Mhandisi Na Mkulima Walamba Zaidi Ya Mil 30 Jackpot Bonus Ya SportPesa
Wakizungumza katika ofisi za SportPesa jijini Dar-Es-slaam, baada ya ya hafla ya makabidhiano ya mfano wa hundi Rafaeli Asenga, mshindi wa Milioni 26 ambaye ni Mkulima wa Kiteto Manyara anasema alianza kucheza na Sportpesa 2017 baada ya kushawishiwa na rafiki…