Vita ya wachezaji Yanga SC vs Simba SCVita ya wachezaji Yanga SC vs Simba SC
  • Ratiba ya Ligi Kuu Bara 2026/27 imetolewa rasmi na bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB).
  • Tofauti na misimu mingi iliyopita, kwa ratiba ya msimu mpya wa 2026/27 vigogo wa soka nchini, Simba SC na Yanga SC zote zinatarajia kuanza karata zao ugenini.
  • Mchezo wenye thamani kubwa kwenye Ligi wa Kariakoo Dabi, yaani Simba SC vs Yanga SC kwa mzunguko wa kwanza umepangwa kupigwa Oktoba 10, 2026.
  • Makala hii inaainisha kwa ufupi ratiba za mechi 128 za mzunguko wa kwanza kwenye ratiba hiyo.

Hatimaye ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 imetangazwa rasmi na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB). Ratiba hiyo inaonyesha vigogo yaani bingwa mtetezi Yanga SC na mshindi wa pili Simba SC kwa msimu uliopita zitaanzia ugenini. Kama ulikuwa unajiuliza kuhusu Mchezo mkubwa wa Dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC vs Yanga SC, basi taarifa ikufikie kuwa mchezo huo kwa mzunguko wa kwanza unatarajiwa kupigwa Oktoba 10, 2026. Makala hii inachambua kwa ufupi ratiba hiyo.

Muhtasari kuhusu ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27

Yanga SC bingwa
Yanga SC NBC

Pazia la Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2026/27 linatarajiwa kufunguliwa rasmi Agosti 14, 2026 kwa mechi 3 kupigwa katika viwanja vitatu tofauti. Mchezo wa kwanza unatarajiwa kuwa kati ya Pamba Jiji vs Dodoma Jiji, mchezo ambao unatarajiwa kupigwa saa nane mchana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Baada ya hapo ratiba itaendelea kwa michezo mingine kuendana na mpangilio.

UNATAKA KUJUA RATIBA YA MECHI 10 ZA KWANZA ZA SIMBA SC, SOMA HII: Ratiba ya Simba SC mechi 10 za msimu mpya 2026/27 : Ligi Kuu NBC , Takwimu |Kukutana na Yanga SC ‘Kariakoo Dabi’ Oktoba 10, 2026 | SportPesa Blog

Hii hapa ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27; Mechi zote, uwanja utakaotumika na muda wa mechi

