Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26 imezidi kuwa tamu, huku ligi ikiingia katika mzunguko wa 24.
Zikisalia mechi 6 tu, kumaliza msimu wa ligi, hii inafanya kila pointi, rekodi na takwimu zinazopatikana kuwa na umuhimu mkubwa kwa timu na wachezaji binafsi.
Kuna vita kali ya kiatu cha ufungaji bora msimu huu, kati ya mastaa Feisal Salum, Prince Dube na Clatous Chama.
Makala hii inakuletea orodha ya wafungaji bora yenye wachezaji 100, huku mastaa Feisal, Dube na Chama wakiwa na vita kali.
Ligi Kuu Bara yaani (NBC Premier League 2025/26) imeingia katika mzunguko wa 24. Hii inafanya ligi hiyo isaliwe na mechi 6 tu, kumalizika. Hali hii inafanya kila pointi, rekodi na takwimu zinazopatikana sasa, kuwa na umuhimu mkubwa kwa kila timu na wachezaji binafsi. Timu zinaska pointi, huku wachezaji Wakisaka rekodi za kumaliza msimu kwa kishindo, Makala hii inakuletea orodha ya wafungaji bora NBC Premier yenye wachezaji 100, huku mastaa Feisal, Dube na Chama wakiwa na vita kali.
Fuatilia mwenendo wote wa mashindano ya Ligi Kuu ya NBC 2025/26; Ratiba, matokeo, mechi, magoli na habari za papo kwa papo kupitia SportPesa Blog. Data hizi ni kabla ya mechi za mzunguko wa 24.
Cheza na ushinde sasa na ‘Kindege’ cha SportPesa uvune mamilioni muda huu
Je, hujashinda na kindege cha SportPesa? Sasa ni zamu yako, unaweza kushinda hadi mamilioni muda huu. Cheza mchezo wa ‘aviator’ maarufu kama Kindege. Kubashiri SportPesa bonyeza picha hii chini.
Aviator: High-flying wins up to 800,000,000.
Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26
Clatous Chota
Jedwali lifuatalo linakuletea orodha ya wachezaji 100 walio kwenye orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26;
Orodha ya wafungaji bora NBC Premier League 2025/26 inazidi kuwa tamu, wakati huu timu zikiwa zimebakisha mechi chache kukamilisha msimu. Mastaa watatu amba oni Clatous Chama, Feisal Salum na Prince wamejiweka kwenye nafasi nzuri zaidi ya kushinda tuzo ya mfungaji bora. Kwa kawaida staa huyo hukabidhiwa tuzo ya mfungaji bora, je nani atashinda?
Joel Thomas is a Tanzanian sports writer with a BSc (Education) from Mwenge Catholic University. He spent 4 years at Global Publishers and is in his second year with SportPesa, covering football and betting education for local fans. Anapenda soka na anaandika kwa uwajibikaji.