MKEKA WA SAA TISA USIKU WASHINDA JACKPOT BONUS- Tsh. 21,731,100.
MKEKA WA SAA TISA USIKU WASHINDA JACKPOT BONUS- Tsh. 21,731,100. Mkazi wa Masanga, Wilaya ya Igunga mkoani Tabora Elibariki Edson Magaa,(33) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus ya Sportpesa kwa wikiendi iliyoisha baada ya kupatia kwa usahihi ubashiri wake wa mechi…