Simba SC yashtua na fumbo la jezi namba 6 ni Feisal au udhamini?
Feisal na Simba
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M01Ijumaa, 14 Agosti14:00Pamba Jiji FCDodoma JijiCCM KirumbaMwanza
M02Ijumaa, 14 Agosti16:15Mbeya CityGeita GoldUwanja wa SokoineMbeya
M03Ijumaa, 14 Agosti19:00Singida Black StarsFountain GateAirtel StadiumSingida
M04Jumamosi, 15 Agosti16:00Polisi TanzaniaAzam FCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M05Jumamosi, 15 Agosti18:30Coastal UnionMashujaa FCCCM MkwakwaniTanga
M06Jumamosi, 15 Agosti21:00Namungo FCYoung Africans SCMajaliwa StadiumLindi
M07Jumapili, 16 Agosti18:00Kagera SugarSimba SCKaitaba StadiumKagera
M08Jumapili, 16 Agosti20:30JKT TanzaniaTRA United SCMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M09Jumanne, 18 Agosti16:00Fountain GateMashujaa FCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M10Jumanne, 18 Agosti19:00Namungo FCGeita GoldMajaliwa StadiumLindi
M11Jumatano, 19 Agosti14:00Mbeya CityDodoma JijiUwanja wa SokoineMbeya
M12Jumatano, 19 Agosti16:15Pamba Jiji FCSimba SCCCM KirumbaMwanza
M13Jumatano, 19 Agosti19:00Kagera SugarSingida Black StarsKaitaba StadiumKagera
M14Alhamisi, 20 Agosti16:00Polisi TanzaniaJKT TanzaniaSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M15Alhamisi, 20 Agosti18:30Young Africans SCCoastal UnionUhuru StadiumDar es Salaam
M16Alhamisi, 20 Agosti21:00Azam FCTRA United SCAzam ComplexDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M17Jumamosi, 22 Agosti18:00Singida Black StarsSimba SCAirtel StadiumSingida
M18Jumamosi, 22 Agosti20:30Geita GoldKagera SugarBukombe StadiumGeita
M19Jumapili, 23 Agosti16:00Mbeya CityMashujaa FCUwanja wa SokoineMbeya
M20Jumapili, 23 Agosti19:00Azam FCPamba Jiji FCAzam ComplexDar es Salaam
M21Jumatatu, 24 Agosti18:00Young Africans SCJKT TanzaniaUhuru StadiumDar es Salaam
M22Jumatatu, 24 Agosti20:30Coastal UnionTRA United SCCCM MkwakwaniTanga
M23Jumanne, 25 Agosti18:00Namungo FCFountain GateMajaliwa StadiumLindi
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M24Jumanne, 25 Agosti20:30Dodoma JijiPolisi TanzaniaUwanja wa JamhuriDodoma
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M25Alhamisi, 27 Agosti16:00Mashujaa FCKagera SugarLake Tanganyika StadiumKigoma
M26Alhamisi, 27 Agosti19:00Simba SCCoastal UnionUhuru StadiumDar es Salaam
M27Ijumaa, 28 Agosti16:00Fountain GateMbeya CitySheikh Amri Abeid StadiumArusha
M28Ijumaa, 28 Agosti18:30Geita GoldAzam FCBukombe StadiumGeita
M29Ijumaa, 28 Agosti21:00Young Africans SCPamba Jiji FCUhuru StadiumDar es Salaam
M30Jumamosi, 29 Agosti16:00TRA United SCDodoma JijiSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M31Jumamosi, 29 Agosti18:30Singida Black StarsPolisi TanzaniaAirtel StadiumSingida
M32Jumamosi, 29 Agosti21:00JKT TanzaniaNamungo FCMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M33Jumatatu, 31 Agosti18:00Simba SCGeita GoldUhuru StadiumDar es Salaam
M34Jumatatu, 31 Agosti20:30Kagera SugarAzam FCKaitaba StadiumKagera
M35Jumanne, 1 Septemba16:00Fountain GateYoung Africans SCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M36Jumanne, 1 Septemba19:00Singida Black StarsNamungo FCAirtel StadiumSingida
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M37Ijumaa, 4 Septemba16:00TRA United SCMbeya CitySheikh Amri Abeid StadiumArusha
M38Ijumaa, 4 Septemba19:00Dodoma JijiMashujaa FCUwanja wa JamhuriDodoma
M39Jumamosi, 5 Septemba19:00JKT TanzaniaPamba Jiji FCMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
M40Jumapili, 6 Septemba16:00Polisi TanzaniaCoastal UnionSheikh Amri Abeid StadiumArusha
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M41Jumanne, 8 Septemba16:00Mashujaa FCSingida Black StarsLake Tanganyika StadiumKigoma
M42Jumanne, 8 Septemba19:00Young Africans SCGeita GoldUhuru StadiumDar es Salaam
M43Jumatano, 9 Septemba19:00Azam FCSimba SCAzam ComplexDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M44Ijumaa, 11 Septemba19:00Dodoma JijiNamungo FCUwanja wa JamhuriDodoma
M45Jumamosi, 12 Septemba16:00Polisi TanzaniaMbeya CitySheikh Amri Abeid StadiumArusha
M46Jumamosi, 12 Septemba19:00Coastal UnionJKT TanzaniaCCM MkwakwaniTanga
M47Jumapili, 13 Septemba16:00Pamba Jiji FCTRA United SCCCM KirumbaMwanza
M48Jumapili, 13 Septemba19:00Kagera SugarFountain GateKaitaba StadiumKagera

Kipindi cha Kalenda ya FIFA

21 Septemba – 6 Oktoba (Siku 16)

Katika kipindi hiki hakutakuwa na mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara kutokana na:

