Spain vs Saudi Arabia Kombe la Dunia 2026: prediction, Live score, lineups, vikosi, h2h, live score, odds

ByJoel Thomas

June 18, 2026
Lamine Yamal (-)Lamine Yamal (-)Lamine Yamal (-)

Spain vs Saudi Arabia: Kombe la Dunia 2026 — Kundi E

  • Spain vs Saudi Arabia wanakutana katika mchezo wa pili wa Kundi H wa Kombe la Dunia 2026.
  • Mchezo huu utapigwa katika Uwanja wa Atlanta, tarehe 21 June 2026, saa tatu usiku kwa saa za afrika mashariki (EAT).
  • Timu zote zinaingia katika mchezo huu zikiwa zimetoka kupata matokeo ya sare. Matokeo yao ya mechi za kwanza ni Spain 0-0 Cape Verde na Saudi Arabia 1-1 Uruguay.
  •  Staa wa Spain, Lamine Yamal anatazamiwa kuanza, baada ya kutokea benchi mchezo wa kwanza

Spain vs Saudi Arabia ni mechi ya kufa na kupona ndani ya Kundi E la Kombe la Dunia 2026, timu hizi zitavaana uso kwa uso katika Uwanja wa Atlanta, 21 June 2026. Mchezo huo utapigwa saa 3 usiku muda wa afrika mashariki (EAT). Katika michezo yao ya awali Spain waling’ang’aniwa na Cape Verde, huku Saudi Arabia nao wakitoa sare ya 1-1 mbele ya Uruguay.

Updated: Spain vs Saudi Arabiateam news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi D Kombe la Dunia 2026.

Utabiri wetu: Spain 3-1 Saudi Arabia

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za mecchi za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Spain vs Saudi Arabiaangalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

Spain vs Saudi Arabia

Maelezo muhimu ya Mechi

Saudi Arabia
Saudi Arabia
KipengeleMaelezo
MchezoSpain vs Saudi Arabia
MashindanoFainali za Kombe la Dunia la FIFA 2026
KundiKundi H
Hatua ya MashindanoMzunguko wa Pili wa Hatua ya Makundi
Tarehe ya MechiJumapili, 21 Juni 2026
UwanjaAtlanta Stadium
Mji MwenyejiAtlanta, Georgia, Marekani
Muda wa Kuanza (EST)Saa 12:00 jioni
Muda wa Kuanza (GMT)Saa 16:00
Muda wa Afrika Mashariki (EAT)Saa 7:00 usiku
Hali ya Kundi HTimu zote nne zina pointi 1 baada ya mechi za kwanza

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Spain vs Saudi Arabia

Mashabiki wanaweza kufuatilia Spain vs Saudi Arabiakupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Muhtasari, Utabiri na uchambuzi wa mechi ya Spain vs Saudi Arabia

Saudia
Saudia

Moja ya matokeo yaliyoshangaza wengi katika Kombe la Dunia mwaka huu ni sare ya 0-0 kati ya Hispania, na wageni wa kwanza wa mashindano hayo, Cabo Verde. Licha ya Hispania kutawala karibu kila takwimu ya mchezo, walishindwa kupata bao. Kipa mkongwe wa Cabo Verde mwenye umri wa miaka 40, Vozinha, ndiye aliyekuwa shujaa wa mechi hiyo.

Kwa upande mwingine, Saudi Arabia iliwashangaza wengi kwa kupata sare ya 1-1 dhidi ya Uruguay, matokeo yaliyoongeza ushindani mkubwa katika Kundi H. Baada ya mechi za kwanza, timu zote nne za kundi hili zina pointi moja. Hii inafanya mzunguko wa pili kuwa wa kusisimua zaidi.

Kuangalia ratiba ya mechi zote 104 za Kombe la Dunia 2-26, soma hii: Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Vikosi vya timu zote mbili na hali za wachezaji

Kocha Luis de la Fuente hana majeruhi wala wachezaji waliosimamishwa katika kikosi chake. Hii inamfanya kuwa na machaguzi mengi kuelekea mchezo huu. Mpaka sasa, hakuna kikosi rasmi kilichotangazwa kuelekea mchezo huu. Vivyo hivyo, Saudi Arabia chini ya Georgios Donis haina majeruhi wala adhabu za kusimamishwa.

