- Ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2026/27 mzunguko wa pili
- Pamba Jiji FC vs Simba SC ni mchezo unaofuata kwenye ratiba kwa wababe hawa wawili Agosti 19,2026 Uwanja wa Kirumba
- Azam FC vs Simba SC,mchezo wa kwanza ndani ya mwezi mpya wa Septemba, Uwanja wa Azam Complex
Tumekuletea ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2026/27 mechi 5 kali zijazo. Msimu mpya umeanza na mzunguko wa kwanza yamefungwa jumla ya mabao 17. Mnyama mchezo wa ufunguzi ilikuwa ugenini na ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Kaitaba, Bukoba ukisoma Kagera Sugar 0-2 Simba SC.
Usajili wa Simba SC usome hapa: Simba SC: Usajili na malengo ya msimu wa 2026/27
Bado hujashinda? Cheza na ushinde mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa
Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini

Taarifa muhimu ratiba ya Simba SC NBC Premier League 2026/27
Orodha ya wachezaji waliosajiliwa Simba SC: Orodha ya wachezaji waliosajiliwa Simba SC 2026/27 | Thank You | SportPesa Blog
Mashindano: NBC Premier League
Msimu:2026/27
Timu: Simba SC
Kocha Mkuu: Steve Barker
Mechi: 5 zijazo
Ratiba ya mechi zijazo Simba SC NBC Premier League
Pamba Jiji FC vs Simba SC, Agosti 19,2026, Uwanja wa CCM Kirumba, saa 10:15 jioni.
Singida Black Stars vs Simba SC, saa 12:00 jioni, Uwanja wa Airtel, Agosti 22,2026.
Simba SC vs Coastal Union, saa 1:00 usiku, Uwanja wa Uhuru, Agosti 27,2026
Simba SC vs Geita Gold, saa 12:30 jioni, Uwanja wa Uhuru, Agosti 31,2026
Azam FC vs Simba SC, saa 1:00 usiku, Septemba 9,2026, Uwanja wa Azam Complex.
Matokeo ya mchezo wa Simba SC
Kagera Sugar 0-2 Simba SC, Uwanja wa Kaitaba
Hitimisho
Katika ratiba ya Simba SC mechi 5 zijazo itakuwa ugenini mechi mbili na 3 itakuwa ugenini na mechi mbili nyumbani. Mchezo mkali unatarajiwa kuchezwa Septemba 9,2026 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa Azam Complex. Pamba Jiji FC vs Simba SC ni mchezo unaofuata.

