USAUSA
  • Turkey vs USA Kombe la Dunia 2026, huenda ikawa ndiyo mechi itakayopooza zaidi katika mfululizo wa mechi za Kundi D.
  • Hii ni kutokana na uhalisia kuwa USA tayari wamefuzu hatua ya 32 bora, huku Turkey wakiwa tayari wameaga mashindano.
  • Mechi hii itapigwa Uwanja wa Los Angles saa 11 alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki mechi ya mwisho, June 26 2026.
  • Makala hii inachambua taarifa muhimu za mchezo huu.

Turkey na USA zitashuka uwanjani alfajiri ya Ijumaa kukamilisha ratiba ya Kombe la Dunia 2026 kundi D. Ni katika mchezo wa Turkey vs USA. Mchezo wa Kundi E utakaopigwa Uwanja wa Los Angles, Inglewood. Mara ya mwisho timu hizo kushuka uwanjani matokeo yalikuwa, Turkey 0-1 Paraguay na USA 2-0 Australia. Makala hii inachambua taarifa muhimu za mchezo huu.

Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Turkey vs USA

Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Turkey vs USA
Turkey vs USA

Muhtasari wa mechi ya Turkey vs USA

Australia vs Turkey FIFA Kombe la Dunia 2026
Arda Guler

Wenyeji USA wanaingia katika mchezo huu wakiwa hawana presha, hii ni baada ya kufuzu hatua ya 32 mapema. USA chini ya kocha, Mauricio Pochettino ilifuzu mtoano baada ya ushindi wa mechi 2 mfululizo dhidi ya Paraguay na Australia. Mpaka sasa wenyeji hao wapo kileleni mwa Kundi D wakiwa na pointi sita.

Uturuki tayari wameondolewa baada ya kupoteza mechi zao mbili mfululizo dhidi ya Paraguay na Australia. Katika mechi hizo wameruhusu mabao matatu, bila kufunga hata goli moja kwenye mashindano. hii inawafanya wawe na deni la kumaliza hatua ya makundi angalau kwa kishindo.

KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE 104, SOMA HII: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Wapi kwa kutazama (How to watch) Turkey vs USA Kombe la Dunia 2026

Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Turkey vs USA kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Habari za timu na vikosi vinavyotarajiwa

Kwa Turkey hawajatoa taarifa za majeraha mapya kikosini, lakini kikosi chao kinatarajiwa mabadiliko ili kutoa nafasi kwa baadhi ya wachezaji kucheza. Mshambuliaji Kerem Aktürkoğlu huenda akaanza benchi, baada ya kiwango duni katika mechi zilizopita. Kwa upande wa Marekani, nyota wao Christian Pulisic huenda akakosa mchezo huu kutokana na jeraha dogo la misuli ya ndama.Hii itafanya Ricardo Pepi kuendelea kuanza mbele akiwa pamoja na Folarin Balogun.

Vikosi Vinavyotarajiwa

Turkey

NafasiMchezaji
KipaÇakır
MabekiM. Müldür
MabekiA. Demiral
MabekiK. Kabak
MabekiF. Kadioglu
Viungo wa katiO. Özcan
Viungo wa katiH. Çalhanoğlu
Winga / MashambuliziA. Akgün
Kiungo mshambuliajiA. Güler
Kiungo mshambuliajiK. Yıldız
MshambuliajiGül

USA

kikosi cha USA
kikosi cha USA
NafasiMchezaji
KipaFreese
Mabeki wa kulia/kushotoScally
Mabeki wa katiMcKenzie
Mabeki wa katiTrusty
Mabeki wa kushotoArfsten
Viungo wa katiRoldan
Viungo wa katiBerhalter
WingaWeah
Kiungo mshambuliajiReyna
WingaZendejas
MshambuliajiPepi

KUJUA UCHAMBUZI WA RATIBAYA MECHI INAYOFUATA YA SOUTH AFRICA, SOMA HII: Prediction: South Africa vs South Korea Kombe la Dunia 2026 | live score, h2h, lineups, odds na Habari za timu

Rekodi ya Turkey vs USA h2h

Timu hizi zimekutana mara 5 katika historia ya mashindano mbalimbali. Kila timu imeshinda mechi 2, huku mchezo mmoja ukiisha kwa matokeo ya sare. Hivyo matokeo ya mchezo huu yatakwenda kuleta uzito mwingine wa kirekodi.

Kumbukumbu ya h2h

Tarehe (Date)Mechi (Match)Matokeo (Result)
7 Juni 2025Marekani vs Uturuki1–2 (Turkey win)
1 Juni 2014Marekani vs Uturuki2–1 (USA win)
29 Mei 2010Marekani vs Uturuki2–1 (USA win)
19 Juni 2003Uturuki vs Marekani2–1 (Turkey win)
4 Septemba 1991Uturuki vs Marekani1–1 (Draw)

Utabiri wa Turkey vs USA (Magoli 2 au zaidi kufungwa)

Turkey vs USA Kombe la Dunia 2026
Arda

Mchezo huu unazikutanisha timu ambazo kimahesabu hazina cha kupoteza, hivyo unatarajiwa mchezo wa wazi ambao utakuwa na mabao mengi. USA wanaingia kwenye mchezo huu vinara wa Kundi D huku Turkey wakiburuza mkia kwakuwa hawajakusanya pointi yoyote.

Maswali muhimu ya mechi hii

Mechi ya Turkey vs USA itachezwa lini, wapi na saa ngapi?

Timu hizi mbili zitakutana alfajiri ya Ijumaa, 26 Juni 2026, katika Uwanja wa Los Angles saa 11 alfajiri.

Je, Turkey vs USA zimewahi kukutana hapo awali?

Ndio, timu hizi mbili zimekutana mara 5 ambapo kila timu imeshinda mechi 2 na mchezo mmoja uliosalia ukiisha kwa sare.

KUJUA RATIBA YA MECHI ZOTE ZA BRAZIL, SOMA HII: Utabari wa Czechia vs Mexico: Kombe la Dunia 2026 – Kundi A

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.