skip to Main Content
JINSI YA KUHAMISHA PESA KUTOKA MKOBA WA SPORTPESA KUWA KASINO CHIPS.
RealSpookyRoulette Masked Wheel

JINSI YA KUHAMISHA PESA KUTOKA MKOBA WA SPORTPESA KUWA KASINO CHIPS.

SportPesa inakupa nafasi ya kuweka ubashiri wa michezo mbali mbali, pamoja na kasino, ambalo huruhusu watumiaji wake kuweka dau kwenye matukio mbalimbali ya michezo na kucheza michezo mbalimbali ya kasino, ikijumuisha roulette na blackjack.

Ikiwa au kama utapendelea kucheza michezo ya kasino ya SportPesa, utahitaji kuhamisha pesa kutoka kwenye mkoba wa SportPesa kupeleka kwenye akaunti yako ya SportPesa Kasino.

Katika makala hii, tutaelezea jinsi ya kufanya hivyo hatua kwa hatua.

Hatua ya Kwanza– Fungua Akaunti

Ili uweze kufungua akaunti SportPesa. Utahitaji kutoa maelezo yako binafsi, ikijumuisha majina yako, tarehe ya kuzaliwa na maelezo ya mawasiliano.

Utahitaji pia kuchagua jina la mtumiaji na neno la siri. Ukishafungua akaunti yako, utaweza kufikia jukwaa la SportPesa.

Hatua ya Pili. Njia ya Malipo

Kabla ya kuhamisha pesa kwenda kwenye akaunti yako ya SportPesa, utahitaji kuainisha njia ya malipo. SportPesa inakubali mifumo mbalimbali ya malipo ikiwemo ya ki mtandao kupitia kampuni za simu kama M-Pesa, Tigo Pesa, Halo Pesa, Selcom Huduma na Airtel Money.

Ili kuainisha njia za malipo, ingia kwenye akaunti yako na ubofye kitufe cha “Weka Pesa”. Kisha utaombwa kuchagua njia ya kulipa na uweke maelezo ya malipo yako.

 Fuata maelekezo kwenye  ili kukamilisha mchakato wa malipo.

Hatua ya tatu.

Chagua kiasi cha kuweka pindi uainishapo njia ya malipo, utahitaji kuchagua kiasi unachotaka kuweka. Kiwango cha chini cha kuweka pesa SportPesa hadi sh 100, lakini unaweza kuweka zaidi ukipenda.

Weka kiasi unachotaka kuweka, kisha bonyeza kitufe cha weka pesa.

Hatua ya nne

Thibitisha malipo yako, kabla ya hayajahuishwa. Utahitaji kuthibitisha maelezo yako ya malipo. Hakikisha kuwa njia ya malipo na kiasi cha malipo ni sahihi, kisha bofya kitufe cha “Thibitisha”.

Hakikisha kuwa malipo na kiasi cha pesa ni sahihi, kisha bofya kitufe cha “thibitisha”. Akiba yako itahuishwa, na pesa yako itawekwa kwenye akaunti yako ya SportPesa.

Hatua ya tano

Badilisha pesa yako kuwa chipsi za Kasino mara tu pesa yako itakapowekwa kwenye akaunti yako ya SportPesa, utahitaji kuibadilisha kuwa chipsi za kasino. Ili kukamilisha mchakato, bofya kitufe cha “Kasino” na uchague mchezo unaotaka kucheza.

Kisha utaona kitufe cha kubadilisha akiba yako kuwa chipsi na utakuwa tayari kuanza kucheza.

Hatua ya Sita

Cheza michezo ya Kasino kwa chipsi zako za kasino, unaweza kuanza kucheza aina mbalimbali za michezo ya kasino kwenye SportPesa. chagua michezo ya Roulette, Blackjack, na mingineyo mingi.

Kila mchezo una sheria zake na muundo wa malipo, kwa hivyo hakikisha umesoma vigezo na masharti  kabla ya kuanza kucheza.

Hatua ya Saba

Unaweza ukatoa pesa uliyoshinda, ikiwa umebahatika kushinda kwenye kasino. Unaweza pia kutoa ushindi wako kwenye akaunti yako na kupeleka kwenye akaunti yako ya mtandao wako.

Kuhamisha pesa kuwa chipsi za kasino na SportPesa ni mchakato wa moja kwa moja. Kwanza, utahitaji kufungua akaunti na pili utachagua mifumo ya kuweka pesa. Kisha, unaweza kuweka pesa na kuibadilisha kuwa chips za kasino.

Mwisho kabisa, unaweza kuanza kucheza michezo mbalimbali ya kasino na ubahatike kupata ushindi wako, kiwa utabahatika kushinda. Bahati njema!

Share this:
Back To Top