Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier LeagueDe Reuck
  • Simba SC imekutana na Pamba Jiji FC msimu huu mchezo mmoja kwenye NBC Premier League 2025/26
  • H2H kwenye Ligi Kuu Bara, Simba SC imeshinda mechi mbili moja kwa moja dhidi ya Pamba Jiji FC
  • Simba SC vs Pamba Jiji FC watakutana Juni 14, 2026 Uwanja wa KMC Complex

Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League ni mchezo ujao kwenye ratiba Uwanja wa KMC Complex. Mzunguko wa kwanza ubao wa Uwanja wa Kirumba ulisoma Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC. H2H wababe hawa wamekutana mara 3 tangu 2024, mnyama amepata ushindi mechi 2 na wametoshana nguvu mchezo mmoja.

SOMA HII: Pamba Jiji FC waigomea Simba SC NBC Premier League/ Highlights, statics, standings, goal

Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Ni Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League utabiri unasemaje?

Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League
Mpanzu vs Pamba Jiji FC NBC Premier League.

SOMA HII: Ratiba ya mechi zilizobakia za Simba SC kwenye NBC Premier League 2025/26 | SportPesa Blog

Sportpesa-Aviator-Rain-Free-Bets

Wababe wawili Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League wanatarajiwa kukutana katika msako wa pointi 3 muhimu. Utabiri unawapa nafasi kubwa wenyeji kushinda. Hii inatokana na mwendo walionao kwenye mechi za nyumbani. Simba SC msimu wa 2025/26 mara baada ya kuhamia Uwanja wa KMC Complex wameshinda mechi zote.

Matokeo ya mchezo wa kwanza ilikuwa Simba SC 4-0 Tanzania Prisons. Ikumbukwe kwamba awali walikuwa wanatumia Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo. Ni mechi 2 imetumia ikiwa Mwenge na zote imeshinda. Mchezo ujao utakuwa ni wa 3 kwa mnyama kuwa nyumbani, Uwanja wa KMC Complex.

Licha ya matokeo hayo katika mechi 2 bado Pamba Jiji FC sio timu yakubeza. Katika mchezo wa mzunguko wa kwanza ilitoka nyuma na kufunga goli moja. Je mchezo ujao nani atavuna pointi 3 muhimu? Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa taarifa za hivi punde.

Matokeo ya mechi za Simba SC Uwanja wa KMC Complex

TareheTimu NyumbaniTimu WageniMatokeo
10/05/2026Simba SCTanzania Prisons4 – 0
24/05/2026Simba SCDodoma Jiji FC1-0

Simba SC safu ya ushambuliaji imefunga magoli 5 kwenye mechi za nyumbani. Ukuta haujaruhusu goli kwenye mechi hizo. Mchezo uliopita matokeo ilikuwa Simba SC 1-0 Dodoma Jiji FC goli likifungwa na Ellie Mpanzu.

H2H Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League

TareheTimu NyumbaniTimu WageniMatokeo
19/03/2026Pamba Jiji FCSimba SC1 – 1
08/05/2025Simba SCPamba Jiji FC5 – 1
22/11/2024Pamba Jiji FCSimba SC0 – 1

SOMA HII: Usajili Simba SC umeanza mapema | Orodha na rekodi za wachezaji walioongeza kandarasi unyamani

Hitimisho

Simba SC vs Pamba Jiji FC NBC Premier League hatumwi mtoto dukani. Kwenye mechi 3 walizokutana mnyama amefunga magoli 7 huku Pamba Jiji FC ikifunga magoli 2. Wakulima wa Pamba kutoka Mwanza watavunja rekodi yao? Taarifa za hivi punde na matokeo utapata kwenye Blog ya SportPesa.

Share this: