Nani kushinda SportPesa Jackpot 985,669,400/- kwa dau la 2000 tu?
Tarimba aitangaza Jackpot ya 985,669,400/- SportPesa. 03.03.2022 Dar-Es-Salaam Kampuni ya burudani na michezo SportPesa inapenda kuutaarifu, uma wa watanzania, wadau na wapenda michezo ya kuwa Jackpot yetu endelevu imefikia kiwango cha shillingi 985,669,400. Akizungumza na waandishi wa Habari Mwenyekiti wa…