- FT: Yanga SC 2-1 Gaborone United CAF Champions League 2026/27
- Peter Shalulile na Toure wamewafungashia virago Wabotswana katika hatua ya awali
- SportPesa Blog tumekuletea takwimu na rekodi za wafungaji
Ni Yanga SC 2-1 Gaborone United CAF Champions League 2026/27 matokeo rasmi mchezo wa hatua ya awali Uwanja wa Azam Complex. Wananchi wametinga hatua inayofuata kwa ushindi wa jumla ya mabao 3-2. Mchezo wa kwanza Botswana ilikuwa 1-1.Septemba 12, 2026 kete muhimu ilikuwa kwa upande wa Yanga SC inayosonga mbele hatua inayofuata.
Gaborone United vs Yanga SC: Gaborone United 1-1 Yanga SC CAF Champions League | Highlights | H2H | Seleman Mwalimu goal | SportPesa Blog
Je, bado hujashinda mamilioni ya aviator ‘Kindege’ cha SportPesa? Cheza ushinde mamilioni sasa
Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Yanga SC 2-1 Gaborone United taarifa muhimu

Yajue matokeo ya Yanga SC CAF: Matokeo ya Yanga SC CAF Champions League 2025/26/ Standings, fixture
| Kipengele | Maelezo |
| Mashindano | Ligi ya Mabingwa Afrika |
| Hatua | Hatua ya awali |
| Tarehe | Septemba 12, 2026 |
| Uwanja | Azam Complex, Dar |
| Matokeo | Yanga SC 2-1 Gaborone United |
H2H Yanga SC vs Gaborone United CAF Champions League
| Tarehe | Matokeo |
| Septemba 5, 2026 | Gaborone United 1-1 Yanga SC |
| Septemba 12, 2026 | Yanga SC 2-1 Gaborone United |
Yanga SC ilivyowaondoa Gaborone United CAF Champions League
Wawakilishi wa Tanzania katika anga la kimataifa Yanga SC wamewaondoa jumlajumla Gaborone United hatua ya awali. Katika mchezo wa pili wa marudio uliochezwa Uwanja wa Azam Complex wamepata ushindi wa mabao 2-1. Peter Shalulile alifungua pazia mapema dakika ya 7 kwa pasi ya SelemanMwalimu na Toure alifunga bao la pili dakika ya 83.
Bao pekee la Gaborone United limefungwa na Ditsele dakika ya 87. Ushindi huu kwa Yanga SC unawafanya wasonge hatua inayofuata kwa jumla ya mabao 3-2. Hatua inayofuata itacheza dhidi ya CFFA ya Madagascar.
Hitimisho
Yanga SC 2-1 Gaborone United matokeo muhimu kwa wenyeji kusonga mbele hatua inayofuata. Shukrani kwa Shalulile ambaye alifunga bao la ufunguzi akitumia pasi ya Seleman Mwalimu. Siku hiyo ilikuwa maalumu ilipewa jina la Sele Day kwa kuwa alifunga bao kwenye mchezo uliopita ugenini. Gaborone United safari yao inaishia katika ardhi ya Tanzania msimu wa 2026/27 mpaka wakati mwingine tena.

