skip to Main Content
Jaribu Ushindi Na Jackpot Kubwa Barani Africa Ya SportPesa.

Jaribu ushindi na Jackpot kubwa barani Africa ya SportPesa.

Utafanyia nini zaidi ya milioni 200? Ni aina ya swali ambalo sisi sote tunajiuliza katika nyakati zetu tulivu, lakini kila wiki, unaweza kuwa mshindi ukicheza Jackpot ya SportPesa. Unaweza kushinda kwa dau la TZS 2,000 tu. Zaidi ya TZS 8.2 bilioni zimelipwa hadi sasa, pamoja na TZS 288,974,720 kwa mkazi mmoja wa Dar Es Salaam mwezi Julai ambaye aliibuka mshindi..

 

Inafanyaje kazi?

Jackpot ya SportPesa ni mkusanyiko wa michezo ya kubashiri inahusisha mpira wa miguu.  Kwa sababu inahusisha mlolongo wa michezo 13, Ushindi unaweza kuwa mkubwa licha ya udogo wa dau. Jackpot halisi hutofautiana kila wiki, kwani inategemea ni watu wangapi wanaocheza na inachukua muda gani kupata mshindi. Kadiri muda unavyoongezeka bila kupata mshindi, dau nalo linazidi kupanda. Kuna kipindi dau lilipanda hadi kufikia zaidi ya milioni 800 ndipo wakapatikana washindi wawili wa kwanza.

 

Kushiriki.

Michezo ambayo utabashiri huchaguliwa na SportPesa. Lazima uchambue kila mchezo, kisha uamue matokeo ya uwezekano mkubwa na ni kiasi gani unataka bet. Ni hivyo tu. Kutabiri kwa usahihi matokeo ya michezo 13 sio kazi rahisi. Lakini kama usemi unavyosema, lazima ushiriki ili ushinde.

 

Weka ubashiri wako.

Ili uwe na nafasi, unahitaji kutembelea tovuti ya SportPesa na ujisajili ili kujiunga. Ni sahihi kwa mtu yeyote mwenye umri wa zaidi ya miaka 18. Utakuwa ukishindana na washiriki wengine kupata matokeo sahihi. Unaweza kuchagua ni kiasi gani cha kubashiri kuanzia TZS 2,000. Unaweza kuweka pesa kwenye akaunti ya SportPesa kupitia mtandao wowote wa simu.

 

Kujiunga na kundi la washindi

Kujiunga na kundi pekee la washindi wa pesa zinazokwenda kubadilisha maisha, utahitaji kubashiri kwa usahihi matokeo yote 13. Ukifanya hivyo, Utarajie mahojiano makubwa yatakayohusisha waandishi wa habari kutoka vituo mbalimbali, ikiwemo redio, televisheni pamoja na mitandao ya kijamii.

 

Kupata mshindi wako

Hundi kubwa hutumika kwenye picha za utangazaji na makabidhiano, lakini si hundi utakayopeleka benki. Washindi hupokea pesa zao moja kwa moja kutoka SportPesa kupitia njia salama ya malipo. Mshindi hutakiwa kutoa taarifa zake za benki ili kuwekewa pesa alizoshinda na endapo mshindi hatokuwa na akaunti ya benki basi SportPesa watamsaidia mshindi kufungua akaunti ili kuhamisha pesa zake.

Mara baada ya mshindi kuwekewa pesa zake basi anahaki ya kufanya nazo chochote apendacho.

Share this:
Back To Top