Tunaposubiri wiki mpya ya SportPesa Goal Rush, tunafurahi sana kuleta orodha nyingine ya washindi wa wiki hii! Baada ya wiki iliyopita yenye mchuano mkali, wiki hii mambo yamezidi kunoga zaidi na wachezaji wetu wameonyesha ustadi mkubwa wa kutabiri matokeo ya mechi walizopewa.

Mchezo wa Goal Rush unaendelea kupendwa zaidi, hasa kwa mashabiki wa soka kutoka maeneo mbalimbali nchini Tanzania. Washiriki wanatakiwa kutabiri timu itakayofunga bao la kwanza, muda bao hilo litapigwa, na kipindi ambacho litafungwa. Ushindani umekuwa mkali wiki hii, lakini washindi wetu wamefanikiwa kutoa ubashiri wa kuvutia na sahihi.
Hapa ndio tunawaletea washindi wetu wa wiki ya nyingine, ambapo kila mmoja aliibuka na zawadi ya Tsh 200,000 na wengine kuibuka na 10,000. Hata hivyo, kwa sababu ya wingi wa washindi wa kiasi cha 200,000, baadhi walilazimika kugawana zawadi yao, na kila mmoja kupata Tsh 100,000. Tukumbuke bado zawadi kuu ya Tsh 100,000,000/= inamsubiri mshindi atakayetabiri kwa usahihi seti tatu za mechi. Je, inaweza kuwa yako?
Jumatatu: MKWANJA MONDAY


Jumanne: TAJIRI TUESDAY


Jumatano: Zali Day Wednesday


Alhamisi: Maokoto Thurday


Ijumaa: Faidika Friday


Wiki iliyopita kupitia SportPesa Goal Rush tuliona mabingwa wakijishindia zawadi zao, na wiki hii pia ushindani umeongezeka. Moto wa ushindi unaendelea kuwaka! Je, uko tayari kuibuka mshindi wiki ijayo? Usikose nafasi yako ya kujiunga na msisimko wa Goal Rush na kuthibitisha uwezo wako wa kutabiri kwa usahihi. Utajiri unakusubiri – usichelewe, cheza sasa na uonyeshe uwezo wako!
SportPesa – Ushindi Upo Nawe!
