Ratiba ya nusu fainali FIFA Kombe la Dunia 2026Mbappe (-)

Ni Paraguay vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026 Julai 5, hatua ya 16 bora. Mchezo huu mkali unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Philadelphia. Mechi itaanza saa 6:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Philadelphia inakuwa kitovu cha michezo na historia, ikisherehekea miaka 250 tangu kutia saini Azimio la Uhuru sambamba na Kombe la Dunia.

Hii hapa ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi yaParaguay vs Ufaransa angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Paraguay vs France
Paraguay vs France FIFA Kombe la Dunia 2026

Taarifa kuhusu mechi

KipengeleMaelezo
MashindanoFIFA Kombe la Dunia 2026
MechiParaguay vs Ufaransa
Hatua16 bora
UwanjaPhiladelphia
TareheJulai 5, 2026
MudaSaa 6:00 usiku (saa za Afrika Mashariki)
Jukwaa la kubashiriSportPesa

Paraguay vs Ufaransa fomu ya mechi 6 zilizopita

Paraguay vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026
Paraguay vs Ufaransa FIFA Kombe la Dunia 2026
TimuMatokeoTareheMashindano
Paraguay1 – 1 vs Ujerumani (u)29 Juni 2026Kombe la Dunia, Raundi ya 32
Paraguay0 – 0 vs Australia (n)26 Juni 2026Kombe la Dunia, Kundi D
Paraguay1 – 0 vs Uturuki (u)20 Juni 2026Kombe la Dunia, Kundi D
Paraguay1 – 4 vs Marekani (u)13 Juni 2026Kombe la Dunia, Kundi D
Paraguay4 – 0 vs Nikaragua (n)6 Juni 2026Mechi ya Kimataifa
Paraguay1 – 2 vs Morocco (u)31 Machi 2026Mechi ya Kimataifa
Ufaransa3 – 0 vs Sweden (n)30 Juni 2026Kombe la Dunia, Raundi ya 32
Ufaransa4 – 1 vs Norway (u)26 Juni 2026Kombe la Dunia, Kundi I
Ufaransa3 – 0 vs Iraq (n)22 Juni 2026Kombe la Dunia, Kundi I
Ufaransa3 – 1 vs Senegal (n)16 Juni 2026Kombe la Dunia, Kundi I
Ufaransa3 – 1 vs Ireland ya Kaskazini (n)8 Juni 2026Mechi ya Kimataifa
Ufaransa1 – 2 vs Ivory Coast (n)4 Juni 2026Mechi ya Kimataifa

H2H Paraguay vs Ufaransa

MwakaMechiHatua/Mashindano
1958Ufaransa 7 – 3 ParaguayKombe la Dunia (Kundi)
1998Ufaransa 1 – 0 ParaguayKombe la Dunia (16 bora)
2008Ufaransa 0 – 0 ParaguayMechi ya Kirafiki
2014Ufaransa 1 – 1 ParaguayMechi ya Kirafiki
2017Ufaransa 5 – 0 ParaguayMechi ya Kirafiki

Safari ya timu

  • Ufaransa: Iliibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Sweden. Mbappé alifunga mara mbili, na Bradley Barcola akafunga bao moja.
  • Paraguay: Iliwaondoa Ujerumani na kufuzu hatua ya 16 bora.

Prediction Paraguay vs Ufaransa

Ufaransa kuelekea mchezo huu wanapewa nafasi kubwa kupata ushindi. Rekodi ya mechi 5 walizokutana Ufaransa imepata ushindi mara 3, sare 2. Kuelekea mchezo huu asilimia 82 anapewa Ufaransa huku asilimia 6 ikiwa ni kwa Paraguay. Kwenye sare na mchezo kufika muda wa nyongeza ni asilimia 12.

Matokeo yanayatabiriwa ni Paraguay 0-2 Ufaransa. Haya ni maoni ya mhariri na sio matokeo kamili.

Paraguay vs France
Paraguay vs France

Wachezaji wa kuangalia

Kylian Mbappé ndiye jina kubwa. Kasi yake, uwezo wa kumalizia na kubadilisha mchezo kwa sekunde chache humfanya kuwa mchezaji ambaye Paraguay italazimika kumfuatilia tangu dakika ya kwanza. Ousmane Dembélé anaipa Ufaransa nguvu nyingine ya kushambulia. Kasi yake na ubunifu vinaweza kuisumbua safu ya ulinzi ya Paraguay, hasa kama Ufaransa itapata nafasi kwenye pembeni.

Michael Olise pia ni mchezaji muhimu. Ikiwa Paraguay itakaa nyuma kwa nidhamu, uwezo wake wa kupiga pasi na kutengeneza nafasi karibu na boksi unaweza kufungua mchezo.

Kwa upande wa Paraguay, Julio Enciso ndiye mchezaji wa kuangalia. Anaipa timu ubunifu na anaweza kubadilisha mchezo haraka ikiwa Ufaransa itampa nafasi ya kucheza.

Takwimu za Colombia vs Ghana hizi hapa: Prediction | Colombia vs Ghana Kombe la Dunia 2026: Hatua ya 32 bora, Live score, h2h, odds na habari za timu

Namna ya kubashiri kupitia SportPesa

Fungua ukurasa wa tukio la Paraguay vs Ufaransa kwenye SportPesa.
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Share this: