- DR Congo VS Uzbekistan Kombe la Dunia 2026, inatarajiwa kuwa mechi kali nay a kufa na kupona ya Kundi K la mashindano hayo.
- Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa Atlanta ambao pia unajulikana kama Uwanja wa Mercedes-Benz, alfajiri ya Jumapili tarehe 28 Juni 2026 saa 02:30 kwa saa za Afrika Mashariki.
- Timu zote zinahitaji ushindi, ili kufufua matumaini ya kusonga mbele. DR Congo yenye mastaa kama Yoane Wissa na Cedric Bakambu, watavaana na Abbosbek Fayzullaev na Shomurodov wa Uzbekistan.
- Makala hii inachambua h2h, livescore, takwimu za mechi hii kama ifuatavyo
DR Congo wakirejea Kombe la Dunia baada ya miaka 52 wanatarajia kuvaana na Uzbekistan katika mchezo wa mwisho wa Kundi K. Mechi hii itapigwa kwenye Uwanja wa Atlanta ambao pia unajulikana kama Uwanja wa Mercedes-Benz, Atlanta, alfajiri ya Jumapili tarehe 28 Juni 2026 saa 02:30 kwa saa za Afrika Mashariki. Timu zote zinahitaji ushindi, ili kufufua matumaini ya kusonga mbele. DR Congo yenye mastaa kama Yoane Wissa na Cedric Bakambu, watavaana na Abbosbek Fayzullaev na Shomurodov wa Uzbekistan.
Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya DR Congo vs Uzbekistan
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Maelezo ya Mechi

| Kipengele | Maelezo |
|---|---|
| Mashindano | Kombe la Dunia la FIFA 2026, Kundi K, mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi. |
| Tarehe na Muda | Mechi itachezwa Jumapili, tarehe 28 Juni 2026, kuanzia saa 02:30 usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT). |
| Uwanja | Mercedes-Benz Stadium iliyopo Atlanta, jimbo la Georgia nchini Marekani. |
| Hali ya Kundi K | Colombia tayari wamejihakikishia nafasi ya hatua inayofuata kwa pointi 6. DR Congo wana pointi 1, Uzbekistan hawajapata pointi yoyote, huku nafasi ya Republic of Congo ikisubiri kuthibitishwa. |
| Kilicho Hatarini | Ushindi ni muhimu kwa timu zote mbili ili kuendelea kuwa na matumaini ya kusonga mbele kupitia nafasi za timu bora zilizomaliza katika nafasi ya tatu. |
| Mechi Sambamba | Wakati huohuo, Portugal watakuwa wakicheza dhidi ya Republic of Congo katika mchezo mwingine wa Kundi K. |
| Ufafanuzi wa Timu | DR Congo ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambayo ni taifa tofauti kabisa na Republic of Congo, ingawa zote zipo katika Kundi K. |
KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 104, SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika
Muhtasari wa DR Congo vs Uzbekistan
DR Congo wamerejea kwenye Kombe la Dunia baada ya miaka 52 kupita, ambapo mara yao ya mwisho kushiriki mashindano hayo ilikuwa mwaka 1974 waliposhiriki kama Zaire. Mpaka sasa wamekusanya pointi moja baada ya sare yao ya kihistoria, dhidi ya Portugal katika mchezo wa ufunguzi.
Nahodha Chancel Mbemba, mwenye zaidi ya mechi 100 za kimataifa, anaiongoza safu ya ulinzi. Aaron Wan-Bissaka anaongeza ubora mkubwa upande wa kulia wa ulinzi, huku Cédric Bakambu na Yoane Wissa wakiongoza mashambulizi. Kwa upande wa Uzbekistan, wakishiriki kwa mara ya kwanza wamepoteza mech izote 2.
Walianza kwa kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Colombia, kabla ya kupokea kipigo kizito cha mabao 5-0 kutoka Portugal. Hadi sasa wamefungwa mabao 8 na kufunga bao 1 pekee. Bao hilo la kihistoria lilifungwa na Abbosbek Fayzullaev dhidi ya Colombia, hivyo kocha, Fabio Cannavaro atalazimika kutafuta mbinu za kuboresha hasa safu yake ya ulinzi.
Habari za Timu na Vikosi Vinavyotarajiwa
| Nafasi | Mchezaji |
|---|---|
| Kipa (GK) | Mpasi |
| Beki wa Kulia (RB) | Aaron Wan-Bissaka |
| Beki wa Kati (CB) | Chancel Mbemba |
| Beki wa Kati (CB) | Inonga Kapuadi |
| Beki wa Kati (CB) | Axel Tuanzebe |
| Beki wa Kushoto (LB) | Arthur Masuaku |
| Kiungo wa Kulia (RM) | Noah Sadiki Mukau |
| Kiungo wa Kati (CM) | Samuel Moutoussamy |
| Kiungo wa Kushoto (LM) | Edo Kayembe |
| Mshambuliaji (ST) | Cédric Bakambu |
| Mshambuliaji (ST) | Yoane Wissa |
UZBEKISTAN

