skip to Main Content
Unabahati Ya Kubashiri Namba? Jaribu Mchezo Wetu Mpya Wa Nambari Za Bahati Kutoka SportPesa.

Unabahati ya kubashiri namba? Jaribu mchezo wetu mpya wa Nambari za Bahati kutoka SportPesa.

Tunajitahidi kila wakati kuwaletea wateja wetu chaguo pana zaidi la kubashiri kutoka Tanzania na ulimwenguni kote. Tunajua kwamba watu wengine wanapenda kubashiri michezo kama mpira wa miguu, kikapu, ngumi na wengine wanapendelea michezo ya bahati nasibu kama Kasino. Lakini ikiwa kuna aina ya michezo inayopendelewa zaidi ambayo ni droo za bahati nasibu. Kwa hivyo, tunafuraha sana kutambulisha mchezo wa Nambari za Bahati.

Nambari za Bahati huleta vivutio bora vya Lotto kutoka pande zote za ulimwengu na kuweka sehemu moja. Kuna zaidi ya michezo 600 kila wiki, kutoka kila kona ya ulimwengu maarufu kama Gosloto ya Urusi, Marekani na EuroMillions.

Umaarufu wa Lotto ulimwenguni.

Bahati nasibu zimekuwa karibu kwa muda mrefu kuliko unavyofikiria. Kwa kweli, wanahistoria wanaamini zilitumika Asia miaka 200KK kufadhili miradi mikubwa kama Ukuta Mkubwa wa China. Lakini ni katika nchi kama USA ndio bahati nasibu zilianza kukua. Katika kipindi cha mwisho cha ukoloni, kuna rekodi za michezo ya bahati nasibu zaidi ya 200, ambayo iliwapa watu nafasi ya kufurahia mafanikio makubwa na pia kupata pesa kwa kuendeleza miradi muhimu.

Michezo yote ambayo inaweza kuonekana tofauti ama migumu sana kwa mamia ya bahati nasibu kote ulimwenguni unaweza kucheza kupitia Nambari za Bahati. Lakini utofauti ni wa mbali sana. Fedha nyingi zinazowekwa kwa ajili ya kuendesha michezo ya bahati nasibu mara nyingi hutumika katika kurudisha kwa jamii. Kwa mfano, karibu asilimia 28 ya pesa zilizotumiwa kwa Euro Millions ya tiketi huenda kwa misaada. Hiyo ni sawa na zaidi ya Euro 15 milioni zilizopatikana kila wiki na hiyo ni kutoka bahati nasibu moja tu!

Kuwa sehemu ya watu wenye bahati!

Ukifikiria, unaweza kuona ni kwanini watu wengi hufurahia kucheza Nambari za Bahati. Sisi sote tunandoto ya kushinda Jackpot, na kuna washindi wa bahati ambao hufanya hivyo kila wiki. Lakini kwa kushiriki, unajua kwamba hata ikiwa huna bahati wiki hii, dau lako halijapotea na unachangia sababu zinazofaa ambazo bahati nasibu zinaunga mkono hapa Afrika na ulimwenguni kote.

Jinsi ya kushiriki

Jinsi ya kucheza michezo ya kubahatisha na kubashiri kupitia SportPesa Tanzania ni rahisi sana. Unachohitaji kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako ya kubashiri ya SportPesa na elekea sehemu yetu ya Nambari za Bahati. Chagua na peruzi chaguo lako. Kupitia mchezo huu unaweza kufahamu mchezo unaofata na droo zinachezwa muda gani kwa michezo zaidi ya 600. Kila wakati kuna droo inafuata, kwa hivyo Nambari za Bahati ni mchezo mzuri ikiwa hupendi kusubiri!

Share this:
Back To Top