skip to Main Content
Ni TZS 21,191,497 Za Jackpot Bonus Baada Ya Kubashiri Kwa Usahihi Mechi 12 Kati Ya 13 Kwa 2000/= Tu.

Ni TZS 21,191,497 za Jackpot bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 kwa 2000/= tu.

  • Mshindi mwingine na Jackpot bonus ya SportPesa amepatikana.

Mkazi wa Ngara, Bukoba Expectance S. Gwomeka ameibuka mshindi wa bonus ya Jackpot ya wiki iliyopita kutoka SportPesa ambapo aliweka bet mbali mbali za jackpot na kufanikisha kwenye bet moja.

Akizungumza wakati wa mahojiano ofisi za Sportpesa Expectance alisema “Mimi ni mfanyabiashara na vilevile ninajishughulisha na kilimo kama sehemu inayoniingizia kipato.

“Ni muda kidogo tangu nianze kubashiri kwani nilikuwa nikihamasishwa na baadhi ya washindi waliopita wa bonus lakini hasa ni washindi wa Jackpot ambao wameweza kushinda milioni 300, 400. Nikaona na mimi nianze kucheza huenda siku nitashinda”

“Pesa niliyoipata itaenda kuendeleza kilimo na kuboost biashara moja kwa moja kwani kule kwetu sasa hivi ni msimu wa kupanda mahindi, maharage kwahivyo hii pesa imekuja muda muafaka”

“Nawasihi wapenda michezo wazidi kujiongeza na kuanza kubashiri na SportPesa kwani baada ya mechi kuisha kama utaibuka mshindi utawekewa pesa zako kwenye akaiunti ya Sportpesa moja kwa moja”.

Kwa upande wa SportPesa Meneja Uhusiano Sabrina Msuya alisema kubet ni moja kati ya aina ya burudani na ndiyo maana kila wiki tunakuletea Jackpot mpya na mechi za kukusisimua kama moja ya  kivutio cha Jackpot.

Jackpot ya wiki hii imefika Tsh. 576,086,780 inakusubiri wewe uweze kubashiri mech izote 13 kwa usahihi ili uweze kuwa milionea mpya wa Sportpesa.”

Kubet Jackpot ya wiki hii bonyeza hapa

Share this:
Back To Top