| Nafasi | Mchezaji |
|---|---|
| Kipa (GK) | Utkir Nematov |
| Beki wa Kati (CB) | Abdukodir Khusanov |
| Beki wa Kati (CB) | Abdulla Abdullaev |
| Beki wa Kati (CB) | Rustam Ashurmatov |
| Beki wa Kushoto (LB) | Bekhruz Karimov |
| Kiungo wa Kulia (RM) | Sherzod Nasrullaev |
| Kiungo wa Kati (CM) | Odiljon Hamrobekov |
| Kiungo wa Kati (CM) | Otabek Shukurov |
| Kiungo wa Kushoto (LM) | Ganiev |
| Kiungo Mshambuliaji (AM) | Abbosbek Fayzullaev |
| Mshambuliaji (ST) | Eldor Shomurodov |
KUJUA RATIBA NA UCHAMBUZI WA MECHI IJAYO YA URUGUAY, SOMA HII: Uruguay vs Spain FIFA Kombe la Dunia 2026: Prediction, Kundi H, match preview, h2h, odds
Takwimu Muhimu
- DR Congo wamekusanya pointi 1 katika mechi 2.
- Walisare na Portugal 1-1 na kupoteza 1-0 dhidi ya Colombia.
- Hii ni mara yao ya kwanza kushiriki Kombe la Dunia tangu 1974.
- Yoane Wissa ndiye aliyefunga bao la kwanza kabisa la DR Congo katika Kombe la Dunia.
- Chancel Mbemba ana zaidi ya mechi 100 za kimataifa.
- Aaron Wan-Bissaka ni mmoja wa wachezaji muhimu wa safu ya ulinzi.
- Uzbekistan hawajapata pointi yoyote katika mechi mbili.
- Wamefungwa mabao 8 na kufunga bao 1 pekee.
- Abbosbek Fayzullaev ndiye aliyefunga bao la kwanza kabisa la Uzbekistan katika Kombe la Dunia.
- Hii ndiyo mara ya kwanza DR Congo na Uzbekistan kukutana katika historia.
Rekodi ya Mikutano (H2H)

DR Congo na Uzbekistan hawajawahi kukutana awali katika mechi yoyote, iwe ya kirafiki au mashindano rasmi. Huu ni mkutano wao wa kwanza kabisa. Hivyo huu unatarajiwa kuwa mchezo wa kihistoria.
Utabiri Wetu (Ushindi kwa DR Congo)
DR Congo wanaingia kwenye mchezo huu kama timu yenye nafasi kubwa zaidi ya kushinda. Wameonyesha nidhamu ya kiuchezaji, na uwezo mkubwa wa kupambana dhidi ya wapinzani wa kiwango cha juu kama Portugal na Colombia. Ubora wa wachezaji kama Wissa, Bakambu, Wan-Bissaka na Mbemba unawapa faida kubwa dhidi ya Uzbekistan. Hautakukuwa mchezo rahisi, hay ani maoni ya kihariri Ingawa Fayzullaev na Shomurodov wanaweza kuleta hatari kwenye mashambulizi ya Uzbekistan, uzoefu na uimara wa DR Congo unapaswa kuwa tofauti kubwa.
Hitimisho
Utabiri wetu wa kiuhariri unayapa nafasi kubwa matokeo ya ushindi kwa DR Congo kwenye mchezo huu, hii ni kutokana na tathmini ya ubora wa vikosi na kimbinu. Mechi hi itaamua nani anakwenda hatua inayofuata ambapo timu zote zinahitaji ushindi kufufua matumaini ya kusonga mbele. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za DR Congo vs Uzbekistan kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)

DR Congo vs Uzbekistan itaanza saa ngapi?
Mechi itaanza saa nane na nusu usiku kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) Jumapili tarehe 28 Juni 2026.
Je, DR Congo ni sawa na Republic of Congo?
Hapana. DR Congo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) na Republic of Congo ni mataifa mawili tofauti.
Je, DR Congo bado wanaweza kufuzu?
Ndiyo. Ushindi katika mechi hii unaweza kuwapa nafasi ya kufuzu kama moja ya timu bora za nafasi ya tatu, kutegemea matokeo ya makundi mengine.
Nani alifunga bao la kwanza la DR Congo katika Kombe la Dunia?
Yoane Wissa alifunga bao hilo katika sare ya 1-1 dhidi ya Portugal kwenye mchezo wa kwanza wa Kundi K.
DR Congo na Uzbekistan wapo kundi gani?
Wapo Kundi K pamoja na Colombia na Republic of Congo. Colombia tayari wamefuzu baada ya kufikisha pointi 6.
KUJUA UCHAMBUZI NA RATIBA YA MECHI IJAYO YA SENEGAL, SOMA HII: Prediction Senegal vs Iraq FIFA Kombe la Dunia 2026: Kundi I, h2h, team news, odds