Vikosi vinavyotarajiwa Spain vs Saudi Arabia

Fomu za Timu

Spain

TareheMchezoMatokeoHali
15 Juni 2026Hispania vs Cabo Verde0-0Sare
9 Juni 2026Peru vs Hispania1-3Ushindi
4 Juni 2026Hispania vs Iraq1-1Sare
31 Machi 2026Hispania vs Misri0-0Sare
27 Machi 2026Hispania vs Serbia3-0Ushindi

Saudi Arabia

TareheMchezoMatokeoHali
16 Juni 2026Saudi Arabia vs Uruguay1-1Sare
10 Juni 2026Saudi Arabia vs Senegal0-0Sare
6 Juni 2026Puerto Rico vs Saudi Arabia0-3Ushindi
31 Mei 2026Ecuador vs Saudi Arabia2-1Kipigo
31 Machi 2026Serbia vs Saudi Arabia2-1Kipigo

Rekodi ya Mikutano ya Awali (H2H)

TareheMchezoMatokeo
7 Septemba 2012Hispania vs Saudi Arabia5-0
29 Mei 2010Hispania vs Saudi Arabia3-2
23 Juni 2006Saudi Arabia vs Hispania0-1

Mkutano wa mwisho kati ya timu hizi ulikuwa katika Kombe la Dunia 2006, ambapo Hispania ilishinda kwa bao 1-0.

Wachezaji muhimu wa kila timu

Hispania

Lamine (-)
Lamine

Lamine Yamal – kijana mwenye kipaji kikubwa anayetoa tishio kupitia pembeni.

Nico Williams – winga hatari wa Athletic Bilbao.

Mikel Oyarzabal – mshambuliaji mwenye uzoefu aliyefunga mabao sita katika mechi za kufuzu.

Mikel Merino – tishio kubwa katika mipira ya adhabu na kona.

Ferran Torres – anatarajiwa kuwa mshambuliaji mkuu wa timu.

Kuangalia uchambuzi wa mechi ijayo ya Turkey, soma hii: Turkey vs Paraguay prediction: FIFA Kombe la Dunia 2026, lineup, team news

Saudi Arabia

Nahodha mkongwe Salem Al-Dawsari bado ni tegemeo kubwa la Saudi Arabia. Ndiye aliyefunga bao la ushindi dhidi ya Argentina katika Kombe la Dunia la 2022.

Musab Al-Juwayr – kiungo mwenye umri wa miaka 22 anayesimamia ubunifu katikati ya uwanja.

Saud Abdulhamid – beki wa kulia anayekipiga Lens, akiwa mchezaji pekee katika kikosi anayesakata soka nje ya Saudi Arabia.

Utabiri Wetu

Kwa kuzingatia uchambuzi wa Takwimu na hali za vikosi, tunatabiri matokeo ya mwisho kuwa Spain 3-1 Saudi Arabia. Hautakuwa mchezo rahisi, kwani timu zote zina pointi sawa, na zinataka kujihakikishia nafasi ya kufuzu mtoano. Ubashiri huu unabaki kuwa maoni ya uhariri na si matokeo halisi, hivyo angalia odds kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Hitimisho

Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa nafasi kubwa mechi Kuwa na magoli kutoka pande zote mbili, na ushindi wa mabao kwa timu zote 2. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Spain vs Saudi Arabia kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Spain vs Saudi Arabia live score na matokeo

Spain vs Saudi Arabia live score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza, na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi H baada ya mechi.

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)

Mechi ya Spain vs Saudi Arabia inaanza saa ngapi?

Mechi itachezwa saa 3 usiku muda wa afrika mashariki, siku ya tarehe 21 Juni 2026, katika uwanja wa Atlanta, USA

Je, Spain vs Saudi Arabia wamewahi kukutana hapo awali?

Ndiyo, timu hizi zimekutana kwenye michezo 3, ambayo Spain alishinda yote.

Spain vs Saudi Arabia wapo kundi gani katika Kombe la Dunia 2026?

Timu zote mbili zipo Kundi H pamoja na timu za Uruguay na Cape Verde.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Jipatie nafasi ya kujishindia milioni 800 na Aviator

Kufahamu utabiri na uchambuzi wa mechi inayofuata ya Brazil, soma hii: Brazil vs Haiti FIFA Kombe la Dunia 2026: Team news, prediction, h2h

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.