- Ni Pamba Jiji FC vs Simba SC NBC Premier League Agosti 19,2026 Uwanja wa CCM Kirumba
- Mara ya mwisho walipokutana msimu wa 2025/26 matokeo yalikuwa Simba SC 2-1 Pamba Jiji FC.
- Pamba Jiji FC haijapata ushindi mbele ya mnyama kwenye mechi zilizopita
Pamba Jiji FC vs Simba SC NBC Premier League ni leo Agosti 19,2026 kwa wababe wawili kusaka pointi 3. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa CCM Kirumba. Matokeo yaliyopita walipokutana Mwanza, ubao ulisoma Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC.
Pamba Jiji vs Simba SC rekodi: Pamba Jiji FC waigomea Simba SC NBC Premier League/ Highlights, statics, standings, goal
Bado hujashinda, una nafasi kuvuna mkwanja kupitia SportPesa
Suka mkeka kwa umakini mchezo wa Pamba Jiji FC vs Simba SC leo Agosti 16,2026. Kuna nafasi kubwa sasa hivi ukashinda ukibashiri na SportPesa. Bofya link hapa chini, bashiri kwa kuwajibika.

Taarifa muhimu Pamba Jiji FC vs Simba SC NBC Premier League

Utabiri wa Pamba Jiji F vs Simba SC: Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League | H2H, takwimu, utabiri | SportPesa Blog
Mchezo: Pamba Jiji FC vs Simba SC
Mashindano: NBC Premier League
Uwanja: CCM Kirumba
Muda: Saa 10:15
Siku: Jumatano
Prediction: Pamba Jiji FC vs Simba SC
Kwa mujibu wa rekodi za mechi za ugenini kwa mnyama ushindi utakuwa wa mabao machache. Simba SC inapewa nafasi kubwa kupata ushindi mwembamba katika mchezo wa leo. Pamba Jiji FC 0-1 Simba SC haya sio matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.
H2H Pamba Jiji FC vs Simba SC
H2H Pamba Jiji FC vs Simba SC
22/11/2024, Pamba Jiji FC 0-1 Simba SC
08/05/2025, Simba SC 5-1 Pamba Jiji FC
19/03/2026, Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC
14/06/2026, Simba SC 2-1 Pamba Jiji FC
Pamba Jiji FC vs Simba SC zimekutana mara nne kwenye mechi za ligi. Ushindi ni mara 3 kwa mnyama huku Pamba Jiji FC ikiwa bado haijapata ushindi. Sare ni mara moja mchezo wa mzunguko wa kwanza msimu wa 2025/26 uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba.
Mabao yamefungwa 12 katika mechi zilizopita. Mabao 9 Simba SC ilifunga huku Pamba Jiji FC ikifunga jumla ya mabao 3. Ushindi mkubwa ilikuwa Mei 8,2025 mnyama alipofunga mabao 5-1.
Msimamo wa Pamba Jiji FC vs Simba SC
Wenyeji Pamba Jiji FC wapo nafasi ya 11. Pointi moja wamekusanya baada yakutoshana nguvu na Dodoma Jiji FC. Simba SC ipo nafasi ya 3 ina pointi 3 ilianza kwa ushindi dhidi ya Kagera Sugar.
Hitimisho
Pamba Jiji FC vs Simba SC ni mchezo wa pili kwa wababe wababe hawa kushuka uwanjani msimu wa 2026/27. Simba SC ilianza ugenini kwa ushindi wa mabao 2-0 Kagera Sugar. Pamba Jiji FC ilianza kwa sare yakufungana bao 1-1 Dodoma Jiji FC.

