PROMOSHENI YA DROP AND WINS INAKUHUSU!
DROP AND WINS INAKUHUSU!
SportPesa Kasino ni jukwaa la mtandao linalokupa fursa ya kuburudika na kupata fedha kupitia michezo mbali mbali ya kimtandao iwe ya e Sport, Virtual, michezo ya karata kama Blackjack na Poker, Michezo ya machine kama Spaceman,
Katika kuboresha na kunogesha huduma na bidhaa zetu, SportPesa tumewaletea Drop & Wins. Hii ni promosheni kabambe inayoendelea ambapo wateja wetu watashindania jumla ya Sh 1,250,000,000 kila mwezi, kuanzia mwezi wa pili 2023 mpaka mwezi wa tano 2023.
Akizungumzi promosheni hii Mkuu wa Mawasilino wa Kampuni ya SportPesa Sabrina Msuya anasema Kwa ufupi promosheni hiii ya Drop & Wins ni mahsusi kwa ajili ya wachezaji wa SportPesa Kasino ambao wanacheza nasi kila siku.
‘’Kama mnavyojua SportPesa ndio kampuni pekee Tanzania yenye ubunifu katika huduma na bidhaa zake ambapo kuanzia mwezi uliopita tulitambulisha promosheni hii ya Drop & Win ambapo wateja wetu wanashinda kila Mwezi Sh 1,250,000,000 kama zawadi kwenye michezo mbali mbali ya Kasino”.
Hii inamaanisha mchezaji yeyote wa SportPesa iwe wa kubashiri kwa mikeka au ubashiri wa mchezo wa Kasino ana fursa ya kupiga mkwanja mnono kama ambavyo tayari baadhi ya wachezaji wameshashinda.
Mmoja wa mifano halisi ni Mshindi wa Juzi Tarehe 12 Mwezi wa tatu 2023 ambapo tulipata mshindi mwenye namba 067****220 aliyeshinda Shilingi milioni 15 akiwa anacheza kwa ubashiri wa Shilingi elfu kumi na tano, kupitia mchezo wa Striking Hot 5.
Mwingine ni mchezaji Mwenye namba 065****500 huyu yeye alicheza mchezo wa Super X na alikuwa anacheza kila mzunguko wa ubashiri wake kwa Sh 600 ambapo alipata Sh Milioni 4,778,120
Hapa utaona ni kwa namna gani watanzania wanajishindia pesa kwa viwango tofauti, ambapo kila mteja ana nafasi ya kushinda bila kujali umeweka au unacheza kiasi gani cha pesa.
Nikirudi kwenye promosheni yetu ya Drop & Wins, wachezaji wa michezo ya Kasino wamewekewa jumla ya Sh 155, 000,000 kuishindania kwa mwezi na kila siku wanaweza kushinda mpaka Sh 22,000,000, na pesa inaingia papo hapo bila kuchelewa.
Kwa maana hiyo ukilinganisha na kampuni nyingine SportPesa imekupa fursa kubwa sana ya kuwa milionea mpya mjini.
“Zawadi zetu si fedha taslimu tu bali kuna bonus za mizunguko ya bure (free round bonuses), pamoja na kiwango cha kuzidisha fedha (Multiplier), kinachozidishwa katika kiwango ulichoshinda.”
Upewe nini tena toka SportPesa Kasino.