubwa ya hatua ya Robo Fainali ya CRDB Federation. Washindi wanne ambao watavuka hapa,watakuwa wanaenda moja kwa moja Nusu Fainali. Hivyo, ni wazi kuwa kila timu inapaswa kuchanga karata zake vizuri
SOMA HII PIA: Ligi Kuu ya Bara stats

