Hatuchezi ya Yanga SC imehamia Simba SC kuelekea Juni 15, Mambo yazidi kuharibika
Mambo yanazidi kuharibika kuhusiana na mchezo namba 184 wa dabi ya Kariakoo ambapo jioni ya leo Julai 6, 2025 kauli ya hatuchezi ya Yanga sasa imehamia Simba kuelekea Juni 15,…
Tanzanian man wins Tzs 40 million from Tzs 12,000 on SportPesa’s Gates of Olympus Super Scatter
One lucky gamer on the best online gaming firm SportPesa Tanzania walked away with a whooping Tzs. 40,252,400 after striking gold in the Gates of Olympus Super Scatter online casino…
Simba SC yawatoa mashaka mashabiki yabainisha Kariakoo Dabi itachezwa Juni 15 2025
Simba SC yawatoa mashaka mashabiki yabainisha Kariakoo Dabi itachezwa Juni 15 2025, Uwanja wa Mkapa kwa watani wa jadi kukutana uwanjani kwenye mchezo wa msako wa pointi tatu muhimu ndani…
Yanga SC wamegomea kuzungumza na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) sakata la kudai zawadi
Yanga SC wamegomea kuzungumza na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuhusu Sakata la kudai hela za zawadi ubingwa wa CRDB Federation Cup 2023/24 mara baada ya kufika makao makuu mapema…
Simba SC wamefungukia kuiwinda saini ya Feisal Salum kiungo wa Azam FC, Yanga SC nao vitani
Simba SC wamefungukia ishu ya kuiwinda saini ya Feisal Salum kiungo wa Azam FC ambaye tetesi zinaeleza kuwa timu zenye maskani yao Kariakoo ambazo ni Simba SC mtaa wa Msimbazi…
Start winning with JetX: Get up to Tzs 30,000,000 on SportPesa Tanzania.
Play JetX and start winning big, up to Tzs 30,000,000 today at SportPesa Tanzania. Weather you play on mobile or desktop, this crash game provides a unique gaming experience. Join…
Mechi Yanga SC vs Singida Black Stars Juni 28 2025: Wananchi wasisitiza ‘Dawa ya deni ni kulipa’
Dawa ya deni ni kulipa ndiyo msisitizo wa uongozi wa Yanga kuhusu kulipwa kwa madai yao, kabla ya kushiriki katika mchezo wa Fainali ya Kombe la Shirikisho la CRDB mechi…
Stephane Aziz Ki huyoo Marekani kuwavaa Manchester City ya Guardiola
Kiungo wa kimataifa wa Burkina Faso, Stephane Aziz Ki huyoo Marekani kuwavaa Manchester City kuanza ukurasa mpya wa maisha ya soka ndani ya Wydad AC ya Morocco, ambapo leo Jumanne…
Sakata la Yanga SC na hela za ubingwa CRDB Federation Cup 2024 lazua balaa, TFF yatoa tamko
Sakata la Yanga SC na hela za ubingwa CRDB Federation Cup 2024 lazua balaa. Yanga SC wamebainisha kuwa mpaka watakapopewa hela ya ubingwa ya msimu uliopita watacheza fainali jambo ambalo…
