Je Simba kuandika historia maya dhidi ya Wydad kimataifa Afrika?
Hatma ya Simba kuandikisha rekodi ya kufuzu kucheza nusu fainali ya Klabu bingwa Afrika itafahamika Ijumaa hii katika dimba la mfalme wa 5 huko nchini Morocco, itakapoumana dhidi ya mabingwa…
