Ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026Chama Clatous
  • Hii hapa ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026
  • Simba SC vs Coastal Union Juni 20, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha
  • Azam FC vs Yanga SC, Juni 21, 2026, Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

Tumekuletea ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026 ipo wazi kwa sasa mara baada ya robo fainali kukamilika. Nusu fainali ya kwanza itakuwa ni Simba SC vs Coastal Union, Juni 20, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Nusu fainali ya pili ni Azam FC vs Yanga SC, Juni 21, 2026 Uwanja wa CCM Kirumba. Mabingwa watetezi wa taji hili ni wananchi.

SOMA HII: CRDB Federation Cup 2026: | Yanga SC yatinga Nusu Fainali, Je, watakutana na Simba SC tena? Ratiba, matokeo, msimamo, Livescore

Unataka kushinda mamilioni? Unaweza kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 na SportPesa

Wengi tayari wamevuna mamilioni kupitia mchezo wa Kindege yaani ‘Aviator’ ya SportPesa. Wewe unasubiri nini? Nafasi ni yako cheza Aviator na kushinda mpaka Shilingi Milioni 800 sasa kwa kubonyeza picha hii chini.

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026 ni Arusha na Mwanza

Ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026
Feisal Salum kiungo mshambuliaji wa Azam FC.

SOMA HII: Simba SC vs Coastal Union :Nusu fainali CRDB Federation Cup ni Arusha | SportPesa Blog

Aviator game jackpot banner TSh 800 Million prize

Kwenye ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026 mechi zote zinapigwa nje ya Dar. Yanga SC wametinga hatua ya nusu fainali kwa kuifunga JKT Tanzania magoli 2-0. Simba SC imetinga hatua ya nusu fainali kwa kuifunga TRA United magoli 4-0 mechi za wababe hawa zilichezwa Dar.

Coastal Union ya Tanga iliwafungashia virago Singida Black Stars kwa ushindi wa penati 4-2. Mchezo wa Coastal ulichezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Je nani ataibuka mbabe kwenye hatua ya nusu fainali?

Ratiba ya nusu fainali

Simba SC vs Coastal Union, Juni 20, 2026 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Azam FC vs Yanga SC, Juni 21, 2026 Uwanja wa CCM Kirumba

Fainali itakuaje CRDB Federation Cup?

Mshindi wa mchezo wa fainali ya kwanza vs mshindi wa nusu fainali ya pili. Wababe hawa watakutana kusaka mshindi mpya 2026. Bingwa mtetezi kwa sasa ni Yanga SC.

Matokeo ya mechi za robo fainali

Ratiba ya CRDB Federation Cup 2026
Wachezaji wa Yanga SC 2025/26.

SOMA HII: Azam FC vs Yanga SC :Nusu fainali ya CRDB Federation Cup | SportPesa Blog

Coastal Union 0-0 Singida Black Stars, mshindi alipatikana kwa penati 4-2, Mei 16, 2026, Uwanja wa Mkwakwani.

JKT Tanzania 0-2 Yanga SC, Mei 16, 2026, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo.

Mashujaa FC 0-1 Azam FC, Uwanja wa Lake Tanganyika, Mei 17, 2026

Simba SC 4-0 TRA United, Uwanja wa Meja Jeneral Isahmuyo, Mei 17, 2026

Hitimisho

Timu bora zinakwenda kukutana ratiba ya Nusu Fainali ya CRDB Federation Cup 2026 Kutoka hatua ya 64 bora na sasa ni timu nne zimebaki kusaka tiketi ya kutinga fainali.Nani kuibuka mbabe katika ushindani? Endelea kufuatilia Blog ya SportPesa kwa taarifa na matokeo ya hivi punde.

Share this: