Kubashiri mpira wa miguu – Maswali yanayoulizwa Sana
Kubashiri mpira wa miguu ni mchezo maarufu zaidi duniani. Wakati Ufaransa ilipokabiliana na Croatia katika fainali za Kombe la Dunia mwaka 2018, Nusu ya watu ulimwenguni na zaidi walikuwa wakitazama. Si jambo la kushangaza kwamba soka ni mchezo unaoongoza kupata wafuasi wengi wanaobashiri.
Kuweka dau hukupa hisia ya kipekee katika kusubiri matokeo, na kufanya ufatiliaji wa mechi uwe wa kusisimua zaidi. Huna haja ya kubeti kwa kiasi kikubwa , mashabiki wengi kwa kawaida hubashiri kuanzia TZS 500/=. Kubashiri mpira wa miguu ni rahisi sana kupitia njia ya simu mkononi.
Je! Kubashiri mpira wa miguu kuna faida?
Idadi kubwa ya watu hubashiri mpira wa miguu kama njia ya kujifurahisha, sio faida. Kuna kila aina ya dau ambalo unaweza kuweka, kutoka dau rahisi ambalo timu itashinda hadi dau gumu zaidi, kama vile nani atafunga bao la kwanza vile vile unaweza kujaribu kubeti moja kwa moja wakati mechi inachezwa.
Je! Kubashiri soka ni halali?
Kubashiri mpira wa miguu ni halali nchini Tanzania kupitia taasisi inayojulikana katika usimamizi na utoaji wa leseni za biashara.
SportPesa imeidhinishwa na kusimamiwa na Bodi ya Michezo ya kubahatisha ya Tanzania chini ya Leseni nambari 00486.
Je! Kubashiri soka kunauwezekano wa kupangwa?
Kila mechi inafanyiwa utafiti kabla ya kupangwa ili kuhakikisha uchezaji mzuri. Hii ni pamoja na kuangalia wachezaji, waamuzi, mameneja, na mamlaka kwa uangalifu, mifumo yote isiyo ya kawaida, iwe kwa uchezaji au kwa kuwekewa dau. Pamoja na hayo yote upangaji mechi hauwezekani.
Ubashiri wa mpira wa miguu hufanyaje kazi?
Chagua mechi unayotaka kubeti na uamue ni aina gani ya ubashiri unaotaka kuweka. Dau rahisi ni kwa timu moja au nyingine kushinda, lakini unaweza pia kubashiri vitu vingine kadhaa, kama vile ni nani atafunga bao la kwanza, kufunga kabla ya mapumziko na zaidi. Halafu amua ni kiasi gani unataka kubeti, kutoka kiwango cha chini cha TZS 500/= hadi kiwango cha juu cha TZS 500,000/= na uweke dau lako kwa kutumia akaunti yako ya kubashiri.
Je! Odds za mpira wa miguu ni nini?
Odds za mpira wa miguu ni pointi zinazoonyesha uwezekano wa kushinda katika ubashiri unaoweka. Kwa mfano, ikiwa Leicester City wamewekewa pointi 5.1 kuifunga Liverpool kwenye Ligi kuu inamaanisha kuna nafasi moja kati ya tano ya wao kufanya hivyo. Ikiwa utaweka dau la TZS 2,000/=, unauwezekano wa kushinda TZS 10,000/= ikiwa ubashiri wako utakuwa ni sahihi.
Je! Ninaweza kuweka dau kwa kutumia Bitcoin au kadi ya bank?