- Singida Black Stars kwenye msimamo ipo nafasi ya 5 inakutana na Namungo FC iliyo nafasi ya 9
- Tangu 2020 timu hizi zimekutana mechi 10, ushindi kwa Singida Black Stars mechi 4 na Namungo FC mechi 3 na sare 3
- Jonathan Sowah ni mshambuliaji kinara wa mabao kwa upande wa Singida Black Stars akiwa nayo matatu
Ni Singida Black Stars vs Namungo FC NBC Premier League mchezo unaofuata kwenye ratiba. Wababe hawa wawili wanatarajiwa kukutana Uwanja wa Airtel saa 1:00 usiku.Tangu 2020 wamekutana mara 10 Chui mweusi ameshinda mara 4 na Namungo FC mara 3 wakitoka sare mara 3.
Ratiba ya ligi 2026/27: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Una nafasi ya kushinda mkwanja na SportPesa
Kuna nafasi yakushinda mkwanja leo ukibashiri kupitia SportPesa. Singida Black Stars vs Namungo FC watakuwa uwanjani. Suka mkeka na ubashiri kwa uwajibikaji.

H2H Singida Black Stars vs Namungo FC

Matokeo ya NBC 2026/27: Matokeo ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27 | Man of The Match | Maxi Nzengeli | Nathaniel Chilambo | Msimamo| SportPesa Blog
12/05/2026, Singida Black Stars 1-0 Namungo FC
26/02/2026, Namungo FC 1-1 Singida Black Stars
06/03/2026, Namungo FC 0-1 Singida Black Stars
20/10/2024 Singida Black Stars 2-0 Namungo FC
06/05/2024, Singida Black Stars 2-0 Namungo FC
23/11/2023, Namungo FC 2-0 Singida Black Stars
20/12/2022, Namungo FC 2-0 Singida Black Stars
19/08/2022, Singida Black Stars 0-1 Namungo FC
08/04/2021, Namungo FC 1-1 Singida Black Stars
24/10/2020, Singida Black Stars 0-0 Namungo FC
Prediction Singida Black Stars vs Namungo FC
Kuelekea mchezo wa Singida Black Stars vs Namungo FC utabiri ni ushindi kwa wenyeji. Singida Black Stars imekuwa na safu imara ya ushambuliaji. Uwepo wa Jonathan Sowah unaongeza uimara wa timu hiyo ambayo imefunga mabao 9 kwenye mechi 5.
Namungo FC haijawa na mwendo mzuri katika mechi za mzunguko wa kwanza. Kwenye mechi 5 imefunga mabao 4 inakutana na timu ambayo inashambulia kwa kasi. Matokeo ni Singida Black Stars 3-1 Namungo FC. Haya sio matokeo rasmi, ni maoni ya mhariri.
Maoni ya makocha Singida Black Stars vs Namungo FC
Kocha wa Singida Black Stars, Papy Kimoto amesema anaamini timu yake itapata ushindi dhidi ya Namungo FC. Kocha huyo amebainisha kuwa wamefanya maandalizi mazuri. Aliongeza kwa kubainisha kwamba wapo tayari kwa ajili ya kusaka pointi 3 muhimu.
“Tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu muhimu tukiwa nyumbani. Tumefanya maandalizi mazuri na wachezaji wapo tayari. Kikubwa ni kuona tunatumia vizuri uwanja wetu wa nyumbani,”.
Kwa upande wa Juma Mgunda, Kocha Mkuu wa Namungo FC amesema wanatambua ugumu wa mchezo. Ameweka wazi kuwa maandalizi yamekamilika.
“Maandalizi kwa ajili ya mchezo wetu mgumu dhidi ya Singida Black Stars yamekamilika. Tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu. Tunaamini wachezaji watatimiza wajibu wao kwa kuwa kuna haki na wajibu,”.
Msimamo

Hitimisho
Singida Black Stars vs Namungo FC wanakutana saa 1:00 usiku. Wababe hawa 2026/27 wamecheza jumla ya mechi 4.Namungo FC imeshinda mechi mbili na kupoteza mbili, Singida Black Stars imepata ushindi mechi 2 imepoteza moja na kupata sare mchezo mmoja.

