Simba SC vs Mighty Wanderers CAF Champions League | Odds | Hiki hapa kikosi cha Simba SC | SportPesa Blog

ByJoel Thomas

September 13, 2026
Simba SC vs Mighty WanderersSimba SC vs Mighty WanderersSimba SC vs Mighty Wanderers
  • Kinawaka leo saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki kuelekea mechi kali ya Simba SC vs Mighty Wanderers kutoka Malawi.
  • Mechi hii inatarajiwa kupigwa kwenye Uwanja wa Uhuru, Temeke jijini Dar es Salaam.
  • Timu hizi zinaingia katika mchezo huu zikiwa na kumbukumbu ya matokeo ya Mighty Wanderers 0-1 Simba SC, kutoka mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Malawi.
  • Makala hii inakuletea kikosi cha Simba SC kinachoanza mchezo huu na odds kubwa kutoka Kampuni ya SportPesa.

Simba SC vs Mighty Wanderers ratiba ya mechi kali ya mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika yaani ‘Caf Champions League’. Mechi hii inatarajiwa kupigwa kuanzia majira ya saa 10 kamili kwa saa za Afrika Mashariki kwenye Uwanja wa Uhuru, Temeke jijini Dar es Salaam. Timu hizi zinaingia katika mchezo huu zikiwa na kumbukumbu ya matokeo ya Mighty Wanderers 0-1 Simba SC, kutoka mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Botswana. SportPesa blog inakuletea Makala hii inakuletea kikosi cha Simba SC kinachoanza na odds kubwa kutoka Kampuni ya SportPesa.

UNAWEZA KUBASHIRI MECHI HII YA SIMBA SC VS MIGHTY WANDERERS KWA KUBONYEZA HAPA CHINI

Screenshot ---------- ------
Simba SC vs Mighty Wanderers

HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA SC VS MIGHTY WANDERERS

Simba SC vs Mighty Wanderers
Simba SC vs Mighty Wanderers

KUHUSU TAARIFA MUHIMU ZA SIMBA SC VS MIGHTY WANDERERS, SOMA HII: Mighty Wanderers vs Simba SC: Live Score, H2H, Vikosi, Ratiba na Takwimu

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.