skip to Main Content
MSHINDI WA SPORTPESA JACKPOT YA TSH 288,974,720/=
jackpot-winner

MSHINDI WA SPORTPESA JACKPOT YA TSH 288,974,720/=

Mkazi wa jiji la Dar es Salaam Bw. Jamal Khalfan Abdallah ameibuka mshindi katika Jackpot BABA LAO ya SportPesa wiki hii kwa kujishindia kitita cha zaidi ya Tshs milioni 288 taslimu!

 Bw. Jamal mwenye umri wa miaka 26 mkazi wa Ilala jijini Dar-es-Salaam, amejishindia kiasi hicho cha TSH 288,974,720 baada ya kubashiri mechi 13 za jackpot kwa usahihi.

Na wewe unaweza kuwa mshindi wa Jackpot Baba Lao wiki hii kwa kubashiri mechi 13 kwa usahihi ushinde TSH 200,000,000/=

Unangoja nini, Bofya hapa kujisaijli na SportPesa uwe milionea ujae!

SportPesa, UMILIONEA NJE NJE!

Share this:
Back To Top