Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC 2025/26 | Diarra, Kasali, Manula wakabana koo

ByJoel Thomas

May 28, 2026
Vita ya Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC ------Vita ya Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC ------Vita ya Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC ------
  • Je, nani kuibuka na Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC 2025/26? Ndilo swali kubwa kwa mashabiki wa soka nchini.
  • Joto linazidi kuwa kali wakati huu Ligi Kuu Bara (NBC Premier League 2025/26), ikielekea ukingoni.
  • Ikumbukwe Ligi Kuu ya NBC imeingia katika mzunguko wa 25, hii inafanya ligi hiyo isaliwe na mechi 5 tu, kumalizika.
  • Ukiacha vita kali ya ubingwa, ambapo Yanga SC wanaongoza msimamo na pointi zao 60, huku Simba SC wakiwa na pointi 58 pia kuna vita ya clean sheet kati ya, Djigui Diarra na Mahamadou Kassali.

Joto linazidi kuwa kali wakati Ligi Kuu Bara (NBC Premier League 2025/26) ikielekea ukingoni. Ligi Kuu ya NBC imeingia katika mzunguko wa 25. Ligi sasa imesaliwa na mechi 5 tu, kumalizika. Kuna vita kali ya ubingwa ambapo Yanga SC wanaongoza msimamo na pointi zao 60, wakifuatiwa karibu na Simba SC walio na pointi 58. Timu zao zikikabana koo, makipa wa timu hizo, Djigui Diarra na Mahamadou Kassali nao wanapambania tuzo ya kipa bora kwa kukusanya clean sheet, Makala hii inachambua vita ya makipa wa Ligi Kuu kusaka clean sheet na Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC 2025/26.

Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Ligi Kuu ya NBC 2025/26; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog.

Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu

Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.

Aviator game promotional banner featuring a red propeller plane and a jackpot of 800,000,000.

Aviator: High-flying wins up to 800,000,000.

Orodha ya Clean Sheet na vita ya kusaka Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC 2025/26

Diarra
Diarra

Kupitia jedwali hapa chini, unaweza kuona orodha ya makipa wote wa Ligi Kuu Bara ambao wamefanikiwa kukusanya clean sheet angalau moja. Kwa ujumla Diarra anaendelea kuwa kinara akicheza mechi 13 bila kuruhusu bao, Kassali wa Simba SC anakamatia nafasi ya pili akicheza mechi 12 bila kuruhusu bao. Aishi Manula katika nafasi ya 3 na clean sheet zake 11, swali ni je, nani kuibuka kidedea?

Tuzo ya kipa bora Ligi Kuu NBC 2025/26
Djibrilla Kassali (-)
NafasiJina la KipaKlabuNafasi UwanjaniMechi Bila Kufungwa
1Djigui DiarraYoung AfricansKipa13
2Mahamadou KassaliSimbaKipa12
3Aishi ManulaAzamKipa11
4Jean NoelTRA UnitedKipa10
5Zuberi FobaAzamKipa8
6Erick JoholaMashujaaKipa7
7Yona AmosiPamba JijiKipa7
8Ramadhani ChalamandaJKT TanzaniaKipa6
9Mussa MbisaTanzania PrisonsKipa6
10Daniel MgoreDodoma JijiKipa5
NafasiJina la KipaKlabuNafasi UwanjaniMechi Bila Kufungwa
11Patrick MunthaliMashujaaKipa5
12Ally SalimDodoma JijiKipa5
13Obasogie AmasSingida BSKipa4
14Abuutwalib MsheryYoung AfricansKipa4
15Metacha MnataSingida BSKipa4
16Omary GonzoJKT TanzaniaKipa4
17Rashid AbdullahFountain GateKipa4
18Costantine MalimiMtibwa SugarKipa4
19Mussa MalikaNamungoKipa4
20Chuma MgeniCoastal UnionKipa3
NafasiJina la KipaKlabuNafasi UwanjaniMechi Bila Kufungwa
21Hashimu MussaMashujaaKipa3
22Wilbol MasekeCoastal UnionKipa3
23Beno KakolanyaMbeya CityKipa3
24Fabien MutomboraKMCKipa2
25Suleiman SaidiNamungoKipa2
26Yakoub SuleimanSimbaKipa2
27Hussein MasalangaSingida BSKipa2
28Husseni AbelSimbaKipa2
29Toba KutishaMtibwa SugarKipa2
30Issa FofanaAzamKipa1
NafasiJina la KipaKlabuNafasi UwanjaniMechi Bila Kufungwa
31Jonathan NahimanaNamungoKipa1
32Fadhil KisungaFountain GateKipa1
33Moussa CamaraSimbaKipa1
34Hamis YasinKMCKipa1
35Hamisi AthumaniKMCKipa1
36Denis RichardPamba JijiKipa1
37Mohamed MohamedDodoma JijiKipa1

SOMA HII PIA: USIKU WA TUZO AGOSTI MOSI 2024, ZIJUE REKODI ZA WANAOWANIA

Hitimisho

Manula
Manula

Vita ya Tuzo ya kipa bora NBC Premier League 2025/26 inazidi kushika kasi kila siku. Diarra ambaye ametawala ushindi wa tuzo hiyo katika misimu ya hivi karibuni, anakutana na upinzani mkubwa kutoka kwa washindani wake husani Kassali. Manula naye hayuko mbali, naye anaonekana kuisaka tuzo hiyo kwa udi na uvumba baada ya kuikosa kwa miaka mingi. Swali ni je, nani atafanikiwa kumaliza na clean sheet nyingi zaidi, na kushinda tuzo hiyo? Mechi 5 zilizosalia zitaamua.

SOMA HII ZAIDI: ORODHA YA WANAOWANIA TUZO TFF 2023/24, YANGA YAKIMBIZA

Share this:

ByJoel Thomas

Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.