- Canada vs Morocco Kombe la Dunia 2026, hii ni ratiba ya hatua ya mechi ya kwanza ya hatua ya 16 bora ya mashindano haya.
- Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa Houston, USA kuanzia majira ya saa 2 usiku wa Jumamosi 4 July 2026 kwa saa za Afrika Mashariki.
- Mastaa Alphonso David na Jonathan David wa Canada watakuwa na kibarua kizito, mbele ya timu ngumu ya Morocco inayoongozwa na mastaa, Ismael Saibari na Achraf Hakimi.
- Makala hii inachambua h2h, livescore, takwimu na Habari za timu za mechi hii kama ifuatavyo
Canada watakuwa na kibarua kigumu Jumamosi 4 July saa mbili usiku pale watakaposhuka uwanjani kuvaana na timu ngumu ya Morocco, kwenye Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu wa kwanza wa hatua ya 16 bora unatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Houston, USA. Macho yote ya mashabiki wa Morocco yatakuwa kwa staa wao Ismael Saibari ambaye amekuwa stori kubwa kwenye mashindano hayo, baada ya kufunga mabao 3 katika mechi 4. Makala hii inachambua baadhi ya takwimu muhimu za mchezo huu, ikiwemo h2h, taarifa za timu, Lineups.
Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Canada vs Morocco
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeboreshwa na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Maelezo ya Mechi

Kipengele Maelezo
Mashindano Mechi ya hatua ya 16 bora ya Kombe la Dunia FIFA 2026, ambapo timu zinashindana katika mfumo wa mtoano.
Tarehe na Muda Mchezo utafanyika saa 2 usiku Jumamosi ya 4 July 2026, saa kumi na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT).
Uwanja Mechi itapigwa jijini Houston, (USA), katika moja ya viwanja vilivyoandaliwa kwa mashindano hayo.
Muhtasari wa Canada vs Morocco Kombe la Dunia 2026
Moto utawaka kwenye Uwanja wa NRG katika mchezo wa hatua ya 16 Bora utakaochezwa Jumamosi, ni pale Canada watakapoikaribisha timu tishio ya Afrika Morocco. Canada wametinga hatua ya 16 bora baada ya kuiondosha Afrika Kusini katika mchezo wa ushindi wa mabao 1-0. Morocco wao waliwashangaza wengi kwa kuwaondoa Uholanzi kwa mikwaju ya penalti katika hatua ya 16 bora.
Mshindi wa mchezo huu atakuatana na mshindi wa mechi kati ya Ufaransa dhidi ya Paraguay katika robo fainali. Katika Kombe la Dunia la 2022, Morocco waliifunga Canada mabao 2-1 kwenye hatua ya makundi. Bao pekee la mchezo huo lilikuwa la kujifunga kwa Nayef Aguerd.
Habari za Timu na majeruhi
Habari kubwa kwa Canada ni kurejea kwa nyota wa Bayern Munich Alphonso Davies, ambaye alicheza dakika 15 za mwisho dhidi ya Afrika Kusini. Hii ilikuwa mechi yake ya kwanza ya kimataifa tangu Machi 2025. Canada hawana majeruhi wengine isipokuwa Ismael Kone, ambaye bado anaendelea kupona jeraha la muda mrefu la mguu. Kwa upande wa Morocco, beki wa kati Chadi Riad alitolewa uwanjani dakika ya 75 dhidi ya Uholanzi kutokana na majeraha, lakini tayari amerejea mazoezini.
KUJUA KUHUSU UCHAMBUZI WA MECHI IJAYO YA ARGENTINA, SOMA HII: Prediction | Argentina vs Cape Verde Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 32 bora, Live score, h2h, odds na habari za timu
Vikosi vinavyotarajiwa
Canada:

| Kipengele | Wachezaji |
|---|---|
| Kipa | Crépeau |
| Safu ya Ulinzi | Johnston, Bombito, Cornelius, Laryea |
| Safu ya Kiungo | Buchanan, Saliba, Eustaquio, Shaffelburg |
| Safu ya Ushambuliaji | Jonathan David, Oluwaseyi |
Morocco
| Kipengele | Wachezaji |
|---|---|
| Kipa | Bono |
| Safu ya Ulinzi | Hakimi, Diop, Riad, Mazraoui |
| Safu ya Kiungo | El Aynaoui, Bouaddi, Brahim Diaz, Ounahi, El Khannouss |
| Safu ya Ushambuliaji | Ismael Saibari |
Canada vs Morocco h2h
Timu hizi zimekutana mara 4 katika historia yao, Morocco wamekuwa na rekodi bora zaidi ambapo wameshinda mechi 3. Mechi moja iliyosalia iliisha kwa matokeo ya sare. Canada haijawahi kuibuka na ushindi kwenye mchezo dhidi ya Morocco, nah ii ni nafasi yao mpya ya kuandika historia mpya.
| Tarehe | Mashindano | Matokeo |
|---|---|---|
| 01 Desemba 2022 | Kombe la Dunia la FIFA (Hatua ya Makundi) | Canada 1-2 Morocco |
| 11 Oktoba 2016 | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Morocco 4-0 Canada |
| 01 Juni 1994 | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Canada 1-1 Morocco |
| 24 Oktoba 1984 | Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa | Morocco 3-2 Canada |
Utabiri (mabao zaidi ya mawili yaani over 2.5)

Timu hizi zimeonyesha uwezo mkubwa wa kufunga mabao katika mfululizo wa mechi za mashindano haya, pia nit imu ambazo zinacheza soka la wazi. Kwa kuzingatia uchambuzi wa kitaalamu wa mechi za hivi karibuni, tunabashiri kuwa mechi itakuwa na angalau mabao matatu yaani over 2.5. Morocco wanapewa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi, lakini Canada wanatarajia kuonyesha upinzani mkubwa ukichangiwa na nafasi yao katika muandaa mwenza wa mashindano haya kumbuka Bashiri kistaarabu.
KUHUSU UCHAMBUZI WA MECHI IJAYO YA FRANCE, SOMA HII: Prediction: Paraguay vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 16 bora, team news, odds, h2h
Hitimisho
Uchambuzi wa kitaalamu wa mchezo huu unaipa nafasi kubwa Morocco kuibuka na ushindi, hii ni kwa kuzingatia uzito na ubora wa kikosi na matokeo ya merchi za karibuni. Licha ya matarajio hayo, pia inatarajiwa mchezo utakuwa mgumu, kwani waandaaji wenza watataka kuandika historia mpya. Huu ni mchezo wa mwisho wa hatua ya 32 bora, fuatlia SportPesa blog kwa taarifa zaidi.

