New Zealand vs Belgium FIFA Kombe la Dunia 2026Lukaku Belgium
  • Pambano la New Zealand vs Belgium FIFA Kombe la Dunia 2026 mchezo wa hatua ya mwisho makundi kwa Kundi G
  • Juni 27, 2026 Uwanja wa BC Place,Vancouver utaamua hatima ya timu kutinga hatua ya 32 bora.
  • SportPesa Blog tumekuletea uchambuzi wa mchezo huu muhimu na takwimu

Mchezo wa Kundi G New Zealand vs Belgium FIFA Kombe la Dunia 2026 Uwanja wa BC Place,Vancouver ni wa kuamua hatima ya timu hizi. Belgium wanaingia kwenye raundi ya mwisho wakiwa na alama mbili baada ya mechi mbili za mwanzo. New Zealand wakiburuza mkia wana alama moja. Misri inaongoza kundi kwa alama nne, Iran wana alama mbili. Hali hii inamaanisha kwamba ushindi ni lazima kwa Belgium ili kufuzu hatua ya mtoano, wakati New Zealand nao wanahitaji ushindi na kutegemea matokeo ya mechi nyingine ya kundi.

Itambue ratiba ya FIFA Kombe la Dunia 2026: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya New Zealand vs Belgium angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kwa uwajibikaji.

Belgium
New Zealand vs Belgium

Taarifa kuhusu mechi

MashindanoHatuaKundiUwanjaTimuMudaTarehe
FIFA Kombe la Dunia 2026Makundi, mchezo wa 3Kundi GBC Place, VancouverNew Zealand vs BelgiumSaa 12:00 Alfajiri (EAT)Juni 27, 2026

New Zealand vs Belgium taarifa kuhusu timu

New Zealand vs Belgium FIFA Kombe la Dunia 2026
New Zealand vs Belgium FIFA Kombe la Dunia 2026

New Zealand (maarufu kama All Whites) wameonyesha dalili za matumaini katika mashindano haya, ingawa bado hawajapata ushindi. Baada ya kupoteza 3-1 dhidi ya Misri kwenye mchezo wa ufunguzi, walipambana na kufikia sare ya 2-2 dhidi ya Iran shukrani kwa mabao mawili ya Elijah Just.

Hata hivyo, licha ya mashambulizi yao ya kuvutia, New Zealand wamekuwa dhaifu katika safu ya ulinzi, wakiruhusu mabao matano katika mechi mbili. Udhaifu huu unawapa kazi ngumu zaidi wanapokutana na moja ya nguvu za jadi za Ulaya.

Kwa upande wa Belgium, kampeni yao imekuwa ya kukatisha tamaa. Kikosi cha Rudi Garcia kilianza kwa sare ya 1-1 dhidi ya Misri, kisha wakashikiliwa bila mabao na Iran. Matokeo haya yamewaacha wakiwa hatarini kutolewa mapema katika hatua ya makundi.

Belgium, maarufu kama Red Devils, waliwasili kwenye mashindano wakiwa na hali nzuri baada ya ushindi wa kirafiki dhidi ya Tunisia na Croatia. Hata hivyo, bado hawajafanikiwa kuonyesha ubora wao wa kushambulia katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia. Wakiwa na nyota kama Kevin De Bruyne, Jérémy Doku na Romelu Lukaku, mashabiki wanatarajia kuona kikosi hiki kikianza kupata mwendo sahihi mjini Vancouver.

Vikosi vinavyotarajiwa

Hivi ni vikosi vinavyotokana na mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitatambulishwa saa 1 kabla ya mchezo

  • New Zealand XI: Crocombe; Smith, Boxall, Pijnaker, Cacace; McCowatt, Stamenic, Just, Old; Waine, Wood
  • Belgium XI: Courtois; Castagne, Debast, Theate, De Cuyper; Onana, Tielemans, De Bruyne; Doku, Lukaku, Trossard

H2H New Zealand vs Belgium

  • Hii itakuwa mara ya kwanza kabisa kwa New Zealand na Belgium kukutana katika mechi ya kimataifa ya wakubwa.
  • New Zealand wamepata ushindi mmoja, sare moja na kupoteza mechi tatu kati ya tano za mwisho. Ingawa wameonyesha uwezo wa kushambulia kupitia Chris Wood na Elijah Just, rekodi yao ya ulinzi inatia wasiwasi baada ya kuruhusu mabao saba katika mechi tatu zilizopita.

Wachezaji wakuchungwa

  • Chris Wood na Elijah Just: Wachezaji hatari wa safu ya ushambuliaji wa New Zealand.
  • Kevin De Bruyne, Romelu Lukaku na Jérémy Doku: Nguzo za mashambulizi ya Belgium.
  • Mchezo huu: Ni wa kihistoria na wa kuamua mustakabali wa timu zote katika Kundi G.

Belgium hawajapoteza katika mechi tano za mwisho, wakishinda mbili na kutoka sare tatu. Ingawa hawajang’aa sana katika hatua ya makundi ya Kombe la Dunia, bado ni kikosi chenye wachezaji wa kiwango cha juu na uzoefu mkubwa.

Red Devils pia wana historia kubwa zaidi ya Kombe la Dunia, wakiwa wamefika nusu fainali katika mashindano ya hivi karibuni na mara kwa mara wakishindana na wapinzani wakubwa duniani.

Prediction New Zealand vs Belgium

Belgium katika mechi mbili za mwanzo wamekuwa kwenye mwendo wa kusuasua, lakini mchezo huu unawapa nafasi nzuri ya kurejesha makali yao ya kushambulia. Kwa mujibu wa Opta Analyst imetoa ushindi kwa Belgium kutokana na mwendo wake katika mechi za Kombe la Dunia. Matokeo yanaweza kuwa New Zealand 2-3 Belgimu. Haya ni maoni ya mhariri sio matokeo kamili.

Belgium
New Zealand vs Belgium

Jinsi ya Kubashiri na SportPesa

Fungua ukurasa wa mechi ya New Zealand vs Belgium kwenye SportPesa (link above).
Chagua aina ya masoko unayotaka kuweka dau lako – Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB)
Weka kiasi cha dau lako na uthibitishe.

Share this: