skip to Main Content
Manchester United Shirt

Mwongozo wa timu – Manchester United

Manchester United bila shaka ni timu bora na inatambulika kama klabu ya mpira wa miguu inayojulikana zaidi duniani. Tembelea mbali katika kona ya sayari hii utakuwa na uwezo wa kumuona mtu kavaa jezi ya United, wanaweza kuwa wanapata shida kuonyesha…

Read More

SportPesa yaizawadia Simba SC Milioni 100!

SportPesa yaizawadia Simba SC Milioni 100! Simba SC yazoa Milioni 100 SportPesa! Kampuni ya michezo na burudani SportPesa leo imewazawadia milioni 100 klabu ya Simba baada ya kushinda mashindano ya ligi kuu Tanzania bara. Simba wamejizolea fedha hizo kwa miaka…

Read More
Chelsea Stadium

Mwongozo wa Timu – Chelsea FC 

CHELSEA ni moja ya timu zilizofanikiwa zaidi kwenye Ligi Kuu ya England, na moja ya timu ambayo inayoimarika kwa mashabiki duniani. Bado ikilinganishwa na klabu nyingine za muda mrefu, umaarufu wa Chelsea na utajiri umekuja katika nyakati za hivi karibuni.…

Read More
Liverpool Stadium

Muongozo wa timu – Liverpool FC

LIVERPOOL FC ni moja ya timu alama ya Ligi Kuu ya England. Klabu hiyo yenye maskani yake Anfield imekuwa moja ya muundo wa soka la Uingereza kwa kipindi cha miaka 130 iliyopita, na imetawazwa kuwa mabingwa wa ligi mara 19,…

Read More

Kubashiri mpira wa kikapu

Mpira wa kikapu ni wa pili kwa umaarufu baada ya mpira wa miguu kwa kupendwa na mashabiki wa michezo nchini Tanzania. Ni mchezo ambao wengi wetu tulicheza shuleni, na Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (FBA) lina wafuasi wa kujitolea…

Read More

Kubeti Ndondi SportPesa

Ndondi ni moja ya michezo ya zamani inayojulikana ulimwenguni, na ina asili ya zaidi ya miaka elfu iliyopita. Mnamo 3,000 KK, watu walitazama na kuweka dau juu ya mpiganaji gani atatokea mshindi. Katika karne ya 21, kubashiri ndondi kunabaki kuwa…

Read More
Back To Top