  • Dirisha la Kimataifa la FIFA
  • Mechi za Kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M49Alhamisi, 8 Oktoba14:00Mashujaa FCPolisi TanzaniaLake Tanganyika StadiumKigoma
M50Alhamisi, 8 Oktoba16:15Pamba Jiji FCGeita GoldCCM KirumbaMwanza
M51Alhamisi, 8 Oktoba18:30Namungo FCTRA United SCMajaliwa StadiumLindi
M52Alhamisi, 8 Oktoba21:00Coastal UnionAzam FCCCM MkwakwaniTanga
M53Ijumaa, 9 Oktoba14:00Fountain GateJKT TanzaniaSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M54Ijumaa, 9 Oktoba16:15Mbeya CityKagera SugarUwanja wa SokoineMbeya
M55Ijumaa, 9 Oktoba19:00Dodoma JijiSingida Black StarsUwanja wa JamhuriDodoma
M56Jumamosi, 10 Oktoba19:00Simba SCYoung Africans SCUhuru StadiumDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M57Jumatatu, 12 Oktoba18:00Coastal UnionSingida Black StarsCCM MkwakwaniTanga
M58Jumatatu, 12 Oktoba20:30Azam FCNamungo FCAzam ComplexDar es Salaam
M59Jumanne, 13 Oktoba16:00TRA United SCYoung Africans SCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M60Jumanne, 13 Oktoba19:00Simba SCMashujaa FCUhuru StadiumDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M61Ijumaa, 16 Oktoba16:00Fountain GatePamba Jiji FCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M62Ijumaa, 16 Oktoba19:00Geita GoldDodoma JijiBukombe StadiumGeita
M63Jumamosi, 17 Oktoba19:00Kagera SugarPolisi TanzaniaKaitaba StadiumKagera
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M64Jumapili, 18 Oktoba19:00JKT TanzaniaMbeya CityMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M65TBATBASingida Black StarsTRA United SCAirtel StadiumSingida
M66TBATBADodoma JijiYoung Africans SCUwanja wa JamhuriDodoma
M67TBATBASimba SCMbeya CityUhuru StadiumDar es Salaam
M68TBATBAAzam FCMashujaa FCAzam ComplexDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M69Ijumaa, 23 Oktoba16:00Polisi TanzaniaPamba Jiji FCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M70Jumamosi, 24 Oktoba18:00JKT TanzaniaKagera SugarMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
M71Jumamosi, 24 Oktoba20:30Namungo FCCoastal UnionMajaliwa StadiumLindi
M72Jumapili, 25 Oktoba19:00Geita GoldFountain GateBukombe StadiumGeita
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M73Jumanne, 27 Oktoba16:00Pamba Jiji FCSingida Black StarsCCM KirumbaMwanza
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M74Jumanne, 27 Oktoba18:30Young Africans SCMashujaa FCUhuru StadiumDar es Salaam
M75Jumanne, 27 Oktoba21:00Dodoma JijiJKT TanzaniaUwanja wa JamhuriDodoma
M76Jumatano, 28 Oktoba16:00Fountain GateSimba SCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M77Jumatano, 28 Oktoba18:30Azam FCMbeya CityAzam ComplexDar es Salaam
M78Jumatano, 28 Oktoba21:00Coastal UnionKagera SugarCCM MkwakwaniTanga
M79Alhamisi, 29 Oktoba16:00TRA United SCGeita GoldSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M80Alhamisi, 29 Oktoba19:00Namungo FCPolisi TanzaniaMajaliwa StadiumLindi
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M81Jumamosi, 31 Oktoba16:00Mbeya CitySingida Black StarsUwanja wa SokoineMbeya
M82Jumamosi, 31 Oktoba18:30JKT TanzaniaAzam FCMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
M83Jumamosi, 31 Oktoba21:00Coastal UnionDodoma JijiCCM MkwakwaniTanga
M84Jumapili, 1 Novemba16:00Polisi TanzaniaGeita GoldSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M85Jumapili, 1 Novemba19:00Young Africans SCKagera SugarUhuru StadiumDar es Salaam
M86Jumatatu, 2 Novemba14:00TRA United SCFountain GateSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M87Jumatatu, 2 Novemba16:15Mashujaa FCPamba Jiji FCLake Tanganyika StadiumKigoma
M88Jumatatu, 2 Novemba19:00Simba SCNamungo FCUhuru StadiumDar es Salaam

Kipindi cha Kalenda ya FIFA

9 Novemba – 17 Novemba (Siku 9)

Katika kipindi hiki hakutakuwa na mechi za Ligi Kuu kutokana na:

