Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026Tunisia vs Netherlands
  • Kutoka Kundi F ni Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026 watakutana kwenye mchezo wa mwisho hatua ya makundi
  • Tunisia hajapata ushindi kwenye mechi zote mbili za hatua ya makundi anakutana na Netherlands vinara kwenye kundi wakiwa na pointi 4.
  • SportPesa Blog imwkuletea uchambuzi, takwimu na taarifa za timu kuelekea mchezo huu muhimu.

Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026 unayakutanisha mataifa yenye historia tofauti, Juni 26, 2026 saa 8:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mchezo huu utachezwa Uwanja wa Kansas City huku Tunisia wakiwa na kibarua kusaka ushindi kwa mara ya kwanza.Tunisia hawajashinda mechi yoyote katika michezo mitano iliyopita. Netherlands wanaingia wakiwa katika kiwango bora zaidi,chini ya kocha Ronald Koeman. Walifunga mabao 5 dhidi ya Sweden na kutoa sare ya 2-2 dhidi ya Japan katika Kundi F.

Ratiba ya FIFA Kombe la Dunia isome hapa: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Hizi hapa Odds bora za SportPesa za mechi ya Curacao vs Ivory Coast
Kwa wanaotafuta odds bora, SportPesa inatoa masoko mbalimbali ya ubashiri pamoja na malipo ya haraka. kwa sasa odds zimeborwesha na unaweza kubashiri mechi hii sasa gusa hapo chini, ili kubashiri moja kwa moja.

Tunisia
Tunisia vs Netherlands

Taarifa Muhimu: Tunisia vs Netherlands

KipengeleMaelezo
MashindanoFIFA Kombe la Dunia 2026
MechiTunisia vs Netherlands
KundiKundi F
HatuaMchezo wa 3 (Makundi)
TareheIjumaa, Juni 26, 2026
MudaSaa 8:00 usiku (EAT)
UwanjaKansas City, Marekani
Jukwaa la kubashiriaSportPesa

Tunisia fomu ya mechi 5 za mwisho

  • vs Japan (Kombe la Dunia): Kufungwa 0-4
  • vs Sweden (Kombe la Dunia): Kufungwa 1-5
  • vs Belgium (Kirafiki): Kufungwa 0-5
  • vs Austria (Kirafiki): Kufungwa 0-1
  • vs Canada (Kirafiki): Sare 0-0

Netherlands fomu ya mechi 5 za mwisho

Tunisia vs Netherlands FIFA Kombe la Dunia 2026
Netherlands FIFA
  • vs Sweden (Kombe la Dunia): Ushindi 5-1
  • vs Japan (Kombe la Dunia): Sare 2-2
  • vs Uzbekistan (Kirafiki): Ushindi 2-1
  • vs Algeria (Kirafiki): Kufungwa 0-1
  • vs Ecuador (Kirafiki): Sare 1-1

H2H Tunisia vs Netherlands

  • Tunisia hawajawahi kuwafunga Netherlands
  • Sare mbili zilipatikana katika enzi za zamani sana
  • Netherlands wana ushindi mmoja mkubwa (4-0)
  • Historia haionyeshi ushindani wa karibu katika kizazi cha sasa.Timu hizi zimekutana mara tatu pekee, zote zikiwa mechi za kirafiki:
  • 2009 (Tunis): Tunisia 1-1 Netherlands
  • 1994 (Tunis): Tunisia 2-2 Netherlands
  • 1978: Netherlands 4-0 Tunisia
  • Hakuna mkutano wowote uliowahi kufanyika katika Kombe la Dunia kati yao, hivyo historia ya H2H ina uzito mdogo katika kutabiri mechi hii.

Tunisia (4-3-3)

Hivi ni vikosi ambavyo vinatokana na mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitatolewa saa moja kabla ya mchezo.

NafasiMchezaji
GKAymen Dahmen
RBYan Valery
CBDylan Bronn
CBMontassar Talbi
LBAli Abdi
CMEllyes Skhiri
CMHannibal Mejbri
CMAnis Ben Slimane
RWElias Achouri
STFiras Chaouat
LWIsmaeel Gharbi

 Netherlands (4-3-3)

NafasiMchezaji
GKBart Verbruggen
RBDenzel Dumfries
CBVirgil van Dijk
CBMicky van de Ven
LBNathan Ake
CMRyan Gravenberch
CMFrenkie de Jong
CMTijjani Reijnders
RWCody Gakpo
STMemphis Depay
LWDonyell Malen

Prediction Tunisia vs Netherlands

Masoko yanaonyesha wazi tofauti ya ubora kati ya timu hizi mbili. Ushindi wa Netherlands unaonekana kuwa matokeo yanayotarajiwa zaidi, huku fursa ya Tunisia ikiwa ndogo sana na ya kubahatisha. Ni Netherlands 3-0 Tunisia matokeo yanayotarajiwa. Ila haya siyo matokeo rasmi ni maoni ya mhariri.

Tunisia
Tunisia vs Netherlands

Uchambuzi wa Curacao vs Ivory Coast huu hapa usome: Prediction: Curacao vs Ivory Coast Kombe la Dunia 2026 | live score, h2h, lineups, odds na Habari za timu

Namna ya kubashiri kwenye SportPesa

Fungua ukurasa wa tukio laTunisia vs Netherlands SportPesa
Chagua soko lako — Single Bet (SB), Multi-Bet (MB), au Live Bet (LB) mara tu mechi itakapoanza.
Weka dau lako na thibitisha ubashiri.

Wapi kwa kutazama (How to watch) Tunisia vs NetherlandsKombe la Dunia 2026

Mashabiki wanaweza kufuatilia mechi ya Tunisia vs Netherlands kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this: