JE HAMASA YA SAMIA KWA TAIFA STARS KUIMALIZA UGANDA KESHO?
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, kesho Jumanne watashuka dimbani, katika Uwanja wa Mkapa Jijini Dar es Salaam kuvaana na timu ya taifa ya Uganda katika mchezo wa marudiano, kuwania kufuzu kombe la mataifa Africa. Katika mchezo wa awali,…