  • Dirisha la Kimataifa la FIFA
  • Mechi za Kufuzu AFCON 2027
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M89Ijumaa, 20 Novemba16:00Polisi TanzaniaYoung Africans SCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M90Ijumaa, 20 Novemba18:30Namungo FCMbeya CityMajaliwa StadiumLindi
M91Ijumaa, 20 Novemba21:00Azam FCSingida Black StarsAzam ComplexDar es Salaam
M92Jumamosi, 21 Novemba16:00Pamba Jiji FCCoastal UnionCCM KirumbaMwanza
M93Jumamosi, 21 Novemba18:30JKT TanzaniaSimba SCMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
M94Jumamosi, 21 Novemba21:00Dodoma JijiFountain GateUwanja wa JamhuriDodoma
M95Jumapili, 22 Novemba18:00Kagera SugarTRA United SCKaitaba StadiumKagera
M96Jumapili, 22 Novemba20:30Geita GoldMashujaa FCBukombe StadiumGeita
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M97TBATBAFountain GateAzam FCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M98TBATBASimba SCPolisi TanzaniaUhuru StadiumDar es Salaam
M99TBATBAMbeya CityYoung Africans SCUwanja wa SokoineMbeya
M100TBATBASingida Black StarsJKT TanzaniaAirtel StadiumSingida
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M101Ijumaa, 27 Novemba16:00Pamba Jiji FCNamungo FCCCM KirumbaMwanza
M102Ijumaa, 27 Novemba19:00Kagera SugarDodoma JijiKaitaba StadiumKagera
M103Jumamosi, 28 Novemba16:00Mashujaa FCTRA United SCLake Tanganyika StadiumKigoma
M104Jumapili, 29 Novemba19:00Geita GoldCoastal UnionBukombe StadiumGeita
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M105Ijumaa, 4 Desemba14:00TRA United SCPolisi TanzaniaSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M106Ijumaa, 4 Desemba16:15Mbeya CityPamba Jiji FCUwanja wa SokoineMbeya
M107Jumamosi, 5 Desemba19:00Coastal UnionFountain GateCCM MkwakwaniTanga
M108Jumapili, 6 Desemba16:00Mashujaa FCJKT TanzaniaLake Tanganyika StadiumKigoma
M109Jumapili, 6 Desemba19:00Kagera SugarNamungo FCKaitaba StadiumKagera
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M110TBATBASingida Black StarsGeita GoldAirtel StadiumSingida
M111TBATBASimba SCDodoma JijiUhuru StadiumDar es Salaam
M112TBATBAYoung Africans SCAzam FCUhuru StadiumDar es Salaam
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M113Ijumaa, 11 Desemba14:00Pamba Jiji FCKagera SugarCCM KirumbaMwanza
M114Ijumaa, 11 Desemba16:15Mbeya CityCoastal UnionUwanja wa SokoineMbeya
M115Ijumaa, 11 Desemba16:15TRA United SCSimba SCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M116Jumamosi, 12 Desemba16:00Fountain GatePolisi TanzaniaSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M117Jumamosi, 12 Desemba18:30Singida Black StarsYoung Africans SCAirtel StadiumSingida
M118Jumamosi, 12 Desemba21:00Azam FCDodoma JijiAzam ComplexDar es Salaam
M119Jumapili, 13 Desemba16:00Mashujaa FCNamungo FCLake Tanganyika StadiumKigoma
M120Jumapili, 13 Desemba19:00Geita GoldJKT TanzaniaBukombe StadiumGeita

Vipindi vya Mashindano Mengine

  • 18–20 Desemba: Hatua ya Makundi ya CAF – Mzunguko wa 3.
  • 25–27 Desemba: Kombe la Shirikisho la CRDB (Raundi ya 64).
Na.TareheMudaTimu MwenyejiTimu MgeniUwanjaMji
M121Jumanne, 29 Desemba16:00Namungo FCSingida Black StarsMajaliwa StadiumLindi
M122Jumanne, 29 Desemba18:30Kagera SugarPamba Jiji FCKaitaba StadiumKagera
M123Jumanne, 29 Desemba21:00Dodoma JijiTRA United SCUwanja wa JamhuriDodoma
M124Jumatano, 30 Desemba16:00Fountain GateGeita GoldSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M125Jumatano, 30 Desemba19:00Azam FCYoung Africans SCAzam ComplexDar es Salaam
M126Alhamisi, 31 Desemba16:00Polisi TanzaniaSimba SCSheikh Amri Abeid StadiumArusha
M127Alhamisi, 31 Desemba18:30JKT TanzaniaMashujaa FCMaj. Gen. Isamuhyo StadiumDar es Salaam
M128Alhamisi, 31 Desemba21:00Coastal UnionMbeya CityCCM MkwakwaniTanga

Hitimisho

Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27
Yanga SC vs Singida Black Stars

Ratiba ya Ligi Kuu Bara imethibitisha wazi kuwa Ligi Kuu Bara inatarajiwa kurejea mapema, hii ni baada ya kumalizika kwa mapumziko mafupi ya mwisho wa msimu. Ratiba hii pia imezingatia mapumziko mbalimbali, kupisha michuano mingine ambayo timu za Ligi Kuu zitashiriki. Kutoka mapema kwa ratiba hii ni fursa kwa timu zote kufanya maandailzi mapema. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kupata taarifa zote za msimu mpya na ratiba ya Ligi Kuu ya NBC na endelea kubashiri kupitia SportPesa.

NI TIMU GANI ZINAMILIKI VIWANJA VYAO? SOMA HII: Ligi Kuu Bara (NBC Premier League) | Hizi hapa timu 6 zinazomiliki viwanja vyao, matokeo ratiba

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.