- HT:Yanga SC 2-0 Kagera Sugar NBC Premier League 01/11/2026, Uwanja wa KMC Complex
- Peter Shalulile amefungua pazia la mabao dakika ya 27 ya mchezo na bao la pili limefungwa na Zimbwe Jr dakika ya 32.
- Yanga SC wamepiga mashuti 6 huku 2 yakilenga lango na Kagera Sugar wamepiga mashuti 2 moja likilenga lango.

Yanga SC 2-0 Kagera Sugar NBC Premier League baada ya dakika 45 za mwanzo.Mabingwa watetezi wanakwenda mapumziko wakiwa wanaongoza Uwanja wa KMC Complex,Mwenge Dar 01/11/2026.Mabao ya Yanga SC yamefungwa na Peter Shalulile dakika ya 27 na Mohamed Hussen Zimbwe Jr dakika ya 32.
SOMA HII PIA:Yanga SC vs Kagera Sugar NBC Premier League 2026/27 | H2H | Prediction
Shinda na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni sasa hivi
Ni zamu yako kushinda na SportPesa, unaweza kushinda mamilioni sasa hivi. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kupitia Kampuni bora ya michezo ya kubashiri ya SportPesa bonyeza picha hii chini.

Yanga SC 2-0 Kagera Sugar NBC Premier League
| Kipengele | Yanga SC | Kagera Sugar |
| Mabao | 2 | 0 |
| Mashuti | 06 | 02 |
| Umiliki | 55% | 45% |
| Pasi | 294 | 249 |
| Mashuti yaliyolenga lango | 2 | 1 |
Dakika 45 za nguvu kwa wababe hawa wawili Uwanja wa KMC Complex.Kagera Sugar wapo kwenye presha kubwa kutokana na matokeo ambayo wamekuwa wakipata. Yanga SC wanaongeza presha ya ushambuliaji wakimtumia kinara wa kufunga Peter Shalulile ambaye amefikisha mabao 6 NBC Premier League.

