Yanga SC vs Singida Black Stars Fainali CRDB sasa kupigwa Juni 29, Zanzibar 28/06/2025
Mnara wa 5G umesoma kwa wakubwa Simba, Yanga na Azam kwenye Ligi Kuu Bara, lakini habari kubwa ni mechi ya Yanga SC vs Singida Black Stars Fainali ya CRDB ambayo…
Azam FC 5-0 Tabora United Ligi Kuu Bara 2024/25 balaa zito/ Vita ya Yanga SC vs Simba SC
Azam FC 5-0 Tabora United Ligi Kuu Bara 2024/25 balaa zito kwa wababe waliopo ndani ya tatu bora kutokana na matokeo yao kuwa na mfanano mzunguko wa 29. Ni mchezo…
Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC dakika 180 wapigwa nje ndani/ Kariakoo Dabi inakuja
Tanzania Prisons 0-5 Yanga SC dakika 180 wapigwa nje ndani msimu wa 2024/25 katika msako wa pointi tatu muhimu. Jumla Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi imeifunga Tanzania…
KenGold FC 0-5 Simba SC: magoli yote, uchambuzi, mnara umesoma 5G Tabora
Mnara umesoma 5G huko Tabora mara baada ya Mnyama kuwachakaza KenGold FC, dakika 90 zimemalizika kibabe na ubao wa matokeo umeonyesha KenGold FC 0-5 Simba SC kwenye Uwanja wa Ali…
Simba SC kwenye mtihani mzito kuwakabili KenGold Juni 18 2025/ Matatizo yapo hapa
Simba SC kwenye mtihani mzito kuwakabili KenGold Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ikiwa ni mzunguko wa pili kukamilisha dakika 180. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza Simba SC ilivuna pointi…
Yanga SC wanazitaka pointi tatu za Tanzania Prisons Juni 18 2025
Yanga SC wanazitaka pointi tatu za Tanzania Prisons watakaokabiliana nao Juni 18 2025 Uwanja wa Sokoine, Mbeya ikiwa ni mzunguko wa pili kukamilisha dakika 180 ndani ya msimu wa 2024/25.…
KenGold FC vs Simba SC ‘live’: H2H, vikosi, moto utawaka, Simba watoa tamko zito leo
Saa chache zijazo Umma wa wapenda soka la Bongo, wanakwenda kushuhudia mfululizo wa mechi kali za Ligi Kuu Bara ‘NBC Premier League’, huku pale Tabora moto utawaka kwa mechi ya…
Man City vs Wydad AC 18/06/2025: H2H, Vikosi Azizi Ki uso kwa uso na Guardiola Marekani leo
Mbungi ya kufa mtu inatarajiwa kupigwa leo Jumatano nchini Marekani katika mchezo wa mashindano ya klabu bingwa dunia, kupitia mchezo wa Man City vs Wydad AC 18/06/2025, ambapo staa wa…
Tanzania Prisons vs Yanga SC Juni 18 2025 Uwanja wa Sokoine /Jasho kuvuja dakika 90
Tanzania Prisons vs Yanga SC Juni 18 2025 Uwanja wa Sokoine ukiwa ni mchezo wa ligi unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na wababe hao kuwa na hesabu kali katika…
