usajili wa MpanzuMpanzu vs Pamba Jiji FC
  • Wafungaji wa magoli yote mchezo wa Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC, Uwanja wa Kirumba
  • Pamba Jiji FC waigomea Simba SC NBC Premier League
  • Goli la Oura ladumu dakika 3 pekee ugenini

Pamba Jiji FC waigomea Simba SC NBC Premier League kwa kusawazisha goli ndani ya dakika 3. Wababe hawa wamegawana pointi mojamoja wakifungana goli 1-1. Mnyama alionyesha makucha dakika ya 33 kwa kufunga kupitia Anicent Oura. James Mwashinga alifunga goli dakika ya 36 kwa TP Lindada.

SOMA HII: Ratiba ya Simba SC 2025/26 Machi dakika 450 za kazi/ Msimamo, matokeo

Bado hujashinda mamilioni ya SportPesa?

Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Bashiri na SportPesa uvune mkwanja sasa hivi kwa kubonyeza picha hapo chini.

Sportpesa Aviator- 800Mil

Pamba Jiji FC waigomea Simba SC

Pamba Jiji FC waigomea Simba SC
Oura nyota wa Simba SC vs Pamba Jiji FC. Source: Simba SC.

Wakiamini watavuna pointi tatu ugenini, Pamba Jiji FC waigomea Simba SC NBC licha ya kutangulia kufunga. James Mwashinga alitibua furaha ya mnyama muda mfupi kipindi cha kwanza alipofunga goli la usawa. Huu ni mchezo wa 13 kwa Simba SC inafikisha pointi 28.

Vinara wa ligi Yanga SC wanaongoza kwa pointi 37 wamewaacha watani zao tofauti ya pointi 9.  Pamba Jiji FC nafasi ya 5 wakikusanya alama 25 tofauti ya alama 12 na wale waliopo juu.

SOMA HII: Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC NBC Premier League

Sportpesa Aviator- 800Mil

Rekodi za Pamba Jiji FC 1-1 Simba SC SC

Mpanzu vs Mashujaa FC
Mpanzu nyota wa Simba SC vs Pamba Jiji FC. Source: Simba SC.
Pamba Jiji FC Simba SC
7Mashuti8
3Lenga lango5
47%Umiliki53%
4Mashuti yasiyolenga lango3
0Kadi nyekundu0
3Kadi ya njano1
0Kona1
1Magoli1

Msimamo wa Pamba Jiji FC vs Simba SC

POSMPWDLPTS
3.Simba SC1384128
5.Pamba Jiji FC1667325

Hitimisho

Pamba Jiji FC waigomea Simba SC kwa kugawana pointi mojamoja. Mnyama alitengeneza nafasi 5 kwenye mchezo huku akitumia moja.Wenyeji walitumia nafasi moja kati ya 3 walizotengeneza.

Share this: