Ratiba ya Simba SC NBC PremierShomar Kapombe
  • Simba SC vs Coastal Union ni mchezo unaofuata ni Aprili 2, 2026
  • Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2025/26 ni moto
  • Azam FC vs Simba SC, Mzizima Dabi ni Aprili 5, 2026
  • Simba SC vs Yanga SC, Kariakoo Dabi, Mei 3, 2026

Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2025/26 ni moto. Timu hiyo inafundishwa na Kocha Mkuu, Steve Barker raia wa Afrika Kusini, (58) ipo nafasi ya pili kwenye msimamo. Mchezo ujao ni Aprili 2, 2026 Uwanja wa Meja Isahmuyo, Simba SC vs Coastal Union.

SOMA HII: Orodha ya wachezaji wa ligi wanaowindwa Bongo na Ulaya

Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

Sportpesa Aviator- 800Mil

Ratiba ya Simba SC NBC Premier League bandika bandua

Ratiba ya Simba SC NBC Premier
Kibabage Nickson beki wa Simba SC kwenye mchezo wa ligi. Source: Simba SC.

Ipo wazi ratiba ya Simba SC NBC Premier League ni bandika bandua. Mnyama anapambania taji lililo mikononi mwa mtani Yanga SC. Ameachwa kwa tofauti ya alama 7 baada ya mechi 14 ambazo amecheza huku kinara akiwa amecheza mechi 16.

Ni mechi mbili mkononi kwa Simba SC kukamilisha idadi ya mechi 16 sawa na vinara. Je atatoboa kwenye hizo mechi? Lakini hata akitoboa bado atasalia nafasi ya pili kwa kuwa atafikisha pointi 37.

SOMA HII: Ishu ya Chama kurudi Simba SC ukweli huu hapa! Kipa mpya atambulishwa: Tetesi za usajili mpya Ligi Kuu Bara 2025/26

Sportpesa Aviator- 800Mil

Ratiba ya mechi zijazo Simba SC NBC Premier League

Simba SC vs Coastal Union, Aprili 2,2026, saa 1:00 usiku
Azam FC vs Simba SC, Aprili 5,2026 saa 1:00 usiku
Fountain Gate FC vs Simba SC, Aprili 9, 2026, saa 10:00 jioni
Namungo FC vs Simba SC, Aprili 15,2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs JKT Tanzania, Aprili 19,2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs Tanzania Prisons, Aprili 29, 2026 saa 1:00 usiku
Simba SC vs Yanga SC, Mei 3, 2026 saa 11:00 jioni.
Mashujaa FC vs Simba SC, Mei 7, 2026 saa 12:15, jioni.
Coastal Union vs Simba SC, Mei 16,2026 saa 10:00 jioni
Simba SC vs Dodoma Jiji FC, Mei 20,2026, saa 1:00 usiku.

Msimamo wa NBC Premier League

Ratiba ya Simba SC NBC Premier
Simba SC vs Yanga SC ni Mei 3,2026 ratiba ya NBC Premier League.
POSMPWDLPTS
Yanga SC16115038
Simba SC1494131
3. Azam FC1578029
4. JKT Tanzania1777328
5.Pamba Jiji FC1667325
6.Singida Black Stars1574425
7.Mtibwa Sugar1757522
8.Namungo FC1756621
9.Dodoma Jiji FC1756621
10.TRA United SC1655620
11.Mashujaa FC1747619
12.Fountain Gate FC1644816
13.Coastal Union1636715
14.Mbeya City1634913
15.Tanzania Prisons17341013
16. KMC FC1622128

SOMA HII: Azam FC yaivuruga Simba SC yaifunga mara mbili mfululizo/ Kariakoo Dabi hakuna tena

Sportpesa Aviator- 800Mil

Hitimisho

Ratiba ya Simba SC NBC Premier League kuna Mzizima Dabi, Aprili 5,2026. Mzunguko wa kwanza ilikuwa Simba SC 0-2 Azam FC. Je mnyama atalipa kisasi ama matajiri watapigilia nyundo walipoishia?

Share this: