Iran vs NorwayIran vs Norway

Iraq vs Norway prediction: Utabiri, muda, vikosi, h2h na odds

  • Iraq vs Norway ni mechi ya Kundi I ya Kombe la Dunia 2026, ambayo itapigwa kwenye Uwanja wa Boston (Gillette Stadium), tarehe 17 June 2026, saa saba usiku kwa saa za Afrika Mashariki.
  • Kwa kuzingatia uchambuzi wa kina wa Opta Analyst, Norway wanapewa nafasi kubwa ya asilimia 77.4 kushinda dhidi ya Senegal yenye asilimia 8.6
  • Je, Norway walio na safu kali ya ushambuliaji inayoongozwa na staa wa Man City, Erling Haaland watafanikiwa kushinda mchezo huo?
  • Fuatilia kiundani taarifa ya mechi Iraq vs Norway kupata; livescores, prediction, stats, results kupitia SportPesa Blog.

Iraq vs Norwayni mechi ya pili ya Kundi I ya Kombe la Dunia la FIFA 2026 itakayopigwa tarehe 17 Juni 2026 nchini USA. Wachezaji mahiri ikiwemo; Norway ikiwa na mastaa Erling Haaland na Martin Odegaard watavaana na Iraq inayoongozwa na staa wao Aymen Hussein. Ikumbukwe hii ni mara ya kwanza timu hizo kukutana, katika mashindano ya kimataifa. Nakala hii, tunaangazia habari za sasa kuhusu mchezo huu wa Kundi I la Kombe la Dunia la FIFA 2026 ikiwemo; utabiri takwimu na matokeo.

Updated: Iraq vs Norway team news, lineups, kick-off time, H2H na odds kabla ya mchezo wa Kundi I Kombe la Dunia 2026.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Kombe la Dunia 2026; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog na ushinde mamilioni kwa kubashiri kupitia odd kubwa za SportPesa.

Taarifa muhimu za mechi

Martin Ødegaard x Erling Haaland
Martin Ødegaard x Erling Haaland
KipengeleMaelezo
MechiIraq vs Norway
MashindanoKombe la Dunia la FIFA 2026
KundiKundi I
Tarehe17 Juni 2026
UwanjaBoston
Jina Lingine la UwanjaGillette
Muda wa Afrika Mashariki (EAT)Saa 7 usiku
Yaliyomo Kwenye MakalaUtabiri wa mechi, habari za timu, vikosi vinavyotarajiwa kuanza, rekodi za kukutana (H2H), matokeo mubashara (live score) na odds za ushindi
Jukwaa la KubashiriSportPesa

Kupata taarifa za ratiba soma hii; Ratiba FIFA Kombe la Dunia 2026 | Mechi zote 104 | Tarehe | Muda wa mechi | Uwanja utakaotumika

Shinda mamilioni na Twenzetu Duniani ya SportPesa kwenye mechi Kombe la Dunia 2026

Twenzetu Duniani ya SportPesa inakuletea nafasi ya kushinda mamilioni kupitia odds kubwa za Kombe la Dunia 2026. Kwa mechi ya Iraq vs Norway, angalia odds kwa kubonyeza picha hii chini, fanya uchambuzi wako, kisha weka mkeka wako kupitia SportPesa. Beti kistaarabu.

Twenzetu duniani

Utabiri na uchambuzi wa mechi ya Iraq vs Senegal

Iraq

Ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Bolivia katika mechi za mtoano mwezi Machi uliifanya Iran, kufuzu kushiriki fainali za Kombe la Dunia 2026. Hii ni mara ya pili kwao kushiriki Kombe la Dunia, baada ya kushiriki kwa mara ya kwanza mwaka 1986. Katika ushiriki wao wa Kombe la Dunia mwaka 1986, Iran ilishindwa kupata pointi katika mechi zake tatu za makundi.

Baada ya ushindi uliowapa nafasi ya kufuzu Kombe la Dunia, Iraq imecheza mechi tatu za kirafiki. Iliifunga Andorra bao 1-0, ikatoka sare ya 1-1 dhidi ya Hispania tarehe 4 Juni, kabla ya kufungwa mabao 2-0 na Venezuela siku nne baadaye.

Norway

Norway ilifanikiwa kukusanya pointi 24, katika safari ya kufuzu Kombe la Dunia. Katika mechi hizo walifunga mabao 37, huku wakiruhusu mabao matano pekee. Katika mechi 4 za kirafiki walizocheza baada ya kufuzu, Walifungwa 2-1 na Uholanzi, wakatoka sare dhidi ya Morocco na Uswisi. Mechi pekee ya ushindi ni dhidi ya Sweden wakishinda mabao 3-1. Mara ya mwisho Norway kushiriki fainali za Kombe la Dunia ilikuwa mwaka 1998 nchini Ufaransa.

Iraq vs Norway H2H

Mechi ya Jumanne itakuwa mara ya kwanza kabisa kwa Norway na Iraq kukutana. Ni vigumu kutabiri jinsi watakavyocheza dhidi ya kila mmoja. Fomu ya sasa, ubora wa vikosi na nidhamu ya mbinu, vitakuwa muhimu zaidi.

