Namungo FC 2-1 Coastal UnionGamba MatikoGamba Matiko

Namungo FC 2-1 Coastal Union
Matiko Gamba nyota wa Namungo FC

Namungo FC 2-1 Coastal Union: NBC Premier League | Highlights | Msimamo

  • FT:Namungo FC 2-1 Coastal Union,NBC Premier League 2026/27 Uwanja wa Majaliwa, Oktoba 24,2026.
  • Gambo Matiko amefunga bao la mapema dakika ya kwanza na Rodgers akichaguliwa kuwa Man of The Match.
  • Namungo FC kwenye msimamo nafasi ya 7 ikiwa na pointi 12,Coastal Union nafasi ya 11 na pointi 10.

Namungo FC 2-1 Coastal Union ni matokeo rasmi ya mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa Majaliwa.Mabao yamefungwa na Gambo Matiko dkika ya 1,Herbert Lukindo dakika ya 66 kwa wenyeji.Wagosi wa Kaya wamepata bao la kufutia machozi dakika ya 9 kupitia kwa Shiza Kichuya.Rogers Gabriel nyota wa Namungo FC alichaguliwa kuwa Man of The Match.

SOMA HII PIA:Namungo FC: Ratiba, Matokeo na Msimamo Ligi Kuu Bara 2026/27

Shinda mamilioni sasa hivi ukipaisha kindege

Una nafasi yakushinda mamilioni ukipaisha kindege sasa hivi na SportPesa. Marubani wapo hewani wanavuna mkwanja. Zamu yako ni sasa bofya hapa chini.

image
 

Namungo FC 2-1 Coastal Union taarifa

Kipengele Maelezo
Mashindano NBC Premier League
Matokeo Namungo FC 2-1 Coastal Union
Uwanja Majaliwa
Tarehe 24/10/2026
Timu mwenyeji Namungo FC

Namungo FC 2-1 Coastal Union takwimu

Wageni Coastal Union walipiga mashuti mengi zaidi kuelekea lango la mpinzani.Katika upande wa umiliki wenyeji Namungo FC walikuwa imara.Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Sokametrics:-

Kipengele Namungo FC Coastal Union
Mabao 2 1
Mashuti yaliyolenga lango 3 4
Umiliki 52%  48%
Pasi 381 483
Usahihi wa pasi 58% 58%
Mashuti 10 14

Msimamo wa NBC Premier League

Ushindi wa Namungo FC unawafanya wafikishe jumla ya pointi 12 baada ya mechi 9 ipo nafasi ya 7.Coastal Union ipo nafasi ya 11 ina pointi 10 baada ya mechi 9.Vinara katika msimamo ni Simba SC wakiwa na pointi 24 baada ya mechi 8 nafasi ya pili Yanga SC ina pointi 19.Fountain Gate inaburuza mkia ikiwa na pointi 5 baada ya mechi 8.

SOMA HII PIA:Tanzania Premier League 2026/27: Fixtures, Results, Standings and Teams

Hitimisho

Ni Namungo FC 2-1 Coastal Union mtanange uliokuwa na ushindani mkubwa kwa wababe hawa wawili.Juma Mgunda Kocha Mkuu wa Namungo FC ameongoza vijana wake kupata ushindi wakiwa nyumbani.Gambo Matiko amenadika rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga bao la mapema zaidi ndani ya kikosi cha Namungo FC msimu wa 2026/27.

Share this: