- Gaborone United vs Yanga SC ni mchuano wa CAF Champions League ambao unatarajiwa kupigwa mnamo Septemba 5, 2026, muda wa saa 2:00 usiku.
- Ifahamike kuwa Gaborone United kwenye mechi 5 za hivi karibuni, imepata ushindi mechi 4 ikipoteza mchezo mmoja.
- Vijana wa nyumbani Yanga SC, wameweza kushinda mechi 5 za hivi karibuni.
- Mchezo huu wa CAF Champions League utakuwa wakukata na shoka hapo Jumamosi, fuatilia matukio, lineups, stats na livescores, kupitia SportPesa Score.
Mchuano huu wa Gaborone United vs Yanga SC ni kipute kikali cha CAF Champions League ambapo kitapigwa pale Botswana National Stadium.Wachezaji bomba wa Wananchi wakiwemo Peter Shalulile, Albert Kangwanda, Maxi Nzengeli na wengineo wamejumuishwa kwenye kikosi cha kuelekea Botswana. Wenyeji Gaborone United wamejumuisha wachezaji tajika ikiwemo Mothusi Cooper, Lebogang Ditsele na Molaodi TIhalefang. Mchezo huu wa hatua ya awali ya kombe hili la CAF, utakuwa wakukata na shoka. Je itakuwa ni Gaborone United ama Yanga SC ndio washindi? Kwa habari za sasa kuhusu mchuano huu fuatilia SportPesa Blog leo.
Safari ya CAF: Safari ya Yanga SC na Simba SC CAF Champions League 2026/27: Ratiba, Timu na Matarajio ya Klabu za Tanzania
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

H2H Gaborone United vs Yanga SC

Historia ya Yanga ijue: Yanga SC: Historia, Usajili wote, kikosi, Ratiba, Matokeo na Takwimu
H2H Gaborone United vs Yanga SC
Septemba 5, 2026, Gaborone United vs Yanga SC
Septemba 12, 2026, Yanga SC vs Gaborone United
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | Ligi ya Mabingwa Afrika |
| Mechi | Gaborone United vs Yanga SC |
| Uwanja | Botswana National Stadium |
| Tarehe | Septemba 5, 2026 Jumamosi saa 2:00 usiku |
Matokeo ya mechi 5 za Yanga SC
| Tarehe | Matokeo | Timu mwenyeji |
| 31/08/2026 | Fountain Gate 0-2 Yanga SC | Fountain Gate |
| 28/08/2026 | Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC | Yanga SC |
| 24/08/2026 | Yanga SC 4-0 JKT Tanzania | Yanga SC |
| 20/08/2026 | Yanga SC 4-1 Coastal Union | Yanga SC |
| 15/08/2926 | Namungo FC 1-3 Yanga SC | Namungo FC |
Matokeo ya Gaborone United
| Tarehe | Matokeo | Timu mwenyeji |
| 28/08/2026 | Gaborone United 2-1 Prisons X1 Gaborone | Gaborone United |
| 23/05/2026 | Gaborone United 2-1 BFF XI | Gaborone United |
| 20/05/2026 | Mochudi Center Chiefs 0-1 Gaborone United | Mochudi Center Chiefs |
| 16/05/2026 | Gaborone United 0-1 Jwaneng Galaxy | Gaborone United |
| 13/05/2026 | Gaborone United 5-0 Calender Stars FC | Gaborone United |
Predicted Lineups Gaborone United vs Yanga SC
Predicted lineups Gaborone United
Mlinda mlango
Goitseone Phoko
Mabeki
Thatayaone Ditlhokwe, Tshepo Maikano, Alford Velaphi, Thato Kebue.
Viungo
Mpho Kgswane, Gape Mohutsiwa, Thatayaone Kgamanyane
Washambuliaji
Thatayaone Kgang, Abednico Powell, Patrick Kaunda
Predicted lineups Yanga SC
Mlinda mlango
Djigui Diarra
Mabeki
Yao Kouassi, Bakari Nondo, Ibrahim Baca, Boka
Viungo
Mudathir Yahya, Duke Abuya, Albert Kangwanda, Maxi Nzengeli
Washambuliaji
Peter Shalulile na Toure
Taarifa kuhusu timu
Msafara wa Yanga SC umewasili Botswana kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo. Yanga SC imejumuisha wachezaji 28 wakiwemo nahodha Bakari Nondo, Zimbwe Jr, Aboutwalibs Mshery. Kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari Yanga SC, Ali Kamwe amesema wawili watakosekana.
“Wachezaji ambao tumeanza nao msafara ni 30. Tutawaacha wachezaji wawili Afrika Kusini ambao ni Dickson Job na Clement Mzize. Hawa watakuwa kwenye vipimo maalumu kabla ya kurejea uwanjani,”.
Hitimisho
Gaborone United vs Yanga SC CAF ni mchezo mkali kwa wababe hawa wawili. Timu hizi zinaanzia hatua ya awali na mchezo wa marudio utaamua mshindi atakayesonga hatua inayofuata. Yanga SC itaanzia ugenini na itamaliza mchezo wa pili Uwanja wa Azam Complex.