Table hii inachambua kwa urahisi fomu ya Iraq vs Norway

Fomu ya Iraq kabla ya mechi

L – L – W – W – D – L

MatokeoMechiTareheMashindano
KichapoIraq 0-2 Venezuela10 Juni 2026Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa
SareIraq 1-1 Hispania4 Juni 2026Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa
UshindiIraq 1-0 Andorra29 Mei 2026Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa
UshindiIraq 2-1 Bolivia31 Machi 2026Mtoano wa Mabara (Intercontinental Play-offs) – Kufuzu Kombe la Dunia
KichapoIraq 0-1 Jordan12 Desemba 2025Robo Fainali za Kombe la Waarabu la FIFA

Fomu ya Norway kabla ya mechi

W – W – L – D – W – D

TareheMechiMatokeoMashindano
7 Juni 2026Norway 1-1 Morocco SareMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
1 Juni 2026Norway 3-1 Sweden UshindiMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
31 Machi 2026Norway 0-0 SwitzerlandSareMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
27 Machi 2026Norway 1-2 Netherlands KichapoMechi ya Kirafiki ya Kimataifa
16 Novemba 2025Norway 4-1 ItalyUshindiKufuzu Kombe la Dunia

Vikosi vinavyotarajiwa kuanza

Hivi ni vikosi vinavyotarajiwa kuanza kulingana na fomu ya wachezaji, taarifa za awali za timu na mwenendo wa mechi zilizopita. Vikosi rasmi vitathibitishwa karibu na muda wa mchezo.

Iraq

Aymen Hussein
Aymen Hussein
NafasiWachezaji
KipaJalal Hassan
WalinziAli, Zaid Tahseen, Rebin Sulaka, Merchas Doski
ViungoAmir Al-Ammari, Zidane Iqbal, Ibrahim Bayesh, Ali Jasim, Ali Al-Hamadi
MshambuliajiAymen Hussein

Norway:

NafasiWachezaji
KipaØrjan Nyland
WalinziJulian Ryerson, Kristoffer Ajer, Torbjørn Heggem, David Wolfe
ViungoMartin Ødegaard, Sander Berge, Fredrik Aursnes
WashambuliajiAlexander Sørloth, Erling Haaland, Antonio Nusa

Kujua uchambuzi wa mechi ya Saudi Arabia vs Uruguay soma hii; Saudi Arabia vs Uruguay Kombe la Dunia 2026 l utabiri Kundi H

Habari za timu na majeruhi

Kwa taarifa za awali mpaka sasa vikosi vya timu zote mbili viko salama na tayari kwa ajili ya mchezo huu, kwa kuwa hakuna majeruhi. Taarifa sahihi zaidi zitatolewa saa chache kuelekea mchezo huu. Hii inatarajiwa kufanywa na timu za madaktari kwa kushirikiana na mabenchi ya ufundi.

Bado hujashinda pesa? Cheza ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa

Changamka! sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kushiriki mchezo huu bonyeza picha hii chini.

Sportpesa-Aviator-Rain-Free-Bets

Iraq vs Norway utabiri Kombe la Dunia 2026 (Utabiri wetu: Iraq 1-3 Norway)

Iraq italazimika kuwa imara sana ikiwa inataka kumzuia Haaland na safu ya ushambuliaji ya Norway. Norway ilikuwa bora sana katika safu ya ushambuliaji wakati wa kufuzu, hivyo Iraq inaweza kutumaini kupata angalau pointi moja. Kwa kuzingatia uchambuzi wa Opta tunatarajia matokeo ya Iraq 1-3 Norway. Huu ni mtazamo wa kiuhariri, si matokeo halisi hivyo Bashiri kistaarabu.

Hitimisho:

Kombe la Dunia (-)
Kombe la Dunia

Utabiri wetu wa kiuhariri unaipa Norway nafasi ya kushinda 3-1 dhidi ya Iraq. Norway wana ubora mkubwa kwenye safu ya ushambuliaji kupitia mastaa kama; Erling Haaland na Martin Odegaard, lakini Iraq wanatarajiwa kutoa upinzani. Endelea kufuatilia SportPesa Blog kwa ratiba, matokeo, utabiri na habari za Kombe la Dunia 2026. Angalia odds za Ufaransa vs Senegal kwenye SportPesa na ubashiri kistaarabu.

Kujua uchambuzi wa mechi ya Argentina vs Algeria soma hii; FIFA Kombe la Dunia 2026: Wachezaji muhimu, muda, h2h, utabiri | SportPesa Blog

Iraq vs Norway live score na matokeo

Iraq vs Norway live score na matokeo ya mwisho yataongezwa hapa baada ya mchezo kuanza na baada ya dakika 90. Fuatilia SportPesa Blog kwa magoli, highlights, mchezaji bora, matokeo ya mwisho na msimamo wa Kundi I baada ya mechi.

Maswali muhimu yanayoulizwa kuhusu mchezo huu

Mechi ya Iraq vs Norway itachezwa lini?

Mechi hii itapigwa Tarehe 17 June 2026 saa saba usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Iraq vs Norway ni kundi gani?

Huu ni mchezo wa Kundi I kwenye Kombe la Dunia 2026.

Iraq vs Norway zimewahi kukutana?

Timu hizi hazina historia ya kukutana, hii itakuwa mara ya kwanza kwao.

Utabiri wa Iraq vs Norway ni upi?

Utabiri wetu wa kiuhariri ni Iraq 1-3 Senegal.

Iraq vs Norway itachezwa uwanja gani?

Mechi hii itachezwa Uwanja wa Boston unaojulikana pia kama Gillette Stadium.

Jinsi ya kuangalia (How to watch) Iraq vs Norway

Mashabiki wanaweza kufuatilia Iraq vs Norway kupitia watangazaji rasmi wa FIFA World Cup 2026 katika nchi zao. Kwa Tanzania, angalia ratiba ya matangazo ya washirika rasmi wa FIFA, na fuatilia SportPesa Blog kwa live score, matokeo, highlights na taarifa za mchezo.

Share this:

By Joel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.