BENCHIKHA ATOA TAMKO ZITO SIMBA KUTOLEWA CAFCL
BENCHIKHA Abdelhak, kocha mkuu Simba kufuatia kufungashiwa virago kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, amefunguka mazito kuhusu sababu ambazo zimepelekea waondoshwe kwenye mashindano. Benchikha amesema hayo muda mfupi baada…
