- Week 1 NBC Premier League 2026/27 live Agosti 14,2026
- Mechi ya ufunguzi ni Pamba Jiji FC vs Dodoma Jiji FC, saa 8:00 mchana, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
- Namungo FC vs Yanga SC, Agosti 15,2026 Uwanja wa Majaliwa, Kagera Sugar vs Simba SC, Agosti 16,2026
NBC Premier League 2026/27 match week 1 ratiba inakwenda kuanza sasa mara baada ya tarehe kufika. Agosti 14,2026 mechi 3 zitachezwa huku mchezo wa ufunguzi ikiwa ni Pamba Jiji FC vs Dodoma Jiji FC, saa 8:00 mchana. Mbeya City vs Geita Gold, saa 10:15 alasiri na Singida Black Stars vs Fountain Gate saa 1:00 usiku.
Ijue ratiba kamili NBC Premier League: Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC 2026/27: Mechi zote 240 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Tengeneza mkeka wako uvune mkwanja na SportPesa
Ni muda wa kutengeneza mkeka wako sasa uvune mkwanja kupitia SportPesa. Kubashiri mchezo wa Singida Black Stars vs Fountain Gate, bofya link hapa chini. Beti kwa ustaarabu.

Ni NBC Premier League 2026/27 match week 1 live
Hii hapa ratiba ya mechi za ligi: Ratiba ya Yanga SC NBC Premier League 2026/27 mechi 10 zamoto / Kariakoo Dabi Oktoba 10,2026
NBC Premier League 2026/27 match week 1 live. Hii ni baada ya msimu wa 2025/26 kugota mwisho na maandalizi ya msimu mpya kuendelea. Mabingwa watetezi ni Yanga SC wakiwa na kibarua cha kutetea taji hilo msimu mwingine. Watoto wa Jangwani kete yao ya kwanza watakuwa ugenini Agosti 15,2026 Uwanja wa Majaliwa.
Hapa tunakuletea ratiba ya mechi za mwanzo ndani ya msimu wa 2026/27
Pamba Jiji FC vs Dodoma Jiji FC, saa 8:00 mchana, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Mbeya City vs Geita Gold, saa 10:15 mchana, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.
Singida Black Stars vs Fountain Gate FC, saa 1:00 usiku, Uwanja wa Airtel, Singida
Agosti 15,2026
Polisi Tanzania vs Azam FC, saa 10:00 jioni, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha.
Coastal Union vs Mashujaa FC, saa 12:30 jioni, Uwanja wa CCM Mkwakwani, Tanga
Namungo FC vs Yanga SC, saa 3:00 usiku, Uwanja wa Majaliwa, Lindi
Agosti 16,2026
Kagera Sugar vs Simba SC, Uwanja wa Kaitaba, Kagera saa 10:00 jioni
JKT Tanzania vs TRA United, Uwanja wa Mej.Gene. Isamuhyo, saa 2:00 usiku
Hitimisho
NBC Premier League 2026/27 inatarajiwa kuwa na ushindani mkali kwa timu zote. Wiki ya kwanza zinatarajiwa uchezwa mechi 3 viwanja tofauti huku Pamba Jiji FC watawakaribisha Dodoma Jiji FC kwenye mchezo wa ufunguzi. Mabingwa watetezi wapo Lindi kwa kufungua msimu wakikabiliana na Namungo FC.


